Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mbona unaangaika ebu tuambie Mungu yupi aliemwagiza Musa kuwaua wenyeji wa nchi ya ahadi? au Musa alikuwa na Mungu mpya

KUMB la TORATI 20:17
", lakini UWAANGAMIZE kabisa , mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na mhivi,na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako",

Ahahahaahhahahaahahaha bila amri kama izi Israeli mngeisikia kwenye video ahahahahahhhahaahahahhaha
 
Usikwepe swali [emoji117] Adam alikula tunda Akiwa wapi??? Mpaka uelewe daudi [emoji53]
Kosa la adamu ni kula tunda tu hakuna kosa jingine , ahahahahhahaahahhahahahahaha wewe unalazimisha makosa yako ahahahahahaha kwa kosa la kula tunda Mungu alimsamehe 2:37 QURAN, dhambi ya ASILI hakuna kitu kama hicho ahahahahahahahahha Mungu asiesamehe hayupo huyo ahahahaaahhaha
 

Hapo hizo ayat umepatia hakuna hata mushker [emoji106] Hapo Yesu aliongea Akiwa katika Hali ya Ubinadamu Kamili [emoji117] wewe ulitaka Asemeje Akiwa ktk Hali yake ya Ubinadamu kamili[emoji47] [emoji47]
 
Hapo hizo ayat umepatia hakuna hata mushker [emoji106] Hapo Yesu aliongea Akiwa katika Hali ya Ubinadamu Kamili [emoji117] View attachment 874269 wewe ulitaka Asemeje Akiwa ktk Hali yake ya Ubinadamu kamili[emoji47] [emoji47]
Yohana 1:14 sio Yesu huyo ahahaahahhahahahahaha lakini Yohana 17:3 ni Yesu mwenyewe, rahisi tu wapi Yesu kakufundisha kuwa yeye ni Mungu, msimsemehe Yesu alikuwa na mdomo na alifundisha ,tena akataka tujifunze kwake wapi ww na genge lako , Yesu alimifundisha yeye ni Mungu? alionya kabisa tena mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu
 
Mungu awezi kuwa mtu ndio, Mungu ni muumbaji awezi kuwa kiumbe wewe ahahahahahahahhahh mnapoelekea mtakuja kusema Mungu ni mwanamke

Ulikuwa unasita sita nini kukufuru¡ kwamba Mungu hana UWEZO HUO [emoji53] [emoji12] na kufuru hiyo baba kasimu baada ya kunawa kwa Kauli hii [emoji117] kwa hiyo kama humuamini baba fatûú na huiamini Biblia umesha potelea mbali yeye HAHUSIKI Amesha KUAGIZA atabeba uovu wake tu [emoji106]
 
Yesu ajawai fundisha kuwa yeye ni Mungu , lakini kuna watu na genge lao wanafundisha Yesu ni Mungu ndio maana Mtume alishatuonya mapema kabisaa juu ya mafundisho ya ovyo ambayo mnadai ni sehemu ya kitabu ahahahahaahahahaahaa
QURAN 3:100
" Enyi mlioamini ! mkiwatii baadhi ya wale waliopewa kitabu, WATAKURUDISHENI kuwa MAKAFIRI baada ya UISLAMU wenu,";
ahahahahahaahah ndio maana tunakuuliza wewe wap Yesu kakufundisha mambo hayo kijana
 

Kwa mujibu Wa Ilimu islamu Ibrahim alikuwa kaumu gani??? Umebakia kuleta wazimu wako Wa maswali [emoji117]

Huyo Alikuwa Sauli alipo KUWA muislamu mwenzio sasa NI PAULO MTUME WA YESU NI MWANA WA MUNGU [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] na baada ya KUMPATA KRISTO ALITANGAZA KUHUSU HAYO ULIYO YAANDIKA [emoji117]
 

MWENYE MAMLAKA ya kuua NI ALIYE umba tu si yeyote ndio sababu kaamrisha USIUE Alijua Mwanadamu ANAO UWEZO WA kuua [emoji53]
 
Alikula tunda Akiwa wapi [emoji47] [emoji47] [emoji47] mpaka useme [emoji53]
 
Biblia Takatifu yoote Inamleta Mwenyezi ktk Umbile Bora la KIBINADAMU duniani [emoji106] kumbe ulikuwa hujui eeh [emoji15] [emoji53]
 
Utaonaje na wewe pofu kungwi yako pofu na KUSOMA ndio HUJUI [emoji12]
 
Utaonaje na wewe pofu kungwi yako pofu na KUSOMA ndio HUJUI [emoji12]
Ahahhahahaahah mbona inaonekana labda ujitoe akili tu
YOHANA 20:17
"Yesu akamwambia usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba,lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie , ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu"

Ahahhahahaahah huyo ndio Yesu wewe endelea kumsemeha matango pori yako
 
Biblia Takatifu yoote Inamleta Mwenyezi ktk Umbile Bora la KIBINADAMU duniani [emoji106] kumbe ulikuwa hujui eeh [emoji15] [emoji53]
Ahahhahahaahah muangalie huyu Mungu ajawai kuwa mtu Ahahhahahaahah
 
Alikula tunda akiwa bustanini
sio kila swali unaita unategwa tu [emoji12] wengine lengo Letu ni kujua na si mashindano kama leage! asante kwa jibu Masudi [emoji736] nakuomba umalizie bustani ni nyingi! Hiyo bustani ya wapi?!
 
Leo na wewe umekubali Yesu baba yake Mungu [emoji15] [emoji38] [emoji38] Kwa njia hii Utaelewa LAZIMA [emoji53]
 
Ahahhahahaahah muangalie huyu Mungu ajawai kuwa mtu Ahahhahahaahah

Huyo allah alijidhihirisha kama chaka linalo wala kule bonde la Tuwa Anamwambia Musa Wa koloani avue viatu vyake [emoji117] hapo mnakubali ilaha huyu Mwenyezi kujidhihirisha ktk Umbile Bora la KIBINADAMU Mnabishia [emoji15] [emoji12] makafir ubishi hadi mmeota sigda za makalio [emoji33] [emoji33]
 
Duh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…