Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Madhumuni ya sheria ni Rohoni [emoji106] watu kwa udhaifu wao wame isheheresha kimwili [emoji12] Ndipo Yesu kaja Kuitimiliza [emoji117] View attachment 874222 na Prof; Paulo kapigilia msumari [emoji117] View attachment 874223 [emoji123] [emoji57] Mungu hajatengua popote kwamba Yeye ndie MWENYE kulipiza kwa Ajili Yetu [emoji117] View attachment 874224 namshangaa baba fatùû kuleta mafundisho dhaifu [emoji117] View attachment 874226 Ndipo nikajiuliza jee umembaka gavana na jumla mvutu [emoji15] kwa mujibu wa baba fatûú LAZIMA naye akubake na kukula mvutu ili awe na akili na UHAI [emoji106] jee akikukuta wewe mtemi kashindwa kukubaja fatwa yake ipi [emoji47] [emoji47]
Mbona unaangaika ebu tuambie Mungu yupi aliemwagiza Musa kuwaua wenyeji wa nchi ya ahadi? au Musa alikuwa na Mungu mpya

KUMB la TORATI 20:17
", lakini UWAANGAMIZE kabisa , mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na mhivi,na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako",

Ahahahaahhahahaahahaha bila amri kama izi Israeli mngeisikia kwenye video ahahahahahhhahaahahahhaha
 
Usikwepe swali [emoji117] Adam alikula tunda Akiwa wapi??? Mpaka uelewe daudi [emoji53]
Kosa la adamu ni kula tunda tu hakuna kosa jingine , ahahahahhahaahahhahahahahaha wewe unalazimisha makosa yako ahahahahahaha kwa kosa la kula tunda Mungu alimsamehe 2:37 QURAN, dhambi ya ASILI hakuna kitu kama hicho ahahahahahahahahha Mungu asiesamehe hayupo huyo ahahahaaahhaha
 
Ahahahahhahahaahhahhaaja tulia dawa ikuingie
YOHANA 17:3
" Na uzima wa milele ndio huu, wakujue WEWE , Mungu wa PEKEE wa KWELI, na YESU kristo ULIEMTUMA".

Ahahahaahahahhahhahahahahaha injili ile ile Yesu katumwa na Mungu wa pekee wa kweli , je wewe injili yako inasemaje? ahahahhahahhahahaahhahahajaaa

Hapo hizo ayat umepatia hakuna hata mushker [emoji106] Hapo Yesu aliongea Akiwa katika Hali ya Ubinadamu Kamili [emoji117]
IMG_20180922_122456_853.jpg
wewe ulitaka Asemeje Akiwa ktk Hali yake ya Ubinadamu kamili[emoji47] [emoji47]
 
Hapo hizo ayat umepatia hakuna hata mushker [emoji106] Hapo Yesu aliongea Akiwa katika Hali ya Ubinadamu Kamili [emoji117] View attachment 874269 wewe ulitaka Asemeje Akiwa ktk Hali yake ya Ubinadamu kamili[emoji47] [emoji47]
Yohana 1:14 sio Yesu huyo ahahaahahhahahahahaha lakini Yohana 17:3 ni Yesu mwenyewe, rahisi tu wapi Yesu kakufundisha kuwa yeye ni Mungu, msimsemehe Yesu alikuwa na mdomo na alifundisha ,tena akataka tujifunze kwake wapi ww na genge lako , Yesu alimifundisha yeye ni Mungu? alionya kabisa tena mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu
 
Mungu awezi kuwa mtu ndio, Mungu ni muumbaji awezi kuwa kiumbe wewe ahahahahahahahhahh mnapoelekea mtakuja kusema Mungu ni mwanamke

Ulikuwa unasita sita nini kukufuru¡ kwamba Mungu hana UWEZO HUO [emoji53] [emoji12] na kufuru hiyo baba kasimu baada ya kunawa kwa Kauli hii [emoji117]
IMG_20180922_134458_162.jpg
IMG_20180922_134555_640.jpg
kwa hiyo kama humuamini baba fatûú na huiamini Biblia umesha potelea mbali yeye HAHUSIKI Amesha KUAGIZA atabeba uovu wake tu [emoji106]
 
Ulikuwa unasita sita nini kukufuru¡ kwamba Mungu hana UWEZO HUO [emoji53] [emoji12] na kufuru hiyo baba kasimu baada ya kunawa kwa Kauli hii [emoji117] View attachment 874365View attachment 874370 kwa hiyo kama humuamini baba fatûú na huiamini Biblia umesha potelea mbali yeye HAHUSIKI Amesha KUAGIZA atabeba uovu wake tu [emoji106]
Yesu ajawai fundisha kuwa yeye ni Mungu , lakini kuna watu na genge lao wanafundisha Yesu ni Mungu ndio maana Mtume alishatuonya mapema kabisaa juu ya mafundisho ya ovyo ambayo mnadai ni sehemu ya kitabu ahahahahaahahahaahaa
QURAN 3:100
" Enyi mlioamini ! mkiwatii baadhi ya wale waliopewa kitabu, WATAKURUDISHENI kuwa MAKAFIRI baada ya UISLAMU wenu,";
ahahahahahaahah ndio maana tunakuuliza wewe wap Yesu kakufundisha mambo hayo kijana
 
Ahahaahhahahahahhahaahahahaha anawasiwasi na maisha yake kama alimifunza kufuru anachofanya ni kujiami tu,
MATENDO YA MITUME 26:11
"Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu , nikawashurutisha KUKUFURU ; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini";
ahahhahhahaha wewe unamuona mtu wa maana huyo
Ibrahim alikuwa muislamu

[emoji116] [emoji115] [emoji116]

Kwa hiyo hapa [emoji117]
IMG_20180922_140610_592.jpg
baba fatûú kadanganya [emoji15] [emoji47] manake alikuwa na Pepo la uongo [emoji15] [emoji4]
-------------------------
na hakuna muislamu anaejitenga na mila ya Ibrahim chochote alichofanya Ibrahim MUISLAM kufanya ni jambo lisilo na maswali ahahahaha,

[emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115]

Kwa hiyo baba fatûú ambaye kafa na nyama ya govi lake sio muislamu [emoji47] [emoji15] halafu weka Ushahidi humu kigezo chenu thabit ni Ibrahim sio baba fatûú tena [emoji53]

kama unabisha thibitisha hapa Ibrahim alikuwa mkristo au myahudi?

Kwa mujibu Wa Ilimu islamu Ibrahim alikuwa kaumu gani??? Umebakia kuleta wazimu wako Wa maswali [emoji117]
IMG_20180918_113117_364.jpg

Huyo Alikuwa Sauli alipo KUWA muislamu mwenzio sasa NI PAULO MTUME WA YESU NI MWANA WA MUNGU [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] na baada ya KUMPATA KRISTO ALITANGAZA KUHUSU HAYO ULIYO YAANDIKA [emoji117]
IMG_20180922_135943_037.jpg
 
Mbona unaangaika ebu tuambie Mungu yupi aliemwagiza Musa kuwaua wenyeji wa nchi ya ahadi? au Musa alikuwa na Mungu mpya

KUMB la TORATI 20:17
", lakini UWAANGAMIZE kabisa , mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na mhivi,na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako",

Ahahahaahhahahaahahaha bila amri kama izi Israeli mngeisikia kwenye video ahahahahahhhahaahahahhaha

IMG_20180921_143847_603.jpg
MWENYE MAMLAKA ya kuua NI ALIYE umba tu si yeyote ndio sababu kaamrisha USIUE Alijua Mwanadamu ANAO UWEZO WA kuua [emoji53]
 
Kosa la adamu ni kula tunda tu hakuna kosa jingine , ahahahahhahaahahhahahahahaha wewe unalazimisha makosa yako ahahahahahaha kwa kosa la kula tunda Mungu alimsamehe 2:37 QURAN, dhambi ya ASILI hakuna kitu kama hicho ahahahahahahahahha Mungu asiesamehe hayupo huyo ahahahaaahhaha
Alikula tunda Akiwa wapi [emoji47] [emoji47] [emoji47] mpaka useme [emoji53]
 
Yohana 1:14 sio Yesu huyo ahahaahahhahahahahaha lakini Yohana 17:3 ni Yesu mwenyewe, rahisi tu wapi Yesu kakufundisha kuwa yeye ni Mungu, msimsemehe Yesu alikuwa na mdomo na alifundisha ,tena akataka tujifunze kwake wapi ww na genge lako , Yesu alimifundisha yeye ni Mungu? alionya kabisa tena mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu
Biblia Takatifu yoote Inamleta Mwenyezi ktk Umbile Bora la KIBINADAMU duniani [emoji106] kumbe ulikuwa hujui eeh [emoji15] [emoji53]
 
Yesu ajawai fundisha kuwa yeye ni Mungu , lakini kuna watu na genge lao wanafundisha Yesu ni Mungu ndio maana Mtume alishatuonya mapema kabisaa juu ya mafundisho ya ovyo ambayo mnadai ni sehemu ya kitabu ahahahahaahahahaahaa
QURAN 3:100
" Enyi mlioamini ! mkiwatii baadhi ya wale waliopewa kitabu, WATAKURUDISHENI kuwa MAKAFIRI baada ya UISLAMU wenu,";
ahahahahahaahah ndio maana tunakuuliza wewe wap Yesu kakufundisha mambo hayo kijana
Utaonaje na wewe pofu kungwi yako pofu na KUSOMA ndio HUJUI [emoji12]
 
Utaonaje na wewe pofu kungwi yako pofu na KUSOMA ndio HUJUI [emoji12]
Ahahhahahaahah mbona inaonekana labda ujitoe akili tu
YOHANA 20:17
"Yesu akamwambia usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba,lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie , ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu"

Ahahhahahaahah huyo ndio Yesu wewe endelea kumsemeha matango pori yako
 
Biblia Takatifu yoote Inamleta Mwenyezi ktk Umbile Bora la KIBINADAMU duniani [emoji106] kumbe ulikuwa hujui eeh [emoji15] [emoji53]
Ahahhahahaahah muangalie huyu Mungu ajawai kuwa mtu Ahahhahahaahah
 
Alikula tunda akiwa bustanini
sio kila swali unaita unategwa tu [emoji12] wengine lengo Letu ni kujua na si mashindano kama leage! asante kwa jibu Masudi [emoji736] nakuomba umalizie bustani ni nyingi! Hiyo bustani ya wapi?!
 
Ahahhahahaahah mbona inaonekana labda ujitoe akili tu
YOHANA 20:17
"Yesu akamwambia usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba,lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie , ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu"

Ahahhahahaahah huyo ndio Yesu wewe endelea kumsemeha matango pori yako
Leo na wewe umekubali Yesu baba yake Mungu [emoji15] [emoji38] [emoji38] Kwa njia hii Utaelewa LAZIMA [emoji53]
 
Ahahhahahaahah muangalie huyu Mungu ajawai kuwa mtu Ahahhahahaahah

Huyo allah alijidhihirisha kama chaka linalo wala kule bonde la Tuwa Anamwambia Musa Wa koloani avue viatu vyake [emoji117]
IMG_20180922_165143_382.jpg
IMG_20180922_165224_303.jpg
hapo mnakubali ilaha huyu Mwenyezi kujidhihirisha ktk Umbile Bora la KIBINADAMU Mnabishia [emoji15] [emoji12] makafir ubishi hadi mmeota sigda za makalio [emoji33] [emoji33]
 
So, if Muhammad in moving and finally viewing the boundary,was that enough for him to conclude that what he was seeing was the dark muddy spring onto which the Sun had set in?So who was seeing on the way, the Sun moving towards boundaries,God or Muhammad?

Hivi kwa maelezo yako hayo unaelewa maana ya Kurani? Usitupotoshe kwa kutuletea maana tafsiri nyingine ya Kurani.Kurani maana yake ni maneno aliyoyaandika Mungu kwa mkono wake mwenyewe na kisha kumpatia Malaika Gabrieli (naye bila editing wala addition) akampatia Muhammad.Kwa hiyo,hiyo suala lolote linalosemwa na Muhammad maana yake ni Mungu anasema na sio vinginevyo!
Duh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom