Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Unaita "Queen" kudhihirisha jinsi Dini yako inavyo dharau Wanawake..


TULIA UPATE ELIMU


KUHUIKA AU KUFUFUKA

Habari ya Yesu kuhuika katika wafu inaleta matatizo mengi.

Sasa tunageukia baadhi ya sababu nyingine na matatizo mengine.

Tunachokusudia ni asili ya 'ubongo' wa Yesu kabla hajasulubiwa na baada ya kufufuka katika wafu. Ubongo wake ukahuishwa
baada ya kuacha kufanya kazi kwa siku tatu mchana na usiku.

Swali lenyewe ni kwamba mtu anapokufa ubongo unakuwaje hasa?

Kuhusu jambo moja wataalamu wa matibabu walio Wakristo na wasio Wakristo wanapatana. Na jambo lenyewe ni ya kwamba ubongo ukifa kwa zaidi ya dakika chache unakufa kwa kudumu hauhuiki tena.

Damu ikatikapo tu, ubongo huanza kuchanganua.

Kama Yesu alikufa juu ya msalaba, hiyo inamaanisha kuwa moyo wake ulikoma kufanya kazi na kuacha kupeleka damu kwenye
ubongo wake na kwa hiyo ubongo wake ukafa haraka baadaye.

Basi utaratibu mzima wa kusaidia uhai kubaki ukakoma kufanya kazi, la sivyo yeye asingeweza kuchukuliwa kwamba amekufa.

Kama ni hivi, twakabiliwa na tatizo la kukanganya kuhusu ufahamu wa uhai na mauti ya Yesu Kristo.

Kifo cha Yesu Kristo, ilivyoelezwa nyuma, kinamaanishakuondoka mwili wa kiroho, ama roho, katika kizimba cha mwili wa kibinadamu. Kama ni hivi, basi kuhuika kwake kutamaanisha kurejea mwili huo huo wa kiwiliwili aliouacha siku tatu kabla.

Kurudi roho hivyo kutaanzisha upya uhai wa kiwiliwili. Na ili kutendeka hilo hakuna budi seli zilizokufa za ubongo zihuike
ghafla na hali ya kuchanganuka haraka irudishwe nyuma kabisa.

Habari hiyo italeta matatizo mengi ambayo yatawadaia milele wanakemia Wakristo kuyatatua. Kueleza kurudi nyuma kabisa
kuchanganuka na kuoza utaratibu wa kati wa ki-neva ni jambo lisiloweza kuwazwa na mwanasayansi.

Kama kwa vyovyote ilifanyika, basi itakuwa ni mwujiza tu ukigongana na Sayansi na kuzidhihaki kanuni zilizoundwa na Mungu Mwenyewe; lakini itakuwa ni mwujiza ambao bado utashindwa kutatua tatizo lililoko mbele yetu.

Kuhuika hivyo siyo tu kuhuika seli za utaratibu wa kati wa kineva,bali kwa hakika kuziunganisha pamoja hadi zikawa kitu kimoja.

Hata kama seli zilezile za zamani ziundwe tena na kuhuishwa kabisa zilivyokuwa hapo kabla, hata hivyo kwa hakika huo utakuwa utaratibu mpya wa seli usiokuwa kabisa na kumbukumbu ya zamani. Hizo hazitakuwa na budi kuundwa mara nyingine na kujazwa humo mambo yote yaliyolingana na maisha ya Yesu ambayo yalifutiliwa mbali katika ubongo wake baada ya kufa kwake.

Tujuavyo, uhai huwa na ufahamu unamojazwa taarifa mbalimbali zinazopatikana katika mabilioni ya neva zilizomo katika ubongo.

Taarifa hiyo tena inagawanyika katika sehemu ndogondogo ngumu kufahamika zinazohusiana zenyewe kwa zenyewe za taarifa zilizohesabiwa ki-kompyuta zinazopokelewa kutoka katika kila nguvu miongoni mwa nguvu tano za kuona, kusikia, kunusa,
kuonja na kugusa.

Kama taarifa hizo zikifutika basi na uhai wenyewe unafutika. Kwahiyo, kuhuika kwa ubongo wa Yesu kunamaanisha kufanyiza kompyuta mpya ya ubongo pamoja na taarifa mpya kabisa na kadhalika humo ndani.

Matatizo hayo yatahusika pia na kemia ya sehemu nyingine za mwili wa Yesu Kristo. Ili kuhuisha mwili kazi kubwa ya kufanyiza upya itaanzishwa baada ya kukomboa vilivyokwisha oza na kupotea.

Mwujiza huo wote ukisha fanyika tayari, swali zitazuka nani alihuika na matokeo yake ni nini?

Je, ni 'mtu' ndani ya Yesu aliyehuika, ama ni 'mungu' aliyekuwamo ndani yake?

Ndiyo maana nikasisitiza kuelewa vizuri uhakika wa dhati ya Yesu.

INAENDELEA
 
Talking too Much. Hili jarida andaa forum yako. Wengi hatusomi stori za mahakamani.
 
Ahahahahhahahahahahhahhaha bange hizi kwa "mfano wake" maana yake ni nini? Mungu anapua kama lako , au atakuwa na jinsia mbili ya kike na ya kiume , ebu nenda kasome vizuri uelekezwe usijadiri maandiko kama kichaa tafsiri ya neno " kwa mfano" atakuwa na mamlaka mfano wa yale ya Mungu sio atakua na umbile la Mungu ahahahahaaaahahahahahahahah , narudia pale pale Mungu sio mtu kipi kinakushinda kujua hilo mpaka unaunga unga mpaka unatia huruma, kuhusu aya hiyo ya QURAN ndio uelewi chochote
 
VIGEZO na MASHARTI00 YANAONGEA NA KUZINGATIWA0 ILI UWE NA SIFA YA KUWA MWANA WA MUNGU [emoji106]
ahahahahahahahahhahahhahhahhahhhahahah ila usiwe punguani kama wale wengine wanaosema bikira Maria mama wa Mungu , ahahahhahahahaahhaahahaha huo ni upopoma wa kiwango cha juu
 
UISLAMU ni kitu gani?
JIBU:Uislamu ni KUJISALIMISHA(Kunyenyekea) kwa Mungu(Allah) kwa kumpwekesha na kufuata maamrisho yake kwa utii na kuepukana na ushirikina"

Uislamu unafundisha juu ya Mungu mmoja ambaye katu hakuna anaeshirikiana nae katika kuendesha ulimwengu na kutenda mema kwa unyenyekevu mkubwa kabisa maana unayakini Mungu anakuona ,ndio maana tunasema manabii wote waliyafanya haya tena kifua mbele kabisa
Ukirejea maandiko utaona haya mambo vizuri kabisa
QURAN 22:34
"; Basi Mungu wenu ni Mungu mmoja tu,Jisalimisheni kwake tu, na wabashirie wanyenyekevu
QURAN 31:22
";Na anayesilimisha uso kwa Allah , naye ni mtenda wema, basi kwa yakini ameshikilia imara kishikilio madhubuti kisichovunjika .Na kwa Allah ni mwisho wa mambo yote.
Ata Ibrahim ni mfano wa kuigwa katika uislamu QURAN 4:125
"; Na nani aliye mbora kwa dini kuliko yule aliye usilimisha uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa mwema , na anafuata mila ya Ibrahim mwongofu? Na mwenyezi Mungu alimfanya Ibrahim kuwa rafiki mwendani";

hii ndio tafsiri ya UISLAM kwa uchache nimeanza majadiliano karibu
 
ahahahahahahahahhahahhahhahhahhhahahah ila usiwe punguani kama wale wengine wanaosema bikira Maria mama wa Mungu , ahahahhahahahaahhaahahaha huo ni upopoma wa kiwango cha juu

Hebu Soma Maonyo haya ya MWENYEZI Halafu Tujitafakari na Kuchukua Hatua [emoji117] sio unajiajiri kwa kibri cha Uzima ulio nao KUWA mc Wa Mwenyezi ust daudi! wee UWEZO, UKUU NA MAAJABU YA MWENYEZI unalinganisha na babuyo [emoji53] [emoji12] Toka ndani ya box ufaidi Hewa safi [emoji106] kama utang'ang'ana na ugaidi Utavuna Unacho Kipanda humu humu duniani kabla HAJAFA [emoji24] [emoji24]
 
Ahahahahahhahahahhhahhahahhaha mimi hilo andiko wala sina matatizo nalo wala halikupi uhalali wewe kumuita binadamu mwenzio Mungu badala ya Mwenyezi Mungu , ni kweli Mungu ananjia nyingi ila Mungu awezi kuwa mtu, wala bikira Maria awezi kuwa Mama wa Mungu
 

Kweli wazimu ni fani [emoji53] umeandika kwa kutumia akili ya kisilamu kisla [emoji12] Hivi mtu alisema MFANO ni ORIGINAL [emoji53] [emoji47] MUNGU NINAYE MUAMINI AMETUFAHAHAMISHA KWAMBA AMEMUUMBA MTU KWA MFANO WAKE [emoji117] kwa hicho ulicho kiandika ni mawazo ya mtu asie jua kusoma na ni Uhakika hujui [emoji12] ndio sababu unapost ujinga na upuuzi mtupu [emoji53] [emoji12] Hivi wewe hujui kizuri na hiki kibaya? Huna Roho?...Mungu hajui kizuri na kibaya? MUNGU NI ROHO [emoji106] wee huna Roho [emoji47] hiyo ni mifano tu ilaha Ujuzi wa Mungu ktk kuona, kusema, Kujua ni wa juu zaidi ya wa kwako masudi...wewe ni MFANO tu as if photo copy na sio original....dhahir eeh [emoji4]
 
Ahahahahhahahahhaha mbona liko wazi mfano hauna maana hapo ya maumbile kijana , hapo mfano tafsiri yake ni ule uwezo wa mwanadamu aliopewa kutawala , mbona hili ata mtoto mdogo anajua Mungu hawezi kuwa na jinsia kwasababu sio mtu ahahahhahahah unalazimisha mpaka unaonekana mweupe kichwani
 
Ukielewa Mungu alifanya agano na nani utaelewa vizuri kwa nini Ninamdisqualify Muhammad kuwa nabii wa Mungu ninayemuamini.Hata quran yenyewe inamdisqualify Muhammad kama zao la Ibrahim au Ishmael.Nataka nikwambie tu hakuna unabii nje ya Ibrahim,Isaac na Yakobo.na ukifuatilia historia utaona Muhammad anapachikwa kwenye lineage ya Ishmael kwa maana ya kusema kuwa Ishmael ni baba wa waarabu.Ishmael na wanawe na kizazi chake ni wahebrania na hata mchanganyiko wake na waarabu haufikii wale wa Arabian Peninsula na hakuna mahala popote katika vitabu vya torati panaonesha Ibrahim alifika au kuishi Saudi Arabia.Muhammad anapachikwa na Ibn Ishaaq kwenye geneology ya Ishmael ili kuprove authenticity yake kuwa ni descendant wa Abraham na ishmael ilhali Mungu anatamka wazi kuwa agano lake liko kati ya Ibrahim,Isaac na Yakobo na both quran na bible zinakubaliana na hili.Ishmael na Essau wamekuwa neglected kwenye vitabu hivi kwa sababu si wana wa unabii.Wanaomkweza Ishmael ni Islamic scholars lakini hakuna pahala popote imeonesha kuwa yule aliyetakiwa kutolewa sadaka ni Ishmael.Nipende kukudahamisha tu kuwa Mwenyezi Mungu alifanya kazi katika lineage aliyokuwa ameipanga na hata hao manabii mnaowaita waislamu inakuwa ngumu sana kuwalink na uislamu.Nipende tu kukiri kuwa Hakukuwahi kuwa na nabii mkristo and likewise hakukuwahi kuwa na nabii muislam.Manabii wa kiislam wanapatikana baada ya fabrication ya torah iliyofanywa na Muhammad na watu wake.
Napenda tupanuane mawazo kwa kukushirikisha hii link kusudi tujadiliane vema
Debate between Christian and Muslims on Bible and Quran: Quran Proclaims the Prophethood from the lineage of JACOB aka ISRAEL but exclude ISHMAEL the Son of Abraham
 
THE QUR’AN DISQUALIFIES MUHAMMAD AS A PROPHET OF THE TRUE GOD
 
Umetaka kuelekezwa kumbe wewe una majibu yako , kwani muebrania wewe unamuelewaje? nataka kujua ufahamu wako kabla sijasonga mbele
 
Umetaka kuelekezwa kumbe wewe una majibu yako , kwani muebrania wewe unamuelewaje? nataka kujua ufahamu wako kabla sijasonga mbele
Usikasirike Mkuu.
Mtu yeyote anapofuatilia kitu anakua na background fulani. Unatakiwa uweze kuzijibu hoja zake. Sio umu attack yeye binafsi..
 
@Ntahulila
masoud mshahara

On top of that,
Muhammad was Highly Inaccurate as a Prophet:

1.How will we be able to determine whether someone is a true prophet?

Most people would state that the basic test would have to be fulfilled prophecy. In other words, the prophet will have to be able predict certain events and this will then come to pass.
As it turns out, Muhammad did particularly BADLY IN THIS AREA. He made several predictions that were spectacularly INACCURATE.

One incident will serve to illustrate this point. While exiled from Mecca, Muhammad tried to lead a large group of Muslims to Mecca to perform the Umrah (lesser pilgrimage). Muhammad expected that the Meccans would strongly oppose any attempt by him and his followers to enter Mecca and used Qur’an 48:27 to REASSURE his followers:

“Truly did Allah fulfill the vision for His Messenger. Ye shall enter the Sacred Mosque, if Allah wills, with minds secure, heads shaved, hair cut short, and without fear. For He knew what ye knew not, and He granted, besides this, a speedy victory."


On the way to Mecca, Muhammad’s party was met by a Meccan emissary who indicated that the forces of the Quraysh would resist any attempt by Muhammad and his followers to enter the city. Muhammad did not feel confident in forcing the Meccans to relent, so he had to mount a sudden climb-down. He agreed to sign a treaty with the Meccans (the Treaty of Hudabiya) and even took the extraordinary step of handing a Meccan convert to Islam back to the people of Mecca. In addition to this, he was forced to change his title at the end of the treaty document from “Muhammad: Apostle of Allah” to “Muhammad: Son of Abdullah.” (The incident is related in Sahih Bukhari 3:50:89194.) So far from a victorious entry into Mecca, Muhammad had to return to Medina with the knowledge that his followers had just witnessed A SPECTACULAR FAILED PREDICTION.

 
Usikasirike Mkuu.
Mtu yeyote anapofuatilia kitu anakua na background fulani. Unatakiwa uweze kuzijibu hoja zake. Sio umu attack yeye binafsi..
sijakasilika naona mwanafunzi anamajibu yake, ndio maana nikamuuliza hapo kuhusu ufahamu wake ili twende sawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…