Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Science niliiamini kuanzia nursery hadi o-level mkuu. Kuanzia advance level kuendelea nilijivua gamba la kuamini sayansi na wanasayansi kwani niligundua kiwango wanachong'ata ni kikubwa mno kuliko wanachopuliza.
Mfano, mpaka sasa habari za black hole, planets, big bang, earth rotation and revolution, spherical of the Earth zote nimerealize ni "Sci-fi" tupu ila zenye lengo la makusudi kabisa kudanganya watu.
Sijawahi kuona jua limesimama always the sun is in motion before my eyes, sijawahi kuona hata chembe ya ishara kwamba the earth rotates on its axis in speed of 1000 ph. Pia macho yangu yamekwama mpaka utu uzima huu kuona liduara la Dunia zaidi ya CGI za uzushi zinazotengenezwa na waumini wa dini yako mkuu. Hata gravitational force bado macho na akili yangu vimegomea uwepo wake. Mimi na hadithi za dini yako basi asee!!
 
Comments kama hiz ndio mnapoonekana mashudu
 
Tatizo umeanza kwa kuandika "Science niliiamini.."

Mpaka hapo hilo ninkosa kubwa linaloonesha ulikuwa unafuatilia kitu usichokielewa.

Science si ya kuamini. Ni ya kuelewa.
 
Alaf mada kama hizi muwe mnazi leta telegram au wasap .
Jamiiforum haiwez kuhandle thread kama hizi.
Tunachoshana tu.

Sijui nan anatype
Request zina chelewa.

Hizi mada nzur mkianzisha muwe mnaweka link za stable social networks ili tuwe tunaenjoy.
Hapa mnatia tabu tu.
 
Weka hoja ww.kama ww msomi weka hoja ujibiwe.
Leo c panic day.
Matusi yapo kibao mgodin bro

Weka hoja kama wenzio ujibiwe
Iman imekuzid nguvu, by the way haupo katka umri wa kujfunza bal upo kuamin kile ulichojfunza ata nikushuhie mondo zip hauta nielewa
Na kaul yangu ya mwsho skujbu tena
 


Sasa nakupa maana ya aya hiyo ya 86 ambayo ndio mzizi wa mafa yako.

Katika kutafuta kile alichokuwa anakitaka mja huyu wa Allah,Dhurqarnayn,alitembea au alipita njia nyingi sana katika uso wa ardhi,mashariki yake na magharibi,mpaka ikafikia akawa anelekea ule uelekeo ambao jua linapozamia,yaani upande wa magharibi mwa dunia,kwa mbali akaona kama vike jua lizama kwenye maji au matope kutokana na rangi ya anga ilivyokuwa inaonekana.

Jambo hili si geni hata kwetu sisi,hasa kwa watu ambao wanaishi karibu na pwani yaani ukanda wa baharini,wakiwa wanaliangalia jua linapozama wakiliangalia au ukiangalia utadhani kama vile linaingia baharini au linazama kwenye maji,kitu ambacho si sahihi,jua halizami.

Sasa kwa maana hiyo sijui lengo lako lilikuwa nini kuleta maana za kijinga.

Na maana hizi za uongo zililetwa na watu wazushi na wazandiki.

Kaka ukiamua kufanya utafiti ufanye kweli sio unaleta utoto kwenye mambo ya kielimu.Namalizia kwa kusema hivi :

"USITAKE KURUKA ANGANI WAKATI HUNA MBAWA"
 
Iman imekuzid nguvu, by the way haupo katka umri wa kujfunza bal upo kuamin kile ulichojfunza ata nikushuhie mondo zip hauta nielewa
Na kaul yangu ya mwsho skujbu tena
Ww nae .

Ukikosa hoja ndo unaongea vitu vya ajab tu.
Ebu kajipange
Mda mwingine ukikita watu wanajadili vitu vyenye mantik uwe utoa kitu kinacho eleweka.
 


Kaka mtume wetu hakujishughulisha na Sayansi kama unavyosema. Rekebisha kauli zako. Usimzulie.
 
Bora hiyo kupatwa kwa mwezi mpaka wanasali kabisa.... Mohammed is a con artist
 
MODS:
mkiona hii comment tunaombeni sana
Thread za kidini na jukwaa la mambo ya dini mhamishie kwenye realtime server watu tubadilishane mawazo kwa raha hvi mnatuchosha jaman.
 
Mpaka sasa watu wanasema mengi sana kuhusu Mungu.

Lakini hakuna hata mtu mmoja anayeweza kuthibitisha kwa namna isiyojipinga kimantiki kwamba Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Wewe unaonaje? Ikiwa Kurani ni neno la Mungu (na ndiye aliyeandika kwa mkono wake) na ikaonekana aya moja ni batili,je,hizo zingine zinasaliaje kuwa sahihi wakati mwandishi wa aya zote ni Mungu yule yule?
.........Mkuu ubongo wako unautendea haki sana,naamini uwezo wako wa kufikiri upo juu ya 80% yaani unawaza sawa sawa kabisa.
 
So, if Muhammad in moving and finally viewing the boundary,was that enough for him to conclude that what he was seeing was the dark muddy spring onto which the Sun had set in?


Ona sasa kaka unavyojichoresha umenukuu aya kisha hujui hata nani alikuw anazungumziwa ?

Watu walimuuliza mtume awape habari kuhusu Dhurqarnayn,katika kuwapa habari zake mja huyo,mja huyo katika kuzunguka zunguka katika uso wa dunia akiwa anatafuta kile anachokitaka akakutana na kundi la watu.

Kwahiyo hapo anayezungumziwa ni Dhurqarnayn na sio mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.

Uwe na utaratibu wa kuuliza kwanza.
 
Mpaka sasa watu wanasema mengi sana kuhusu Mungu.

Lakini hakuna hata mtu mmoja anayeweza kuthibitisha kwa namna isiyojipinga kimantiki kwamba Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Duh. Mzee hii fungua thread yake.
N bonge la mada alaf lihamishie telegram

Apo utajifunza mengi.
Maana hii ni mchanganyikeni
 
hahaaaa " kwahiyo " na masaa " nayo yakasimama" so mpangilio " wa " siku ulikuwaje", ?? na mpka jua " linasimama means",huwa " linatembea"" ??

ujinga mwingine bwana
Utakuta ulikua ni mwanzo WA summer jua linazama saa 3
 
Katika biblia kitabu cha Mwanzo, 1:26 Neno la Mungu linasema, "Mungu akasema," Na tumfanye mtu kwa Mfano wetu, kwa sura yetu;"
Lakini nashukuru biblia imeweka wazima holy trinity ya Mungu kupitia kitabu cha Mwanzo 1:2b na Yohane 1-2, 14,18.
So idadi ya nafsi inayotajwa kwenye Koran naamini ni sahihi kabisa sema maustaadhi wanaipindua tu!
 
Duh. Mzee hii fungua thread yake.
N bonge la mada alaf lihamishie telegram

Apo utajifunza mengi.
Maana hii ni mchanganyikeni
Unajuaje kwamba mimi ndiye nitakayejifunza na si kwamba mimi ndiye nitakayefunza?

Na kama mjadala mzima huu wa hapa unazungumza habari za Mungu, itakuwaje swali linalohoji uwepo wa huyo Mungu lihitaji uzi tofauti?

Can you chew gum and walk?

Umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…