The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
Mtoa mada hafahamu anacho ongelea,nimeshtukia huo mchezo [emoji23][emoji23]Nimekuuliza hivyo sababu wewe umemuuliza mtu huko juu kwamba lini Muhammad alienda Mekodonia akaliona hilo jua linazama kwenye tope sasa ndio nakauliza hiyo habari anayesimuliwa kuliona ni Muhammad au Dhel qanain?
Ukiwa na proof huamini.Mimi huwezi kunidanganya kwani siwezi amini bila my own proof. Na wala sihitaji wewe uniambie. Unachotakiwa uwe na proof yako mwenyewe sio ya kuendelea kushikiwa akili na ngozi nyeupe. PROVE BIG BANG THEORY TOFAUTI NA HAPO HUNA TOFAUTI NA WAFUASI WA MUHAMMAD AU YESU
Bwana mungu wa wakristo anaesema "ukweli"ndo huyu aliyewaambia muongozwe na mapadri na wachungaji mashoga au yupi....je ndo uyo uyo ambaye ndoa ya kuolewa elton john na mwanaume mwenzake ilifungwa kwa jina lake au yupi!?Mkuu ni lazima ujue tofauti kati ya Mungu wa Waislamu ambaye ni Allah na BWANA MUNGU wa Wakristo. Kuna tofauti kubwa sana na tofauti hiyo ni mafundisho yao.
BWANA MUNGU yeye huwa hasemi "uongo" kabisa, lakini huyo Allah wa Waislamu mimi nina wasi wasi naye sana. Hivyo ukiandika uzi wako jaribu kutofautisha kati ya hao wawili maana mmoja ni "muongo" na mwingine ni wa KWELI kabisa ambaye ni BWANA MUNGU.
Hiyo mleta mada kala kona,hatojibu hiyo comment daima milele[emoji23]wajinga hawataiona hii comment
aiseeee ", hahaaa huu uwongo Wa level ya PHDWanasema Alexander the Great ndiye aliyeliona Jua likizama katika matope.Sawa lakini huyo huyo Dhul-Qarnaini (Alexander the Great) tunaambiwa yuko amewashikilia Gog na Magog wakati wa Kiama kikaribia wataibuka.Kwamba hao Gog na Magog watamtoroka Alexander the Great.Sasa Alexander alishafariki dunia muda mrefu sana.
Je,hao Gog na Magog,Alexander anawashikilia wapi na kwa nini hadi leo hawajaweza kumtoroka?
Wanasema hao Gog na Magog Wakiisha kutoroka,wataivamia dunia na kunyang’anya watu mali zao kwa nguvu na kisha kunywa maji ya ziwa lote la Tiberia na kuua watu wote wataokuwa wanakutana nao njiani.Hata hivyo,Isa,Imam Mahdi na walioamini wote watafanikiwa kupandisha juu ya mlima na kuomba huko ili Gog na Magog waangamizwe.Allah,akiisha kusikia sala hizo atatuma magonjwa na minyoo ili kuwaangamiza.Gog na Magog wanasadikiwa kuwa ni watu wawili ambao waliumbwa na Mungu mwenye uwezo(Allah Most High) kutokana na Adamu na Mungu kwa kupewa uwezo mkubwa sana.
Sasa kama Muhammad hasemi uongo juu ya Dhul-Qarnaini,itawezekanaje kwa viumbe ambao Mungu kawaumba halafu hao viumbe Gog na Magog, Dhul-Qarnaini awe na uwezo wa kuwashikilia? Na ameanza kuwashikilia lini hao viumbe wawili? Je,ina maana Mungu na Dhul-Qarnaini(Dhul-Qarnaini wanashirikiana katika kuwaangamiza waislamu hadi afikie kuwaumba watu ambao Dhul-Qarnaini ameweza kuwashikilia?
Hebu tuelezeni huyu Dhul-Qarnaini ni nani hasa na uwezo wake unaanzia na kuishia wapi?
sahihi mkuuMungu angekuwepo, ansingehitaji hata lugha kuelewesha watu kwamba yupo na anataka waishi vipi.
Angeweka kwenye DNA habari hizo. Ukizaliwa tu unajua habari zote kutoka katika DNA yako. Huhitaji tafsiri ya kitabu cha Kiarabu wala Kiyahudi.Misahafu yote isingehitaji tafsiri wala dira. Angeweka habari zote katika DNA yetu.
Ukiona Mungu kaandikwa kitabuni, ujue huyo kaandikwa na watu tu, hayupo katika uhalisi.
Basi kumbe huna nia ya kupata majibu...hupo kama mgambo wa city...au tomaso[emoji23]..sie wenzako tunafikiria then tunakujibu,wewe una comment tu...umeuliza swali then you get an answer..so its upon you kukubali au kukanusha!...next time come n be smartMimi siwezi kutoa majibu kwa kuangalia picha tu! Mbona unataka kunipeleka katika kufikiri kama Mende? Kwa hiyo, unataka mimi kunifikirisha kuwa nikiona tu Picha ya mtu nisiyemfahamu nihitimishe kuwa ni wewe? Yaani nione picha hizo kisha nihitimishe kuwa ni Jua hilo? Vipi kama hicho ninachokiona katika picha zako ni Tochi kubwa sana ndio inaonekana katika hizo picha zako?
Kwa iyo mwanadam wa kwanza ni nan na alitokea wap1. Habari ya bin adam ni uongo. Bin Adam maananyake ni mwana wa Adam.
Adam hakuwahi kuwepo. Ni hadithi tu.
Kwa hivyo habari nzima ya "Bin Adam wa kwanza" imejengwa katika msingi potofu.
2. Swali la "nani" kaileta dunia hii lina assume kuna mtu/ Mungu/ dubwana lenye nafsi na kuweza kuitwa nani. Swali hili ni potofu. Ni kama kuuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?". Swali limeanza kwa ku assume wimbo wa taifa una rangi. Wrong assumption. Wrong question.
Maswali yako yote yameulizwa kwa wrong assumptions.
Thibitisha Mungu yupo na wewe.
Nipo njiani kwenye simu hapa. I cant dissect the minutia of that post.
Nimekuuliza hivi, unajua kwamba hoja ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwa na utata tu inaonesha huyo Mungu hayupo?
Unaelewa kwamba huu mjadala wa kuuliza kama Mungu huyo yupo ninushahidi kwamba hayupo?
Unaelewa kwamba angekuwepo, kila kiumbe kingetambua hilo bila utata wowote na wala kusingekuwa na mjadala wowote kuhusu kuwapo kwa huyo Mungu?
Rangibya wimbobwa taifa ni rangi ipi?Kwa iyo mwanadam wa kwanza ni nan na alitokea wap
Umeelewa ulichonukuu?Usidanganye au umeanza kuchanganyikiwa??
Umeuliza maswali zaidi ya 80 ya huko ulikoyaokota na nimekuletea majibu yake . Hujatoa hoja yoyote hata swali la mwanzo kupinga majibu yangu.Usikimbie. Au mna viranga wawili humu??
NakaziaMkuu huo muda unaopoteza kwenda kanisani bora uende bar.
Unajipotezea muda tu kama huna Imani
AiseeeMuhamad alitakiwa Apewa tuzo ya Oscar kwa kudanganya watu wengi zaidi hapa duniani akifuatiwa na Bi Hellen G White
Umeelewa ulichonukuu?
Au unalazimisha ubishi tu?
Na masai anapotembea na fimbo mjin mtaan muda wote ni kwamba anaenda kuchunga ng'ombehahaaa " na kwanini ashike upanga kwani walkuwa wanakwnda vitani ?
Mtafanya watu wakimbieHuyo rafiki yako kama alikuona mbaya ni kwa sababu hafahamu mambo mengi.Hili la Jua ni cha mtoto.Ninawaomba wanazuoni wa kiislamu wajipange sawa sawa.Kuna hoja tunaomba majibu yake yasiyoacha shaka.
Fungua uzi tutakujibu bila shaka kuhusu dhul qarnaini limekwisha ndio maana mnarukaruka
Kwa iyo unataka kusema viumbe wote dunian tunatokana na ninUnaelewa kwamba sikatai sheria. Nakataa Mungu kujipinga nature zake za msingi?
Unaelewa kwamba dhana ya Mungu anayejipinga nature zake za msingi pia inavunja sheria ya logical consistency?
Unaelewa kwamba ukishasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hakuna sababu yoyote iliyo na logical consistency na natures zake hizo ya Mungu huyo kuumba dunia anbayo mabaya yoyote yanawezekana?
Unaelewa kwamba kuwezekana kuwepo kwa mabaya yoyote katika ulimwengu huu kunaonesha Mungu huyo hayupo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee
Nimejiuliza tu mkuu, maana Jana niliona jua linachomozea kwenye mlima na wakati wa kuzama likazama kwenye maji ziwa Tanganyika.Unaniuliza mimi au Kurani?