Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Asiejua maana usimwambie maana ahahahahahaahha baki hivyo hivyo bongo fleva ahahhaahhaahahahah

Ingekuwa wewe ni muisilamu muumini ungekuwa na hii singo hii [emoji117] lakini kwa sababu ni teja WA bongo flever umeleta kilicho rohoni kwako [emoji15] [emoji12]
 
Njoo nyumbani umuuliza mzee mshahara bila shaka tatizo lako litakwisha, aya Niambie nani alianza kumiita wewe na genge lako WAKRISTO? Ahahahahhaah
Muulize YESU shaka yako itakwisha [emoji4]
 
Ahahahahaahahaahaha kumbe Mungu ni roho , ndio maana hawezi kuwa kama wewe , bila shaka umeelewa mfano wa Mungu ni kwenye mamlaka sio maumbile ahahhaahhaahahahah au roho inapua ?

Iwe Mamlaka au maumbile MUNGU KATAMKA NA NIMUUMBE MTU KWA MFANO WETU [emoji117] [emoji109] [emoji106]
 
Wapi nimekiri?
Moses Aliamuru lini kuua?
Jibu maswali yangu, porojo za nini? Muhammad ni Mungu?
kwanini hiyo mistari hutaki kutuambia inasema nini?
Pagan religion for pagan Abdul-Harith. Waabudu mawe.

 
Hoja nin hapo bwana mdogo ? au kutokewa na Gabriel pango? mbona YAKOBO alimpigisha misamba Mungu wako mpaka kuchwee , Mungu akacheza rafu ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah
Kwani sio wewe uliye sema kumsukuma mlevi [emoji350] [emoji344] mlevi NDIO huyo tumsukume [emoji38] [emoji38]
 
THE PROBLEM WITH THE ISLAMIC VIEW OF PAUL.


The common Muslim view of Paul has significant problems even when considered from an Islamic perspective.

First, what happened to the disciples?

How were they so easily overcome by Paul that either they were convinced by his trickery and followed him, or their voices were completely drowned out and there is no record of their dissent?

Was this outsider that much more powerful than Jesus that he was able to undo all of Jesus’ work and teachings? .


The problem becomes sharper when we revisit one of the Quranic verses that makes a promise to Jesus:

“Indeed, I will cleanse you (Jesus) from those who disbelieve, and I will make those who follow you superior to those who disbelieve, until the day of resurrection” (3.55).

Allah promises to make the disciples superior to disbelievers, and Jesus would be made free from such disbelievers.

The Muslim view of Paul, that he overcame the disciples and hijacked Jesus’ message, seems to ignore the Quran’s promise to the disciples.


It would be helpful if the Quran had something to say about Paul, but it says absolutely nothing, never so much as mentioning his name.

Given the pivotal role Muslims often think Paul had in corrupting Christianity, the silence is deafening. Why does the Quran not mention him?
Is it on account of the Quran’s omission that Muslims in the early and classical periods of Islam, such as Tabari and Qurtubi, saw Paul as a follower of Jesus?

In any criminal law; three aspects of a crime must be established before a suspect can be found guilty:
a means,
a motive, and
an opportunity.

The Islamic view that Paul hijacked Christianity fails to secure any of these three. Paul could not have had the means because Allah promised to make the disciples insuperable; there is no viable motive for Paul to deceive the church as his efforts earned him only persecution and a death sentence; and there is no model suggested that clarifies how Paul might have had an opportunity to overcome all the disciples and hijack the church. Of course, not only should Paul be considered innocent until proven guilty, but as far as the investigation is concerned, there simply is no evidence to convict him. Case closed.
 
Hivi ni vichekesho kama vichekesho vingine ahahhaahhaahahahah halafu kumbe unavyo vichache mbona unarudia vile vile tu ahahahahhqhhahah hauna jipya Ahahahahaaaahqa

Sikujua kama unavipenda dogo [emoji38] hiki jee jifunze kisha hifadhi hizo kwanza [emoji106] I am at your service [emoji4]
 

Why Paul should not be trusted

Paul never met Jesus in his life.

This is one of the main reasons to not trust and believe in Paul.

Before his self-claimed apostleship, his name was Saul and he used to be a murderer of the true believers.

On the road to Damascus, while on assignment to harass the true believers, he claims to have seen a vision of Christ, after which, he claimed, that Jesus gave him the authority to teach in his name.

There are many problems here.

Since he never met Jesus, common sense says that he has nothing to do with the religion and when we read what he has to say, we find that he really has nothing to do with the true religion of Prophet Jesus (peace be upon him).

Lets take a look at Paul’s vision as he describes it to various different people of different races.

1. In ACTS 9:3, it is stated that only Paul fell to the ground on seeing the light. Verse 7 says that others with him stood speechless.

2. ACTS 26:14 says they ALL fell to the ground.

3. ACTS 9:7 states that the people who journeyed with Paul didn't see anyone but heard a voice.

4. ACTS 22:9 says that those who were with Paul saw the light but DID NOT hear the voice of the speaker.


The above are clear contradictions and any man would immediately reject Paul completely after reading these verses.

If these are just clear lies and Paul has forgotten where he said what, then it is nothing more than his stupidity but if he is deliberately using this technique to tell different stories to different people, then this technique is still yet present.

Such a technique has laid a very important base of the Church i.e. adopt an approach that suits the person.

Festivals like Christmas; Halloween etc have nothing to do with Christianity but the Church has introduced them into it following the footsteps of Paul.

"But be it so, I did not burden you nevertheless, being crafty, I CAUGHT YOU WITH GUILE."
(2 CORINTHIANS 12:16)

…and with it, he lies again,

1 Thess. 2:3
"For the appeal we make does not spring from error or impure motives, nor are we trying to trick you."

“I say the truth in Christ, I lie not"
(Rom. 9:1, 1 Tim. 2:7)
 
Murongo wewe. na Mudy anaposema kuwa Allah atahamishia dhambi zeu kwa wasioamini alikuwa anaota au Kojo la ngamia lilimzidi?
 
Wapi nimekiri?
Moses Aliamuru lini kuua?
Jibu maswali yangu, porojo za nini? Muhammad ni Mungu?
kwanini hiyo mistari hutaki kutuambia inasema nini?
Pagan religion for pagan Abdul-Harith. Waabudu mawe.

Ahahahahaahahaahaha huyu kumbe ni mweupe sana haya twende kazi
1. Wapi nimekiri Mungu asamehi ?
JIBU : hatuitaji wewe ukiri au usikiri hilo utajua mwenyewe , huo ni ugonjwa unaougua wew , MUNGU ALIUA uzao wa kwanza wa Misri wala HAKUSAMEHE.
KUTOKA 12:29
"Hata ikawa , usiku wa manane Bwana AKAWAPIGA wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa FARAO aliyeketi katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa mtu ALIYEFUNGWA katika Nyumba ya wafungwa wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa WANYAMA";

Ahahahahaahahaahaha kaua WATU na WANYAMA. Watu wamefanya Uovu sawa je wanyama wamefanya nini mpaka akawaua? Ahahahahhaah Mungu kuna mda asamehi wewe ukubali au ukatae sio tatizo Ahahhahahahahah

2.Musa aliamuru lini KUUA ?
JIBU : uvivu wa kusoma maandiko ni jambo baya sana ahaahhhhhahaha
HESABU 31:15-18
15" Musa akawauliza , Je mmewaponya wanawake wote hai?
17"; Basi kwa ajili hiyo MWUENI kila mume katika hao WATOTO , na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye
18" lakini hao WATOTO wote wa kike ambao hawakumjua Mume kwa kulala pamoja naye , mtawaweka hai kwa AJILI yenu ";

Ahahahahaahahaahaha ndio Musa katoa amri ya KUUA ,baada ya majemedari kurudi vitani na mateka, Musa akatoa amri wafe wote waachwe wale bikra tu ahahahahhqhhahah
3. Kwani Mohamadi ni Mungu ?
JIBU: Mohamadi sio Mungu aliwaadhibu WAUAJI kama Nabii SAMWEL alivyomwadhibu MUUAJI mfalme AGAGI mbele ya Bwana huko Gilgali
1 SAMUEL 15:33
" Lakini SAMWEL akamjibu , kama UPANGA wako ulivyofanya wanawake KUFIWA na WATOTO wao, vivyo hivyo mama yako ATAFIWA miongoni mwa wanawake . Basi SAMWEL AKAMKATA Agagi VIPANDE mbele za Bwana huko Gilgali";

sasa kama Mohammed kuwaadhibu WAUAJI anakuwa Mungu , Je SAMWEL alieua MUUAJI Agagi utampa cheo cha Mungu mkuu? Ahahahahhaah ahahaahahhahah kasome tena
 
Kwani sio wewe uliye sema kumsukuma mlevi [emoji350] [emoji344] mlevi NDIO huyo tumsukume [emoji38] [emoji38]
Ahahahahaahahaahaha Mungu kabanwa mpaka ana taka ashike nyeti za mja wake ahahahhaaahahhahahaha Yakobo ni hatari
 
After this scenario what happened to Paul then?
 
Ingekuwa wewe ni muisilamu muumini ungekuwa na hii singo hii [emoji117] View attachment 922014View attachment 922015 lakini kwa sababu ni teja WA bongo flever umeleta kilicho rohoni kwako [emoji15] [emoji12]
Mtume alilingania watu miaka mingi hiyo aya ni kwa ajili ya makaidi , ila wewe mgeni bado ujawa mkaidi unaelewa kuwa Mungu kamtuma Yesu, hivyo Mungu ni boss na Yesu ni mtumwa tu ahahahahhqhhahah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…