Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hilo ni swali la ngapi Kati ya yale uliyouliza??
Ni swali moja linalojumuisha maswali yote.

Unaelewa kwamba ulimwengu uluoumbwa na Mungu mjuzibwa yote, mwenye uwezo wote na uoendobwote hautakiwi kuwa na swali lolote kumhusu Mungu huyo?

Unaekewa kwamba mtu yeyote kuweza kufikiria swali lolote linalohoji uwepo wa Mungu huyo kunaonesha Mungu huyo hayupo?

Unaelewa Mungu huyo hana sababu ya kujificha nyuma ya utata wowote?

Unaelewa kwamba utata wowote kuhusu kuwepo kwa Mungu huyo kwa kufuata mantiki Mungu huyo angeumaliza kabla haujaanza kwa kuwapa viumbe wake wote uelewa wa kumuekewa vizuri?

Unaelewa kwamba kuwepo kwa wanyama wasio na uwezo wa kujua mengi kunaonesha Mungu muweza yote, mwenye upendo wote nabujuzibwote hayupo?

Kwa nini Mungu huyo mnayemsema ni mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hajajiweka wazi ajulikane na wote kwa namna ambayo haina utata na hairuhusu mjadala wowote?
 
Mungu anamsimulia moh'd ya kwamba Qarnain aliliona jua likizama kwenye tope
 
Aya nabadilisha kiswahili....mtu wa kwanza dunian alitokea wapi au kiumbe wa kwanza kuwalk the earth alitokea wap
 
Well, interesting questions! Nionavyo ni kwamba, masuala ya imani yanaeleweka vizuuri sana yakielezwa kiiman. Kwanza kabisa mimi ni Christian, so majibu yanaweza kuwa na muelekeo huo ila natumaini tutaelewana.

Katika imani na maandiko matakatifu pia kuna "colorful poetic theological talk"!!! Mfano 'giza' most often is associated to 'evil', na 'nuru' ni yale mema ambayo Uislamu, Ukristo na dini nyingine unayapa kipaumbele.

Kwa namna ya nuru; assume umezamishwa katika maji masafi mchana, ilhali umezama ukifungua macho utaona! hata kama macho yatakosa raha kidogo: maji masafi hapa ni kama 'purity' yaani safi, yenye nuru na pia isiyo na mawaa! Ni kama umezamishwa pahala pasipo na dhambi (katika kanisa au masjid). Hakika utaona tumaini la kukombolewa.

Kwa mfano huo, sasa the opposite: assume umezamishwa katika lindi la maji machafu yenye tope: ukiwa umezama na ukafungua macho hutaona na 'very likely' utakuwa kipofu! Kumbuka humo ni giza na 'full of evil', mfano katika dangur(l)o, au ulevini - dambini - na ikumbukwe kwamba "mshahara wa dhambi ni mauti"! Hakika humo bila rehema (rahma) za Allah utaangamia tu!

Mifano hii inaniaminisha kuwa "jua linachomoza kutoka chemchem ya matope" kiimani kuwa ni kweli: na kisayansi tuweke pembeni kwanza. Matope ni uchafu usiopendeza kwa Mungu wetu na pia kwa sisi viumbe aliotuumba. Ni uchafu unaomaanisha kuishi maisha yasiyompendeza Mungu yaani kuishi katika dhambi. Na uchafu huu tunatakiwa kuushinda.

Ukweli wa kiroho ni kwamba dhambi haina nguvu kama una nguvu za kiutukufu ndani yako na kwamba wewe umeumbwa uishi nuruni na hivyo uwe kama jua kulishinda giza na kuweza kuchomoka katika chemchem ya matope pamoja na vifungo vyake. Remember this isn't science!

Ikumbukwe kwamba dini iliyo bora ni ile inayo hubiri 'upendo', na 'kumpenda Bwana Mungu wako'. Pia tukianza kutafuta sababu na ukweli wa kisayansi katika kila neno kwenye maandiko matakatifu, hakika tutaishia kuwa watenda dhambi na kuachana na upendo na kumpenda Bwana Mungu wetu. Tuchomoke kutoka chemchem yenye MATOPE.
 
Kama Alex the great nae ni nabii basii hiyo qur'an Haifa hata kuombea maji ya kunywa maana Alex the great nimtu ambaye aliyefanya uharamia yaliyosabbisha mauaji ya watu wengi mnoo kwaajili ya uroho wake wakutawala"" kabla hajaivamia india na kupewa kichapo kilichopelekea mauti yake "" hahaaaa mtume w a mungu kapigwa ?? mtume wa mungu alikuwa anauwa na kuwafanyia watu utesi "",aiseee kuna haja sasa yakuzitazama hizi dini vyema "
 
Tupe aya nzima ilikuwa inasemaje kwanza
Kwani hicho ni kipande cha aya?? Kila aya ndani ya fuqan ina sababu ya kushuka, imeshuka wapi, na baba kassim kaifundishaje! sawa! Nakuulizia tena alicho ongea muhammad kwamba asali ni haramu kasema kweli au ni uongo? Jee allah alikuwa anamsifu au anamkemea?! nimekuletea hiyo ayat baba ya wewe kudai kwamba baba kassim hajawahi kusema uongo!
 
Hapa haji muislam abadan! Ngoja nimuite ust chilubi Gavana..
Ama weye akili zako chenga kweli, mambo mengine sio sooooote tuje tuchangie. Yaani wewe unapost reply yako, juu yako kuna mtu amejibu vizuri tu. Tena tuhangaishane nini

haa mym amejibu hapa vizuri tu na simple.... sasa ukiwa chenga ndio chenga tena tutakufanya nini 😀 😀

We kwanza anza ku analyze bibilia yako au imekushinda maana iko vururu?
Ona hapa uone kichekesho cha ulimwengu: 1 Chronicles 16:30: “He has fixed the earth firm, immovable.”

Picha ya kwanza na ya tano nikiwa namsimulia mtu jinsI nilivyoliona jua linazama nikamiambia nimeliona jua linazama kwenye maji nitakua namaanisha linazama kwenye maji kweli au ndivyo nilivyoona kwa muono wangu? VipI kuhusu picha ya pili Jua si naliona linazama ardhini? Na picha ya tatu utamuelezeaje mtu kwamba unaliona jua linazama vipi? Nikisema nyuma ya mlima nitakosea? Picha ya nne nikisema jua limezama kwenye mawingu meusi je?

Nadhani hata huyo anaesimuliwa katika Qur an anasema aliliona jua linazama katika matope meusi kwa muono kama huo hapo juu.
 
Kwa iyo unataka kusema viumbe wote dunian tunatokana na nin
Sijui.Hilo ni swali lankuchunguzwa.

Katika uchunguzi wa kupata jibu sahihi kuna njia nyingi. Kuna kitu kinaitwa "elimination method". Unaondoa majibu yasiyo sahihi unatafuta sahihi.

Katika elimination method hapa tunaona Mungu si jibu sahihi. Ana contradictions. Hana logicalnconsistency.

Ni kama umeambiwa tafuta square root ya mbili. Umeambiwa ni ndogo kuliko mbili. Halafu mtu anakwambia jibu sahihi ni 10. Hata kablabhujajua square root ya 2 ni nini, utajua si 10. 10bsi jibu sahihi. Kwa sababu lina contradict kanuni inayosema jibu ni lazima liwe dogo kuliko 2. Jibu la square root ya 2 ni 10 halina logical consistency na square root ya 2 kuwa ndogo kuliko 2.

Dhana ya kuwapo Mungu nibkama jibu la square root ya 2 kuwa 10. Majibu yote yana contradictions. Majibu yote hayananlogical consiatency. Ukikubali Mungu huyu yupo, nibsawa nabumekubali square root ya 2 ni 10.

Hata kama sinui tumetoka wapi (sijuibsquare root ya 2 ni nini) najua hatutokani na Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote (najua kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10).

Tungekuwa tumeumbwa na Mungu huyo, dunia isingekuwa na mabaya. Square root ya 2 ingekuwa 10, kwanza 10 ingekuwa ndogo kuliko 2.

Kusingekuwa na magonjwa, vifo, umasikini etc.

10 ingekuwa square root ya 2, 10 X 10 ingekuwa 2. Lakini tunaona 10 X 10 si 2. Ni 100.
 
Nilitaka kuingia kwenye mjadala ila nikakutana na Swali la Joshua kusimamisha jua wakati jua lipo static na bado watu wanaami kuwa kweli alisimamisha nikaona bora niwaachie wafia dini.
hahaaaa " hiyo habari ya kusimmisha jua mbona hata kwenye Quran upo " eti wanasema muhhamamad naye alisimamisha jua
 
Retarded mind
 

Ni namba ngapi Kati ya Yale uliyouliza??
Ndivyo ulivyoambiwa na Mungu wako Wanyonyi??
 
Apa umejizungusha tu....basi tufanye tuliota tu kama miti
 
We jibu unaloona unaliweza
Unapouliza mtu wa kwanza, tuanze na mtu wa sasa.

Kipi kinakufanya ujue huyu ni mtu na huyu si mtu?

Unamtenganishaje mtu na wasio watu?

Maana hatuwezi kumzungumzia mtubwa kwanza, wakati hatujam define mtu ni nani hata wa sasa.

Naomba nijibu hili swali ili tuendelee na mjadala.
 
Ukiwa na proof huamini.

Unaelewa hilo?
Bado sana kujikomboa kifikra ukikwepa dini lazima uangukie scientific theory ambazo kama hujaziprove mwenyewe basi ni sawa na story za alfu lela ulela. HUWEZI ZIBITISHA YWEPO WA MUNGU KAMA AMBAVYO HUWEZI ZIBITISHA UWEPO WA BLACK. HOLE. AKIYEMUONA MUNGU NDIO ANAWEZA KUZIBITISHA UWEPO WAKE NA ALIYEONA BLACK HOLE NDIYE ANAWEZA KUZIBITISHA UWEPO WAKE SIYO WEWE ULIOISHIA KUSOMA KWENYE VITABU.
 
With all due respect hapa umekosea mbaya we umechukua tafsiri with literally meaning wakati hiyo aya inazungumzia muono wa Dhulkanaini anapolitazama jua na wala si jua linazama kwenye tope
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…