Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kwa nini unatumia the corrupted book kujenga hoja yako badala ya kitabu kisichokuwa na shaka?Ni kweli mimi ni mkristu ila nilikutega uikatae biblia kwa sbb madai yrnu alwayz mkibanwa husema kuwa biblia imevurugwa.Why use the bible?
Kwa sababu wewe bado unaamini sio corrupted ndio maana mpaka leo upo huko kwenye ukristo , hivyo kama inahitajika mifano hai ili upate kuelewa tutakupa kutoka huko huko unapokuamini
 
Hadithi zote zinaonyesha umuhimu wa kumtii imamu kwa sababu ndio kiongozi. sasa hapo unachotamba kipi ? mbona hata huko kwenu makuhani wamepewa hadhi kubwa kiasi kwamba ata mtoto wake wa kike akiolewa bila bikra anapaswa AUAWE kwa sababu amemnajisi baba yake , Ahahahahaaaahahhahhaaha lazima utii viongozi sio ombi ahahahhahaahaaa
 
Kwa sababu wewe bado unaamini sio corrupted ndio maana mpaka leo upo huko kwenye ukristo , hivyo kama inahitajika mifano hai ili upate kuelewa tutakupa kutoka huko huko unapokuamini
Siyo kwamba kitabu kisicho ma shaka kimeplagiarize kutoka kwenye upagani na biblia?wacha kitabu kisicho ma shaka na kilichokamilika kijitetee katika ukamilifu wake.
 


Kama alivyochinjwa huyo mungu wako ??? BAADA KUCHUKULIWA NA SHETANI KAMA KUKU NA KUONYESHWA MJI ??


 


WANAPAPATIKA , WAMENASA PABAYA ETI MUNGU ACHUKULIWE NA SHETANI AONYESHWE MJI , BAADAYE AJE ACHINJWE KAMA KUKU ??? HIZI AKILI MWISHO
 
Logic iko wapi kukataa wewe kufanana(an Image of ) na Allah kwa kuwa unaweza fikiria na kutenda. Unakubali kuwa mlima ni ishara ya Allah?
Kwahiyo ndo maana mnakwenda kuabudu hapo huku mkinyenyekea?
Pagan rituals will kill you brother!
Ushetani umewajaa na tama zake.

 
Tell us how many transformed into Donkey since then?
 
Huna majibu unakimbia kimbia tu kama punda wa Muhammad anaelekea Peponi.
Muulize Allah kwanini hakumpatia Mudi idhini hiyo.
Yohana 17:3 ni maneno yake Yesu. na yupo sahihi kusema hivyo.
Quran imeshuka na muongeaji ni Allah kwa maelezo yenu Abduls wote. Jibril is just a delivery boy for the untouched called quran!
Deal with it Abdul.
 
Wivu? Kwa kumpiga nduguyo?
Mnampiga kisha anakua na kuongezeka kimo kila kukicha????
Mecca is the only place on Planet Earth, where Devil and Allah Live on same City! hahahahaaaaa.

Sababu za Uvumba unazielewa?

Soma hii kisha unambie ulinganifu wako wa uvumba na kugongomola sheitwani mawe vinafananaje?
2 Mambo ya Nyakati 29
1 Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka ishirini na kenda; na jina la mamaye aliitwa Abiya binti Zekaria.

2 Akafanya yaliyo ya adili machoni pa Bwana, sawasawa na yote aliyoyafanya Daudi babaye.

3 Yeye, katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, katika mwezi wa kwanza, aliifungua milango ya nyumba ya Bwana, akaitengeneza.

4 Akawaingiza makuhani na Walawi, akawakusanya uwandani upande wa mashariki,

5 akawaambia, Nisikieni, enyi Walawi; jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya Bwana, Mungu wa baba zenu, mkautoe uchafu katika patakatifu.

6 Kwa maana baba zetu wameasi, na kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, Mungu wetu, wamemwacha, na kugeuzia mbali nyuso zao na makao ya Bwana, na kumpa maungo.

7 Tena wameifunga milango ya ukumbi, na kuzizima taa, wala hawakufukiza uvumba, wala hawakumtolea Mungu wa Israeli sadaka za kuteketezwa katika patakatifu.

8 Kwa hiyo hasira ya Bwana imekuwa juu ya Yuda na Yerusalemu, naye amewatoa kuwa matetemeko, wawe ushangao, na mazomeo, kama mwonavyo kwa macho yenu.

9 Kwa kuwa, tazama, baba zetu wameangamia kwa upanga, na wana wetu, na binti zetu, na wake zetu wametekwa kwa ajili ya hayo.

10 Basi nia yangu ni kufanya agano na Bwana, Mungu wa Israeli, ili kwamba hasira yake kali itugeukie mbali.

11 Basi wanangu, msijipurukushe sasa, kwa kuwa Bwana amewachagua ninyi msimame mbele yake, kumhudumia, nanyi mpate kuwa watumishi wake, mkafukize uvumba.

12 Ndipo wakaondoka Walawi, Mahathi mwana wa Amasai, na Yoeli mwana wa Azaria, wa wana wa Wakohathi; na wa wana wa Merari, Kishi mwana wa Abdi, na Azaria mwana wa Yehaleleli; na wa Wagershoni, Yoa mwana wa Zima na Edeni mwana wa Yoa;

13 na wa wana wa Elisafani, Shimri na Yeueli; na wa wana wa Asafu, Zekaria na Matania;

14 na wa wana wa Hemani, Yehueli na Shimei; na wa wana wa Yeduthuni, Shemaya na Uzieli.

15 Wakawakusanya ndugu zao, wakajitakasa, wakaingia, kama alivyoamuru mfalme kwa maneno ya Bwana, ili waisafishe nyumba ya Bwana.

16 Nao makuhani wakaingia nyumbani mwa Bwana, katika mahali pa ndani, ili waisafishe, wakatoa uchafu wote waliouona hekaluni mwa Bwana, wakautupa nje uani mwa nyumba ya Bwana. Walawi wakautwaa, ili wauchukue nje mpaka kijito cha Kidroni.

Inaendelea.... Utasoma kwa faida yako.
 
Sasa wapi mimi nimeseam chakula kichafu?
Unawehuka wewe?
Mbona hamtaki kula tukichinja KUKU, MBUZI/NG'OMBE nk? zinachafukia wapi?
Devil and Stone KISSER, where is the logic there?

Umeongelea chakula, Vipi kuhusu kuoa??
 
Sasa Shida iko wapi?
 

hiyo koloani 27:93 [emoji53] allah anatamka kwamba sie Mwenyezi Mungu ila Sifa zote ziende kwa Mwenyezi Mungu [emoji106] halafu nyinyi kina masudi mnamfanya allah ndio Mwenyezi Mungu [emoji15] [emoji12] hamna tofauti na huyu aliye logwa [emoji117] [emoji12]
 

mmeambiwa mkiwa na njaa au dharula mle mpaka mzoga wa nguruwe [emoji117] zaidi ya kula mzoga kipi kibaya [emoji351] [emoji346] labda mavi [emoji15] [emoji12] allah anakataa kwamba kaharamisha hao wanyama mnao sema haramu kama mnambishia leteni mashahidi na hata mkiuleta allah anatuagiza tuukatilie mbali [emoji117]
 
Ahahahahaahahaahaha unatapa tapa kama unataka kukata roho ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah

mnachekesha sana kutokana na mnavyo penda ngonoka kuliko Mungu [emoji12] sasa uchu wenu ibilisi kawatega na kuwapata baada ya kuwaahidi dangulo fake kwa makundi [emoji24] [emoji24] mtakoma kuaminishwa ujinga [emoji117] [emoji33] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 

hapa uone anacho Ahidi Mungu [emoji117] tupo ki-Digital [emoji106] analogia Mungu amesha ifekelea mbali [emoji53]
 
Mimi siamini katika biblia,why unatumia bible kujenga hoja yako?Tumia kitabu kisicho na shaka nisilimu!Ina maana bila hiyo scripture ya bible hoja ya kuabudu jiwe haijitoshelezi?

Mkristo haamini biblia unatumia Kitabu gani au uko the devil's church
 
kuandimisha kwani shetani hayupo tena [emoji351] [emoji346] basi mnaadhimisha ujinga shetani hapigwi kwa jiwe [emoji12]
Kumbe unampenda Shetani kwa vile alimbeba mungu wako akamwonyesha mji??
 

Mbona unatuletea mambo usiyoyaamini au uliposema huamini biblia ulikuwa umeleweshwa Kojo la punda wa Ezekiel 23 :20
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…