Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Sikiliza hyo clip mkuu ila kama shule hujaenda wala usijisumbue kuifungua....utaishia kuona mapicha picha tu afu uje uwaambie watu umeona matango pori...wasomi wanamuelewa sana huyu sheikh.Watu kazi tunayo! watu wanaweza kukulisha Tangopori wakikuaminisha kuwa ni keki wakati wewe unaona kabisa ni tangopori na baadae ukaanza kuamini huenda kweli ni keki.
Sikiliza hiyo video kwa makini otherwise uniambie huna "Shule" kichwani....Mnajifanya mpo vzr kichwani huku mkiishia kukariri tu shule ili mfanye mitihani kufurahisha jamii kumbe weupe tu......Huyo sheikh kafafanua vzr sana kwann Quran ilitumia lugha ile hii ikiwa ni kutoa Elimu kuhusu MWANGA,soma vitu uelewe.Kila anayesoma ujinga huo huishia kucheka tu na kuona aibu kutoa maoni.Jua topeni?Subhanallah!
Siangalii.Kwa hiyo jua huzama topeni?ππππSikiliza hiyo video kwa makini otherwise uniambie huna "Shule" kichwani....Mnajifanya mpo vzr kichwani huku mkiishia kukariri tu shule ili mfanye mitihani kufurahisha jamii kumbe weupe tu......Huyo sheikh kafafanua vzr sana kwann Quran ilitumia lugha ile hii ikiwa ni kutoa Elimu kuhusu MWANGA,soma vitu uelewe.
Huyo anaitwa SHEIKH HAMZA SULEYMAN...Nenda youtube utakutana na mada zake nyingi sana akielezea QURAN NA SCIENCE....Kama wewe ni muislam kweli nakuhakikishia imani yako kupanda kwa kuangalia clip zake 3 tu,utagundua Quran siyo kitabu cha KAWAIDA japo watu wanakichukilia poa na wengine kukikashifu kwamba ni kitabu cha majini.Kifupi nimefurahiswa sana na clip hii.
Haya mambo ndiyo napenda kusikiliza mie, maswali ya dini yanye kujibiwa kisayansi!
Ubarikiwe sana mtoa hoja.
Ingawa mie si mfuasi wa dini hii, lakini hata katika madhehebu ninayoyaamini na kuyafuata, hujibu hoja kinadharia zaidi na kumfanya muumini abakie kwenye "mataa" yaani ajenge mwenyewe jibu na kujijibu mwenyewe, sasa hiyo ni hatari sana kwa afya ya uumini!
Kungelikuwa na uwezekano wa kupata mahubiri ya huyu Sheihe, direct ama indirect waalah ningelitumia muda wangu mwingi kusikiliza hotuba zake hizi zenye manufaa.
We unana ni sahihi jua linazama topeni, kama kila kitu kimeongelewa kwenye Quran kwanin nchi za ki-islamu ziko nyuma sana kwenye uvumbuzi wa science and technologyHuyo anaitwa SHEIKH HAMZA SULEYMAN...Nenda youtube utakutana na mada zake nyingi sana akielezea QURAN NA SCIENCE....Kama wewe ni muislam kweli nakuhakikishia imani yako kupanda kwa kuangalia clip zake 3 tu,utagundua Quran siyo kitabu cha KAWAIDA japo watu wanakichukilia poa na wengine kukikashifu kwamba ni kitabu cha majini.
Binafsi kabla nilikuwa sijui kama ile X na Y iliyo katika manii za mwanaume kwamba inaweza zikatajwa kwenye Quran ....sikufahamu aisee,yan hadi X na Y Quran imezitaja!
Nendeni youtube mkamsilize huyo Sheikh anavyodadavua mambo.
Utaangaliaje na "Shule" ulikuwa unakula mihogo ya kukaanga tu!,walioenda shule wataangalia wewe kaa hvyo hvyo na kutu zako za moyo hakuna chochote unachopunguza kwenye uislam zaidi ya kukosa maarifa kama ulivyoyakosa kule shuleni.Siangalii.Kwa hiyo jua huzama topeni?ππππ
Kwanini nchi yako ina kila kitu lakini mpk muda huu ninaamini acc yako bank inasoma tarakimu "nne"? na pengine hata chai hujakunywa muda huu.We unana ni sahihi jua linazama topeni, kama kila kitu kimeongelewa kwenye Quran kwanin nchi za ki-islamu ziko nyuma sana kwenye uvumbuzi wa science and technology
Umehahama Tena tunaongelea maswala ya qurani mambo ya Tanzania yanakujaje Tena we umeshaona mim nikiisifia TanzaniaKwanini nchi yako ina kila kitu lakini mpk muda huu ninaamini acc yako bank inasoma tarakimu "nne"? na pengine hata chai hujakunywa muda huu.
Mkuu una kiwango gani cha elimu? tuanzie hapo kwanza,maana inaonekana kama mna shida fulani hv kichwani.....umeambiwa fungua hiyo video usikilize kwanini imetumia hyo lugha? "Kuzama kwenye tope jeusi"hiyo lugha ni lugha ya kisomi mkuu,hapo Quran inaongea na watu walioenda Shule.....hebu fungua hyo video mkuu ,akili huna na MB pia huna?Tena kwenye tope jeusi. Dah muddy katia fora.
Ok,nishakuelewa sasa wewe ni mtu wa aina gani.Hahahaha bwahaaa kwikwikwi . Linazama kwenye tope jeusi au halizami?
Yesuuuu Akbar Yesu Akbar
Ninyi jamaa huwa miongo sana.Dini ya juzijuzi ila wasumbufu balaa.Mara mjiue.Mara mjidai mnapandisha mori.Hoovyoo!Jua linazama topeni?πππππUtaangaliaje na "Shule" ulikuwa unakula mihogo ya kukaanga tu!,walioenda shule wataangalia wewe kaa hvyo hvyo na kutu zako za moyo hakuna chochote unachopunguza kwenye uislam zaidi ya kukosa maarifa kama ulivyoyakosa kule shuleni.
Akijibu nistue akakabidhiwe kisima cha mafuta pale Doha.We unana ni sahihi jua linazama topeni, kama kila kitu kimeongelewa kwenye Quran kwanin nchi za ki-islamu ziko nyuma sana kwenye uvumbuzi wa science and technology
Bakini nayo hiyo dini yenu.Kwanini mtumie misuli watu waione na kuikubali?Wabaguzi wakubwa ninyi.Hapana sisi siyo wasumbufu mkuu ila tumeamua kuchagua dini ya kweli na ya haki.
Kwani mbona watu husema nimezama chumvini,huwa wanamaanisha chumvi ya kutia kwenye mchuzi?Siangalii.Kwa hiyo jua huzama topeni?ππππ
Hamna mfanano hapo.Jaribu tena.Umefeli sana.Kwani mbona watu husema nimezama chumvini,huwa wanamaanisha chumvi ya kutia kwenye mchuzi?
Ni mfano tosha huo, sema umebanwa umeshindwa kumjibuHamna mfanano hapo.Jaribu tena.Umefeli sana.
Hakuna mfanano.Na ufikiri wetu ni tofauti,kumbuka.Ni mfano tosha huo, sema umebanwa umeshindwa kumjibu