Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Watu kazi tunayo! watu wanaweza kukulisha Tangopori wakikuaminisha kuwa ni keki wakati wewe unaona kabisa ni tangopori na baadae ukaanza kuamini huenda kweli ni keki.
Sikiliza hyo clip mkuu ila kama shule hujaenda wala usijisumbue kuifungua....utaishia kuona mapicha picha tu afu uje uwaambie watu umeona matango pori...wasomi wanamuelewa sana huyu sheikh.
 
Kila anayesoma ujinga huo huishia kucheka tu na kuona aibu kutoa maoni.Jua topeni?Subhanallah!
Sikiliza hiyo video kwa makini otherwise uniambie huna "Shule" kichwani....Mnajifanya mpo vzr kichwani huku mkiishia kukariri tu shule ili mfanye mitihani kufurahisha jamii kumbe weupe tu......Huyo sheikh kafafanua vzr sana kwann Quran ilitumia lugha ile hii ikiwa ni kutoa Elimu kuhusu MWANGA,soma vitu uelewe.
 
Siangalii.Kwa hiyo jua huzama topeni?😂😂😂😂
 
Kifupi nimefurahiswa sana na clip hii.

Haya mambo ndiyo napenda kusikiliza mie, maswali ya dini yanye kujibiwa kisayansi!

Ubarikiwe sana mtoa hoja.

Ingawa mie si mfuasi wa dini hii, lakini hata katika madhehebu ninayoyaamini na kuyafuata, hujibu hoja kinadharia zaidi na kumfanya muumini abakie kwenye "mataa" yaani ajenge mwenyewe jibu na kujijibu mwenyewe, sasa hiyo ni hatari sana kwa afya ya uumini!

Kungelikuwa na uwezekano wa kupata mahubiri ya huyu Sheihe, direct ama indirect waalah ningelitumia muda wangu mwingi kusikiliza hotuba zake hizi zenye manufaa.
Huyo anaitwa SHEIKH HAMZA SULEYMAN...Nenda youtube utakutana na mada zake nyingi sana akielezea QURAN NA SCIENCE....Kama wewe ni muislam kweli nakuhakikishia imani yako kupanda kwa kuangalia clip zake 3 tu,utagundua Quran siyo kitabu cha KAWAIDA japo watu wanakichukilia poa na wengine kukikashifu kwamba ni kitabu cha majini.
Binafsi kabla nilikuwa sijui kama ile X na Y iliyo katika manii za mwanaume kwamba inaweza zikatajwa kwenye Quran ....sikufahamu aisee,yan hadi X na Y Quran imezitaja!
Nendeni youtube mkamsilize huyo Sheikh anavyodadavua mambo.
 
We unana ni sahihi jua linazama topeni, kama kila kitu kimeongelewa kwenye Quran kwanin nchi za ki-islamu ziko nyuma sana kwenye uvumbuzi wa science and technology
 
Siangalii.Kwa hiyo jua huzama topeni?😂😂😂😂
Utaangaliaje na "Shule" ulikuwa unakula mihogo ya kukaanga tu!,walioenda shule wataangalia wewe kaa hvyo hvyo na kutu zako za moyo hakuna chochote unachopunguza kwenye uislam zaidi ya kukosa maarifa kama ulivyoyakosa kule shuleni.
 
We unana ni sahihi jua linazama topeni, kama kila kitu kimeongelewa kwenye Quran kwanin nchi za ki-islamu ziko nyuma sana kwenye uvumbuzi wa science and technology
Kwanini nchi yako ina kila kitu lakini mpk muda huu ninaamini acc yako bank inasoma tarakimu "nne"? na pengine hata chai hujakunywa muda huu.
 
Kwanini nchi yako ina kila kitu lakini mpk muda huu ninaamini acc yako bank inasoma tarakimu "nne"? na pengine hata chai hujakunywa muda huu.
Umehahama Tena tunaongelea maswala ya qurani mambo ya Tanzania yanakujaje Tena we umeshaona mim nikiisifia Tanzania

Jibu swali langu kama kila kitu kimeandikwa kwenye Quran mfano ukatolea x and y kwani wafumbuzi wengi au makampui makubwa ya science and technology hayapo kwenye nchi za kiarabu au zenye waislamu wengi
 
Na huwa linaibukia baharini hapo linakuwa safi linang'aaa tena. Mpaka jioni linazama kwenye tope tena
 
Tena kwenye tope jeusi. Dah muddy katia fora.
Mkuu una kiwango gani cha elimu? tuanzie hapo kwanza,maana inaonekana kama mna shida fulani hv kichwani.....umeambiwa fungua hiyo video usikilize kwanini imetumia hyo lugha? "Kuzama kwenye tope jeusi"hiyo lugha ni lugha ya kisomi mkuu,hapo Quran inaongea na watu walioenda Shule.....hebu fungua hyo video mkuu ,akili huna na MB pia huna?
Mnatulazimisha tutumie lugha ngumu sasa bila kupenda.
 
Hahahaha bwahaaa kwikwikwi . Linazama kwenye tope jeusi au halizami?

Yesuuuu Akbar Yesu Akbar
Ok,nishakuelewa sasa wewe ni mtu wa aina gani.
Watu design yako huwa nawageuza UBAO ili wenye akili wajifunze kupitia wewe japo najua utaendelea kubaki hivyo hivyo kama kama ulivyo ule ubao uliouacha kule shule usikufaidishe na chochote mpk sasa.
Narudi tena,ile lugha iliyotumika pale ile ni lugha ya kisomi mkuu,wasomi wa physics ile lugha ya "tope jeusi" wanailewa vzr mnoo.
Sasa nimekushauri kwamba na wewe ndg yang "PANGU PAKAVU" nenda fungua hiyo video usikilize kuna maarifa makubwa utayapata mkuu.....tenga muda kdg tu utapata kuelewa mkuu kwasbb huyo sheikh video nzima kaongea kwa kiswahili so naamini utaelewa tu.
 
MANENO MENGI NA AYA NYINGI NDANI YA BIBLIA NA KURUAN YAPO KATIKA UPEO MKUBWA NA MAFUMBO NJE YA UWEZO WA KIBINADAMU.(HAYATAFAKARIKI).
 
Utaangaliaje na "Shule" ulikuwa unakula mihogo ya kukaanga tu!,walioenda shule wataangalia wewe kaa hvyo hvyo na kutu zako za moyo hakuna chochote unachopunguza kwenye uislam zaidi ya kukosa maarifa kama ulivyoyakosa kule shuleni.
Ninyi jamaa huwa miongo sana.Dini ya juzijuzi ila wasumbufu balaa.Mara mjiue.Mara mjidai mnapandisha mori.Hoovyoo!Jua linazama topeni?😂😂😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom