Kifupi nimefurahiswa sana na clip hii.
Haya mambo ndiyo napenda kusikiliza mie, maswali ya dini yanye kujibiwa kisayansi!
Ubarikiwe sana mtoa hoja.
Ingawa mie si mfuasi wa dini hii, lakini hata katika madhehebu ninayoyaamini na kuyafuata, hujibu hoja kinadharia zaidi na kumfanya muumini abakie kwenye "mataa" yaani ajenge mwenyewe jibu na kujijibu mwenyewe, sasa hiyo ni hatari sana kwa afya ya uumini!
Kungelikuwa na uwezekano wa kupata mahubiri ya huyu Sheihe, direct ama indirect waalah ningelitumia muda wangu mwingi kusikiliza hotuba zake hizi zenye manufaa.