Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ndio nikakupa ushauri nenda rozana au jolly club utapata Pepo hata kuliko hiyo fake ys allah unayo subiri kupigwa kono kata.3 mvutuni ili ufuzu[emoji4]
Umechagua mwenyewe ujinga yaani ujitese duniani halafu malipo kwenda kuwa akudo impact wazee wa masauti,.ahahahaahaaha hivi mnaakili nyinyi ? ndio maana hata mkiambiwa yule wa kwenye video ni yesu mnaamini
 
Umebakia kubwabwaja uzwazwa [emoji12] wee vipi Babu jingA..[emoji15] View attachment 860919 [emoji12]

Dini ya Kikristo na imani ya mungu-mtu

Awali kabisa tumeona maandiko ya Biblia tukufu yakielezea jinsi Bwana Paulo na mwenzie Barnaba walivyokwenda kwa watu wa mataifa, yaani wapagani na kuwakuta watu hao tayari wanayo dini yao yenye miungu iliyokuwa na tabia ya kujigeuza kuwa wanadamu.

Sambamba na dini hiyo (ya wapagani), Biblia pia inafundisha kuwa miaka miwili baada ya Nabii Isa au Yesu (a.s.) kuondoka,

Bwana Paulo naye alileta duniani dini mpya ya mungu-mtu (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae) mwenye desturi naye ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu.

Dini hiyo aliyoianzisha Paulo aliita "Ukristo". (Tazama Biblia ya Wakatoliki, Imprimatur Mihayo, 1967 Tabora Uk. 1025).

Pamoja na shuhuda hiyo, pia kulingana na mafundisho yake (kama tutakavyokuja kuona kwa kirefu zaidi hapo baadae), ukiondoa majina yao, mungu huyo aliyekuja kumhubiri Paulo, kimsingi hakutofautiana kabisa na miungu hiyo ya wapagani.

Na kwa ujumla basi, ibada nyingi kama si zote za dini ya mungu wake huyo (ya Ukristo) kimsingi zinalingana sawa na zile ibada za watu wa mataifa (wapagani).
 
Unajisikiaje Raha bila kutahiriwa [emoji47] kweli [emoji117] View attachment 860944 [emoji33] [emoji33]

Uhusiano kati ya Ukristo na upagani

Katika kuhalalisha dini yake hiyo ya Ukristo, Bwana Paulo aliibua madai mazito kuwa ametokewa na Bwana Yesu na kumtuma aende kwa watu wa mataifa (wapagani) kuwapelekea dini (neno la Mungu)!

Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maelezo yake (Paulo) yafuatayo kama alivyokaririwa na Biblia tukufu:

"Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofutana nami pande zote. Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kumpiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe U nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikiuokoa na watu wako, na watu wa mataifa ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuelekea nuru, kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi". (Matendo ya Mitume 26:12-18).

Madai hayo ya Bwana Paulo ya kwamba katumwa na Bwana Yesu (a.s.) aende kwa watu wa mataifa kuwapelekea neno la Mungu, kimsingi hayakubaliki. Kwa sababu Bwana Yesu (a.s.) hana sifa ya kukiuka kauli zake mwenyewe zifuatazo:

"Hao thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo mwana wa Adamu". (Mathayo 10:5-6,23)

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". (Mathayo 15:24)

Aidha, maadai hayo ya Bwana Paulo, pia hayakubaliki kwa sababu kumwepusha mbali Bwana Yesu (a.s.) na sifa hatari ya kukiuka mipaka ya kazi yake aliyowekewa na Mungu kabla hata mwenyewe (Yesu a.s.) hajazaliwa, kama maandiko yafuatayo yanavyothibitisha ukweli huu:

"Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale tangu milele". (Mika 5:2)

"Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumba ya Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli". (Mathayo 2:6)

Kinyume na dai lake hilo, ukweli wa mambo unaonyesha kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao, kama yeye mwenyewe asemavyo hapa chini:

"Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Kwa maana kabla hawajaja watu kadhaa wa kadhaa waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa. Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao. Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawa sawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za mataifa, wala si za Wayahudi, kwanini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za Wayahudi? Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; Sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki. Lakini ikiwa sisi wenyewe, kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, tulionekana kuwa wenye dhambi, Je! Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha! Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji. Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu". (Wagalatia 2:11-19)

Maelezo yake hayo juu, yanaonyesha jinsi Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Kefa (Petro), Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokio (kwa watu wa mataifa) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi za watu wa mataifa (wapagani) kama walivyokuwa wakifanya hivyo hapo awali, kabla Wayahudi waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) hawajaja.

Aidha, Bwana Paulo anaonekana pia hapo akimlaumu Kefa (Petro) kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria; lakini kwa imani ya Kristo Yesu! Kwa maelezo yake hayo, ni wazi kuwa Bwana Paulo, Petro na wenzio wao wote yaonyesha dhahiri kuwa hawakwenda kwa watu wa mataifa huko Antiokia kwa jambo lingine lolote ila kufuata desturi za dini yao. Na kama tulivyoona hapo awali, dini yao hii watu hao wa mataifa (wapagani) ilikuwa ina miungu yao (Zeu na Herme) yenye desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Pia ilikuwa na ibada zake wanazoifanyia miungu yao hiyo.

Kwa hali hiyo basi, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, hapana shaka ni lazima pia huo ndio utakaokuwa msimamo wa dini yake ya Kikristo, kama tutakavyokuja kuona kwa urefu zaidi
 
Ahahahahahhahah bikira maria mama wa mungu utuombea , hii ni hatari kwelikweli
 
Hata sisi WaKisto Tunafahamu fika pasi na Shaka kwamba Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya Waisraeli. Ni kawaida kunukuu Vifungu MBALIMBALI ILI kuthibitisha Hilo
[emoji116] [emoji116]
Yohana 1:11-12
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. [12]BALI WOTE waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, NDIO WALE WALIAMINIO JINA LAKE;
[emoji115] [emoji115]
Zingatia hapo juu anasema "wale waliaminio Jina Lake" tu.

Angali akitaka WaIsraeli kumpokea. Yesu KRISTO alikua na The Biggest Plan ahead ya kueneza Injili Ulimwenguni Kote.
[emoji116][emoji116]
Mathayo 10:18
nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na WAFALME kwa ajili YANGU, kuwa ushuhuda KWAO NA KWA MATAIFA.

[emoji115] [emoji115]
Huu ujumbe unathibitisha unabii wa Roho mtakatifu kupitia Simeoni kua Yesu ndiye Nuru ya Mataifa yote duniani.

Simeon anena hapa chini[emoji116] [emoji116]
Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.

Nabii Isaya naye alimtabiria Yesu vivyohivyo..
[emoji116] [emoji116]

Isaya 42:1
[1]Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia ROHO YANGU JUU YAKE; naye atawatolea mataifa hukumu.

Yesu anaTOA unabii kuhusu Injili.
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 24:14
Tena HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBIRIWA katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa MATAIFA YOTE; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.

Marko 13:10
Na SHARTI Injili ihubiriwe kwanza katika mataifa yote.

Yohana 12:46
Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani.

Yohana 3:18
Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini JINA LA MWANA PEKEE WA MUNGU.

Mathayo 21:9
Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye KWA JINA LA BWANA; Hosana juu mbinguni.

Mathayo 28:18-20
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Bear in mind anapozungumzia Mataifa hazungumzii kua atakomboa na Mashetani ili yamrudie Mungu. Kristo amekuja Kukomboa wanadamu tu, aliewaumba kwa mfano wake na kuwapulizia na Pumzi akafanyika ScapeGoat kwaajili yao.

Yesu Kristo ni Adui Mkuu wa Mashetani na Baba wa Uongo na muuaji yote. Na Jina lake halitakwi na mashetani. Kwakua ni Jina Kuu Sana na Takatifu sana.

Uhusiano kati ya Ukristo na upagani

Katika kuhalalisha dini yake hiyo ya Ukristo, Bwana Paulo aliibua madai mazito kuwa ametokewa na Bwana Yesu na kumtuma aende kwa watu wa mataifa (wapagani) kuwapelekea dini (neno la Mungu)!

Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maelezo yake (Paulo) yafuatayo kama alivyokaririwa na Biblia tukufu:

"Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofutana nami pande zote. Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kumpiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe U nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikiuokoa na watu wako, na watu wa mataifa ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuelekea nuru, kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi". (Matendo ya Mitume 26:12-18).

Madai hayo ya Bwana Paulo ya kwamba katumwa na Bwana Yesu (a.s.) aende kwa watu wa mataifa kuwapelekea neno la Mungu, kimsingi hayakubaliki. Kwa sababu Bwana Yesu (a.s.) hana sifa ya kukiuka kauli zake mwenyewe zifuatazo:

"Hao thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo mwana wa Adamu". (Mathayo 10:5-6,23)

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". (Mathayo 15:24)

Aidha, maadai hayo ya Bwana Paulo, pia hayakubaliki kwa sababu kumwepusha mbali Bwana Yesu (a.s.) na sifa hatari ya kukiuka mipaka ya kazi yake aliyowekewa na Mungu kabla hata mwenyewe (Yesu a.s.) hajazaliwa, kama maandiko yafuatayo yanavyothibitisha ukweli huu:

"Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale tangu milele". (Mika 5:2)

"Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumba ya Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli". (Mathayo 2:6)

Kinyume na dai lake hilo, ukweli wa mambo unaonyesha kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao, kama yeye mwenyewe asemavyo hapa chini:

"Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Kwa maana kabla hawajaja watu kadhaa wa kadhaa waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa. Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao. Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawa sawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za mataifa, wala si za Wayahudi, kwanini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za Wayahudi? Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; Sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki. Lakini ikiwa sisi wenyewe, kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, tulionekana kuwa wenye dhambi, Je! Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha! Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji. Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu". (Wagalatia 2:11-19)

Maelezo yake hayo juu, yanaonyesha jinsi Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Kefa (Petro), Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokio (kwa watu wa mataifa) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi za watu wa mataifa (wapagani) kama walivyokuwa wakifanya hivyo hapo awali, kabla Wayahudi waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) hawajaja.

Aidha, Bwana Paulo anaonekana pia hapo akimlaumu Kefa (Petro) kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria; lakini kwa imani ya Kristo Yesu! Kwa maelezo yake hayo, ni wazi kuwa Bwana Paulo, Petro na wenzio wao wote yaonyesha dhahiri kuwa hawakwenda kwa watu wa mataifa huko Antiokia kwa jambo lingine lolote ila kufuata desturi za dini yao. Na kama tulivyoona hapo awali, dini yao hii watu hao wa mataifa (wapagani) ilikuwa ina miungu yao (Zeu na Herme) yenye desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Pia ilikuwa na ibada zake wanazoifanyia miungu yao hiyo.

Kwa hali hiyo basi, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, hapana shaka ni lazima pia huo ndio utakaokuwa msimamo wa dini yake ya Kikristo, kama tutakavyokuja kuona kwa urefu zaidi
 
Ahahahahahhahahahha kila siku unaleta huo ufafanuzi ndio kupagawa, na sio hapo kwa ayubu Mungu wako alipoingia makubaliano na shetani zipo nyingi Mungu wako na shetani ni maswahiba ww huoni wanayajenga pamoja

AMECHANGANYIKIWA ; AMEBAKI KULETA MAPICHA ; SUBIRI PICHA LA KICHWA CHA NGURUWE PAMOJA NA PADRI ANAYEENDESHA TAIRI LA BAISKELI ;😀😀

HAYO NI MARADHI

Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
 
Naomba nikuulize unaamini kipi kati ya sayansi na dini (imani)
Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Imani ni kitu ambacho hakifai kujadiliwa kwangu. Na ndiyo maana kimewekewa faragha yake kisheria, kikatiba na katika maazimio ya kimataifa kama "Universal Declaration of Human Rights".

Najadili kinachojulikana na kinachoweza kupimika.

Unanielewa?
 
Ahahahahhahaha suala hapa ni kuchezewa na shetani vile shetani atakavyo kumchezea ayubu ndio maana alimtia UKURUTU anajikuna mwanzo mwisho Ahhahahhah , utatuma sana mapicha ni mwendo wa nondo za moto , shetani yupo popote kijana kupiga jiwe shetani ni kuadhimisha tukio la Ibrahim alipompiga mawe shetani haya mambo uwezi kuyajua yamekuzidi umri , endelea kubeba kisanamu cha mcheza movie mwenyewe unaita yesu ahahahahaahaajjaaja

iwe awaye Yote ktk mapambano na shetani [emoji53] Ayubu alimshinda shetani au akafa [emoji47] sasa ona mnavyo chezewa na shetani [emoji15] shetani naye anapopolewa mawe nusu uchi [emoji47] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ona mnavyo KUFA [emoji117]
Hajj.jpg
saudis-leave-piles-of-dead-people-in-mecca-to-be-bulldozed.jpg
[emoji4]
 
Sitaki kuamini. Nataka kujua.

Imani ni kitu ambacho hakifai kujadiliwa kwangu. Na ndiyo maana kimewekewa faragha yake kisheria, kikatiba na katika maazimio ya kimataifa kama "Universal Declaration of Human Rights".

Najadili kinachojulikana na kinachoweza kupimika.

Unanielewa?
Kumbeee.. Nikuulize tenaa, kwa nilivyoona coment zako nyingi ni kuwa haukubali kama mungu yupo sasa naomba unitajie chanzo cha kuwepo ulimwengu, chanzo cha kuwepo binadamu na viumbe vingine, ukiweka wazi apoo naona tutaendaa sawa.
 
Habari yako nzima ina mapungufu makubwa ya kimsingi katika mantiki.

Kwenye mantiki mapungufu hayo yanaitwa "non sequitur".

Logical non sequitur.

Umelinganisha vitu kwa mantiki yenye mushkeli.

Ni kama vike umesema.

1. Wanawake ni watu
2. John Pombe Magufuli ni mtu
3. Hivyo, John Pombe Magufuli ni mwanamke

Hapo mwisho umerukia kwenye conclusion ambayo haina ukweli.

Mimi nikikwambia sijui chanzo cha ulimwengu hilo linaonesha zaidi Mungu mjuzibwa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwepo, hilo swali lako lisingekuwepo.

Kila mtu angejua chanzo cha ulimwengu tangu anazaliwa.

Swali lako linaonesha Mungu huyo hayupo.
 
Mbona kama unatumia nguvu nyingi sanaaa,.. Sasa kama hujui chanzo kwanini uwe mstari Wa mbele kumpinga Huyu anehubiriwa na watawa wake.
 
Sijatumia nguvu nyingi.

Tatizo inawezekananuwezobwako wa kufuatilia ni mdogo hata ninapoelezea jambo dogo unaona natumia nguvu nyingi.

Ndiyo maananunaendelea kuliza logical non sequitur.

Ngoja twende pole pole.

Unajua hesabu za square root?
 
Ndy. Mi navyoona ungeacha maneno mengi ungesema tuu bhanaaa eeeeeh sababu ya kuwepo vituu hivii nii hivii apoo ningekuelewa siooo unakatataza watu kutupa takataka wakati we mwenyewe haujaweka mbadala Wa kuhifadh taka hizooo,
 
Sasa unataka mjadala au hutaki?

Nikianza kufupisha mjadala wa maneno mengi kwa kuleta hesabu chache zisizo maneno mengi, unaniambia niache maneno mengi!

Unaelew aunachotaka?

Umeelewa kwamba mimi nimejua hutaki maneno mengi, kabla wewe hujaniambia hutaki maneno mengi, ndiyo maana nakupeleka kwenye hesabu chache zisizo na mjadala wala maneno mengi?

Unaelewa hilo?

Au unabisha bila hata kuelewa?
 
Ngoja nikwambie mkuu mi mjadala sitaki kama ulivyoniulizaa apoooo,.

Nachohitaji Mimi ni kuwa uniweke wazi ni kipi hicho unachokikubali kiasi kwamba ukapinga uwepo wa mungu pengine na Mimi naweza kukuelewa sasa we we ukianza sijui logical, Ninii inakuwa shida kdg.

Fupisha. Andika kiswahili kinachoeleweka wapi wewe umeeegemea katika kueleza uwepo Wa ulimwengu, viumbee na kadhalikaa..
 
Nikiandika Kiswahili utaelewa?

Mungu hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake haina uthabiti wala uzani wa kimantiki na zaidi, dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.

Na dhana inayojipinga yenyewe haiwezi kuwapo katika ukweli.

Ni jambo la kufikirika tu.

Ila sidhani kama utaweza kuelewa nimeandika nini.

Hata ninapoandika Kiswahili.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, ulimwengu usingekuwa na baya lolote.

Mungu huyimu ni mzuri sana kinadharia. Angekuwepo asingeruhusu mabaya kuwepo.

Kuwapo kwa mabaya kunaonesha Mungu huyi hayupo.

Umeelewa hilo.
 
Ahahahahahhahah bikira maria mama wa mungu utuombea , hii ni hatari kwelikweli

Hii inatosha [emoji117]
IMG_20180909_120053_287.jpg
allah naye anachukua udhu, Anapulizwa kama wewe unapogonga kichwa Ardhi wakati Wa kumswalia baba yake kassim [emoji117]
pmm-fart.jpg
[emoji15] [emoji23] [emoji23] sasa mkubwa allah au baba kulthum [emoji47] mezeni tu usanii...mkae mkijua MWENYEZI MUNGU amesha sema [emoji117]
IMG_20180909_121231_881.jpg
 
Attachments

  • muslim-gay-sex.jpeg
    muslim-gay-sex.jpeg
    18.9 KB · Views: 20
Nikiandika Kiswahili utaelewa?

Mungu hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake haina uthabiti wala uzani wa kimantiki na zaidi, dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.

Na dhana inayojipinga yenyewe haiwezi kuwapo katika ukweli.

Ni jambo la kufikirika tu.

Ila sidhani kama utaweza kuelewa nimeandika nini.

Hata ninapoandika Kiswahili.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote angekuwepo, ulimwengu usingekuwa na baya lolote.

Mungu huyi ni mzuri sana kinadharia. Angekuwepo asingeruhusu mabaya kuwepo.

Kuwapo kwa mabaya kunaonesha Mungu huyi hayupo.

Umeelewa hilo.
Mbona kama hujiamini. Anyway Sawa kwa wewe umesema mungu hayupo sasa tuhamie upande Wa pili tupe ukweli juuu ya uwepo wa ulimwengu na vilivyomo!
 
Nimekwambia sitaki habari za kuamini. Tuongee ujuzi.

Unaniambia sijiamini.

Unaelewa ninachoandika?

Kwanza umeelewa sababu kwa nini Mungu hayupo?

Unajua kwamba mtu anaweza kujua jibu fulani ni la uongo, bila kujua jibu la kweli ni lipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom