Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kama Quran kaindika Muhhamad kwa mujibu wa wakristo basi jamaa genius sana maana bible imeandika na watu 40 na bado makosa kibao sio kisayans wala ya kirohi lakin kama Quran yote kaandika muhammad peke yake na akafanikiwa kishawashi watu 1.8 B wamuamin basi jamaa alikuwa genius sana na hapo hapo unaambiwa alikuwa hajui kusoma na kuandika.!
Bwashee hujui unachokiongelea. Nani alikuongopea uislamu ulienea kwa kupendwa na watu au kwa hiyari yao.
Nenda kasome upya historia ya kusambaa kwa uislamu kuanzia kwa mtume hadi makhalifa wake utajua nini kilitokea.
 
Q. What is Mercy?

Tazama Waarabu leo niambie which mercy do you see in them?.
Mercy ndio inawafanya wanahamia Ulaya

Hivi Mohammad falsely declared to bring mercy to the world. He brought swords instead.. He brougt deaths. Like the angel of death zirail.

Katika Miaka 23, Mohammad alitumia miaka 13 akihubiri Mecca PEKE YAKE. Hakuzidi waumini 150 tu. Japo yalikua yamejaa Uongo lakini yalikua ya AMANI.

Alipokuja Mara ya pili akiwa na Jeshi within 3Years of Terror, Enslaving, Bloodbaths and Stealing alijikusanyia waumini zaidi ya 10,000. Record breaking!.

Katika Sunnah, Mtume Mohammad anasema atafanya Ummah wa allah kugawanyika mara 73. Na dhehebu moja tu ndio litaingia peponi. Wengine mtakua Kampani ya moto.

Kiuhalisia ni vigumu sana kwa Ulimwengu wote kwa kila Muumini kwenda Mecca. Kama sehemu ya kutimiza zile nguzo Kuu. Na hii inathibitisha kua dini ile haikuwahusu walimwengu kwasababu mabilioni ya Waumini wa Mohammadans will never reach arabia.FACT.

Tazama Rihanna, Safiya, Ayesha. Hawa ni victims of false prophet.

You will find good teachings in any cult. False prophets mix good things and bad things to deceive people. If they only preach evil no one will believe in them. Even Jim Jones and Charles Manson had good teachings. A person who claims to come from God must not have any bad teaching nor should he commit any crime. All it takes to disqualify a person as a messenger of God is one error, one lie or one bad conduct. Muhammad had thousands of them and he committed horrendous crimes.

Criminals are transformed through their own will power. Religion is a pretext. They use it as a psychological prop but the power comes from the people themselves.
Kwanza ujakanusha kuwa Israel imepatikana Baada ya damu nyingi kumwagika (wenyeji kuuliwa ili wageni watawale nchi), kwa vita ni jambo ambalo Mungu anakubaliana nalo ndio maana unazunguka tu , halafu unazungumzia kwenda Mecca lazima uzungumzie ile ni nguzo ya uislamu kabisa tena imefanywa nyepesi "Kwenda kuhiji kwa mwenye UWEZO" kinyume cha hapo hakuna kosa ebu soma mbona uislamu ni rahisi, kuhusu kuhubir miaka 13 Maka mbona kawaida kwani kabla Musa ajaanza vita kuelekea KUTEKA za watu si alizungushwa miaka 40 jangwani , ahahahaahaha mjomba ukija hapa uwe umejipanga, halafu hao wakina safiyah wewe unacholia hapo ni kipi mbona musa alipowaua watoto alibakisha VIBIKIRA ili wana waisrael wawafanye wake , ukija hapa zungumza mambo ya maana hapa sio kuja kulalamika
 
Bwashee hujui unachokiongelea. Nani alikuongopea uislamu ulienea kwa kupendwa na watu au kwa hiyari yao.
Nenda kasome upya historia ya kusambaa kwa uislamu kuanzia kwa mtume hadi makhalifa wake utajua nini kilitokea.
Kwani wakaanan walikubali kuachia nchi kwa hiari yao au Mungu wenu aliamrisha wauliwe? ile nchi yenyewe ya ahadi tu MMEDHULUMU halafu unajifanya unaujua uislamu ahahahahahaahhahahaha
 
Hujui kusoma gavana [emoji117] na Alie takiwa kukusomea kafaView attachment 866053 kafa analia lia kwenu nyinyi msio jua kusoma hadi mmekuwa waongo kwa kuchanganya maharage, kokoto, mahindi na kuita kande [emoji117] View attachment 866060 mpaka mkome kumtukana Mungu [emoji53] [emoji11]
Ahahaahaahahahahahaha kumbe Wewe ni hamnazo ahahahahhaha hii haikufundishi kufanya baadhi ya binadamu wenzenu(yesu) kuwa ni Mungu badala ya Mwenyezi Mungu huo ni utovu ni nidhamu, halafu nilishakwambia mtume alimaliza alisoma kila kitu na dini akaikamilisha na Mungu, akathibitisha kuwa mtume amekamilisha dini ukirejea hutuba ya hija ya kuaga huu utumbo wako utaacha
 
Wewe bado Mweupe sana.. Hujui hata usemalo.

Kwa kukusaidia tu, nikukumbushe:
Ukoo wa Ukuhani wa Mungu wa Mbinguni ni Abraham, Isaka na Israel(Yaani Yakobo). Hata allah ni shahidi wa hili.
Allah anawajua wengi zaidi ya hao kabla hata Ibrahim ajazaliwa kama umefungwa akili hilo ni kosa lako
 
Mathayo 26:26-28
[26]Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
[27]Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki;
[28]kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ONDOLEO LA DHAMBI.

Yohana 1:29
Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, MWANA-KONDOO wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!.


Yohana 6:55-58
[55]Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli.
[56]Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.
[57]Kama vile Baba aliye hai alivyonituma mimi, nami ni hai kwa Baba; kadhalika naye mwenye kunila atakuwa hai kwa mimi.
[58]Hiki ndicho chakula kishukacho kutoka mbinguni; si kama mababa walivyokula, wakafa; bali akilaye chakula hicho ataishi milele.
Ishara ya nabii Yona unaijua ? au unaendelea kujiaminisha urongo ili upate pakutupia laana zako, hilo tukio ni fake ndio maana kuna yesu alisulubiwa saa tatu na kuna yesu alisulubiwa saa sita ni maigizo hayo
 
Hebu soma hii ayat [emoji117] View attachment 866037View attachment 866040 Ambao mnahitilafia na hamna hakika ni nyinyi maisilamu [emoji15] [emoji12] kadiani anasema Yesu Amekufa wewe gavana unasema hakufa [emoji4] hata huoni mnavo hitilafiana??? sasa Nitajie dhehebu moja la Kikristo Ambao hawaamini hicho kisa [emoji53]
Ahahahahahahahahaha mna mashaka makubwa ni yesu yupi alisulubiwa saa tatu halafu ni yesu yupi alisulubiwa saa sita, ahahahahah ni yesu yupi alivikwa dhambarau , halafu yesu yupi alivikwa jekundu, hili tukio ni fake nyie mmesulubu wauza maembe mnasema yesu
 
Hebu soma hii ayat [emoji117] View attachment 866037View attachment 866040 Ambao mnahitilafia na hamna hakika ni nyinyi maisilamu [emoji15] [emoji12] kadiani anasema Yesu Amekufa wewe gavana unasema hakufa [emoji4] hata huoni mnavo hitilafiana??? sasa Nitajie dhehebu moja la Kikristo Ambao hawaamini hicho kisa [emoji53]
Ahahahahahahahahaha mna mashaka makubwa ni yesu yupi alisulubiwa saa tatu halafu ni yesu yupi alisulubiwa saa sita, ahahahahah ni yesu yupi alivikwa dhambarau , halafu yesu yupi alivikwa jekundu, hili tukio ni fake nyie mmesulubu wauza maembe mnasema yesu
 
weka unaposema alikata aya upate daawa [emoji382] [emoji53] hatukuja kucheza humu ilaha kufanya mapofu yaone na waliofungwa na ibilisi wafunguliwe na kuachwa huru [emoji123] [emoji106]
Ahahahahhhahahaha nimekwambia hoja yenyewe ilikuwa dhaifu siwezi kuangaika nayo akiirejea mbeleni ntamjibu tena , ndio kazi yangu kuwaondoa gizani na kuwaweka kwenye nuru, ahahahahahahaha kumitoa kwenye bingwa la KUFURU Paulo "kwa UPUMBAVU wa Mungu" ni ngumu kutetea kufuru
 
Ulicho c&p hapo ni dhana wanadhani [emoji53] nimekwambia weka ayat toka Biblia Tukufu humu kwamba Wakristo wanae Mungu zaidi ya Mmoja [emoji15] [emoji12] wee vipi [emoji15] [emoji47] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Unataka aya ya namna gani ili tukumalize kweupeeeeeee , na iwe mwisho kumsikiliza Paulo bingwa kufuru
 
Huoni zama zile baba kassim akalia lia kama wewe kisha akakata tamaa akaja na kughani suratul kafiroun [emoji15] utakula sana hashua za mbuzi Katoliki [emoji117] View attachment 865950 na roasted farjaha [emoji117] View attachment 865953 na kushushia glasi ya kohozi [emoji117] View attachment 865955
Ahahahaahahhahahaa Paulo ndio kamilisha ujinga huo Ahahaahahaha sisi hatuelewe utatuma sana.mapicha mpaka adabu ikupate ujue kutofautisha kati ya Mungu na viumbe wake
 
UTAPATA BAKORA KILA KONA ; TULIA UPATE DAAWA

Yesu mwenyewe aliwahi kumla Pasaka

Ili kuonyesha zaidi kwamba Pasaka haina uhusiano wowote na dhana potofu ya kufa na kufufuka kwa Yesu, maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa Bwana Yesu naye kabla ya kuondoka aliwahi kumla Pasaka. Maandiko yafuatayo yanathibitisha ukweli huu.

"Hata siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Ni wapi utakapo tuende tukuandalie uile Pasaka? Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amechukua mtungi wa maji; mfuateni; na popote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, ki wapi chumba cha wageni, niile Pasaka humo, pamoja na wanafunzi wangu? Naye mwenyewe atawaonyesha orofa kubwa, imeandikwa tayari; humo tuandalieni. Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka. Basi ilipokuwa jioni yuaja na wale Thenashara, wakila, Yesu alisema, Amin, naawaambieni, mmoja wenu, naye anakula pamoja nami atanisaliti". (Marko 14:12-18)

Kufuatana na maandiko hayo juu, tunaona hapa kwamba Bwana Yesu aliwatuma wanafunzi wake wakaandaa mahali atakapomla pasaka na wala haielezwi kwamba aliwatuma wakaandaa mahali "yeye atakapokufa kwa pasaka".

Aidha, haielezwi kwamba wanafunzi wake walipochinja, walimchinja Yesu kuwa Pasaka. Lakini tunaona kuwa baada ya kupatikana hicho chumba na maandalizi kwa ujumla kukamilika, naye Yesu pia alimla Pasaka.

Hii yote ni kudhihirisha kuwa Pasaka ni mnyama anayechinjwa na kuliwa na siyo binadamu. Na kwamba Pasaka ilifanyika mwenyewe akiwa hai na wala hajafundisha kwamba Pasaka ni kufa na kufufuka kwake.
Wamwagie upupu hao uwawashe kweli kweli
 
HIYO NI DHANA YA KUFA NA KUFUFUKA YESU

Hata ukionyeshwa ndio iweje , wacha kujitia wazimu unajua kuwa trinity haimo katika biblia ni kujitia wazimu tu ni namna mnavyodanganyana kanisani

endelea kusoma vizuri usijitie wazimu


Dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu si mafundisho ya Mungu

Kwa kweli, zaidi ya masimulizi ya Wainjilisti na wanaadamu wengine kwa ujumla, hakuna kamwe mafundisho sahihi ya Mungu yanayothibitisha kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu (a.s.).

Kinyume chake, tunaona maandiko mengi ya Mungu yanashutumu vikali tendo zima la mtu kusulubiwa kwa kutundikwa mtini, kama lile linalodhaniwa kufanyika kwa Bwana Yesu (a.s.)

Na ndio maana sambamba na kutoa amri ya Pasaka kabla ya kuzaliwa Yesu, tendo hilo (la mtu kutundikwa) mapema Mungu alilishutumu vikali kwa kusema:

"...kwa aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu..." (Kumbukumbu la Torati 21:22-23).

Aidha, kabla ya shutuma hiyo (ya Mungu) dhidi ya mtu aliyetundikwa (aliyesulubiwa), Mungu alieleza bayana wasifu wa laana kwa mtu, kwa kusema:

"Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizapo leo; na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine". (Kumb. 11:26-28)

Kuhusu laana, Mungu pia hakuacha kuelekeza mahali ambako laana yake hupatikana kama tunavyosoma maandiko yafuatayo:

"Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki". (Mithali 3:33).

Kwa shuhuda hizo, tunachojifunza hapa ni kwamba yeyote aliyetundikwa (aliyesulubiwa) basi anahesabika kuwa amelaaniwa, asiyesikiza maagizo ya Mungu na kukengeuka njia yake, mshirikina (anayemuabudu Mungu pamoja na miungu mingine) na kwa ujumla mtu huyo ni mwovu (rejea Mithali 3:33).

Zaidi ya hivyo, kwa maandiko hayo, yaonyesha wazi Mungu hafurahishwi na kwa ujumla hapendi tendo la mtu kusulubiwa. Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa dhana ya kusulubiwa Yesu ingelikuwa sahihi iwapo tu Mungu asingelishutumu tendo la mtu "kusulubiwa" kwa kiwango hicho, hasa unapolinganisha shutuma hizo (za Mungu) na hadhi, utukufu na ucha Mungu kwa ujumla wa Bwana Yesu (a.s.) mbele ya Mwenyezi Mungu. Isitoshe, Mungu asingeacha kueleza tukio zito na 'muhimu' kama hilo kwa ufasaha, kwa uwazi na kwa maelezo ya kukinaisha.

Aidha, dhana hiyo ya kusulubiwa Yesu pia ingelikuwa ni sahihi na tendo la wokovu, iwapo tu Yuda Iskariote angeliitwa "mwokozi wa kwanza" kwa 'kuharakisha' wokovu wa walimwengu, kinyume na anavyoitwa mpaka sasa kwamba ni "msaliti" aliyemsaliti Yesu! (tazama Mathayo 26:25). Kwani inasimuliwa kuwa ndiye aliyewaonyesha maadui wamuue Yesu baada ya kuahidiwa fedha (tazama Mathayo 26:14-15). Ni ajabu watu wa timu moja wamshutumu mtoa pasi kwa mchezaji aliyeifungia goli timu yao!

Vile vile dhana hiyo (ya kusulubiwa Yesu) ingekuwa sahihi na tendo la "ukombozi" wa wanaadamu, iwapo tu Yesu asingemkemea mapema yule atakayemsaliti kwa kumwambia:

"...Lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa". (Mathayo 26:24)

Kinyume na andiko hilo juu, dhana ya kusulubiwa Yesu ingekuwa sahihi na nzuri iwapo Yesu angelimpongeza yule atakayemsaliti, kwa kumwambia:

"Heri yake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa vibaya kwake mtu yule asingezaliwa". n.k.

Na kubwa zaidi, masimulizi ya Mwinjilisti Mathayo ya kudai kuwa eti Yesu alipokuwa msalabani alisema: "... Eloi, Eloi, lamasabakhtani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Tazama Mathayo 27:46) yanapingwa vikali na mwenyewe Bwana Yesu (a.s.) kwa kusema:

"Naye aliyenipeleka yu pamoja nami; hakuniacha peke yangu, kwa sababu nafanya siku zote yale yampendezayo". (Mathayo 8:29).

Kwa kauli hiyo peke yake ya Yesu inadhihirisha wazi kuwa yule aliyekuwa akilalamika kuachwa na Mungu hapo msalabani hakuwa Yesu. Yesu hawezi kuachwa na Mungu kwa sababu kama mwenyewe anavyoeleza katika andiko hilo hapo juu kwamba siku zote hufanya yanayompendeza Mungu.

Na kwa ujumla ukombozi wa wanaadamu kamwe haupatikani kwa njia ya laana (kusulubiwa) ambayo i katika nyumba ya waovu. (Mithali 3:33).

Na ndio sababu, kutokana na uzito wa shutuma za Mungu dhidi ya mtu anayesulubiwa (kama tulivyoona hapo awali), Mwenyezi Mungu katika Qur'an Tukufu akaeleza wazi kwamba:

"Hawakumwua wala hawakumsulubu". (Qur. 4:158).

Kwa maandiko haya na mengine mengi ni dhahiri kuwa dhana ya kufa na kufufuka Yesu katu haimo katika mafundisho ya Mungu. Na kwa mantiki hiyo, Pasaka iliyofundishwa na Mungu haina uhusiano wowote na dhana ya kufa na kufufuka kwa Yesu hasa ukizingatia kuwa Pasaka hiyo (ya Mungu) imekuwepo kabla ya Yesu kuzaliwa, na pia kufa na kufufuka kwa Yesu ni jambo lililozuliwa na wanaadamu baada ya Yesu kuondoka
4:158 imemaliza utata kabisa, mwenye macho na aone
 
Ahahaahaahahahahahaha kumbe Wewe ni hamnazo ahahahahhaha hii haikufundishi kufanya baadhi ya binadamu wenzenu(yesu) kuwa ni Mungu badala ya Mwenyezi Mungu huo ni utovu ni nidhamu, halafu nilishakwambia mtume alimaliza alisoma kila kitu na dini akaikamilisha na Mungu, akathibitisha kuwa mtume amekamilisha dini ukirejea hutuba ya hija ya kuaga huu utumbo wako utaacha

angekamilisha angesema [emoji117]
IMG_20180911_192542_350.jpg
tatizo bado linakurudia kwamba HUJUI KUSOMA [emoji12] kama unaona unajua KUSOMA kamkoromee allah na baba kassim walio sema HUJUI KUSOMA, HUJUIIII [emoji12] ni mazwazwa tu! na dalili mojawapo ni kwamba HUJUI NI KUMBISHIA mgen wakti si yeye aliye sema ilaha kanukuu kauli ya allah kwa mdomo Wa baba fatuù kwamba HAMJUI KUSOMA [emoji53] [emoji12] kama kweli wewe sio kafir kwa kauli HIYO YA ALLAH KUWA HUJUI KUSOMA ungepiga takbirr kubwa na kufunga bakuli lako [emoji53]
 
Ahahahaahahhahahaa Paulo ndio kamilisha ujinga huo Ahahaahahaha sisi hatuelewe utatuma sana.mapicha mpaka adabu ikupate ujue kutofautisha kati ya Mungu na viumbe wake

wewe mwenyewe umeandika HATUELEWI sasa ukiambiwa sababu ya KUTOELEWA WA KUKUELEWESHA KAFAÀ KAFA... usiwe mbishi kama ust omary aliesema kwamba wowote atakaesema baba kassim kafa namsembua kichwa [emoji53] HAKI YA MUNGU USIPO TUBU KAULI YAKO YA MUNGU HANA UWEZO KAMA UTAIONA PEPO KWA KUFURU HIYO LABDA MUNGU BABU YAKO ALIYE MZAA mushahara [emoji53] TUBU DAUDI KABLA HUJANUNA [emoji24] [emoji24]
 
4:158 imemaliza utata kabisa, mwenye macho na aone
Mathayo 16:21-23
[21]Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
[22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.
[23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

Yohana 3:14
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;

Ili mbegu iote na Kuzaa Matunda lazima kWanza Ife.
 
Ahahahahahahahahaha mna mashaka makubwa ni yesu yupi alisulubiwa saa tatu halafu ni yesu yupi alisulubiwa saa sita, ahahahahah ni yesu yupi alivikwa dhambarau , halafu yesu yupi alivikwa jekundu, hili tukio ni fake nyie mmesulubu wauza maembe mnasema yesu
Huna MAMLAKA WALA SIFA YA kuwasema WAKRISTO [emoji12] [emoji15] tatizo la kutojua kusoma bado limekunda na utakufa nalo kama aliyo kufa baba kassim [emoji53] [emoji12]
 
Ahahahahhhahahaha nimekwambia hoja yenyewe ilikuwa dhaifu siwezi kuangaika nayo akiirejea mbeleni ntamjibu tena , ndio kazi yangu kuwaondoa gizani na kuwaweka kwenye nuru, ahahahahahahaha kumitoa kwenye bingwa la KUFURU Paulo "kwa UPUMBAVU wa Mungu" ni ngumu kutetea kufuru
Huu sasa ni Msiba unao [emoji24] [emoji24]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom