Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
tuwekee mashahidi. 3 kama alicho ongea baba kasimu ni kweli [emoji117] View attachment 870626 amezoea uongo ili kuridhia wakeze [emoji53] Ndipo nikajiuliza au kwa mujibu wa uisilamu Maneno haya ya MUNGU [emoji117] View attachment 870629View attachment 870630 ni Msamaha [emoji47] [emoji47] [emoji53]

DHAMBI YA ADAMU NA HAWA:

Hebu tuchunguze upya kisa cha Adamu tangu mwanzo. Sehemu yoyote ya itikadi hiyo hapo juu haiwezi kukubaliwa na dhamiri
ya mtu na mantiki.

Kwanza, tunaambiwa ya kwamba kwa kuwa Adamu na Hawa walitenda dhambi, basi wazao wao wakachafuliwa kwa kudumu na dhambi waliyorithi wakati wa kuzaliwa.

Lakini kinyume chake, sayansi ya tabia zirithishwazo inabainisha ya kwamba mawazo na matendo ya mtu, yakiwa mazuri ama mabaya , hata mtu akiwa nayo kwa kudumu maisha mazima, hayawezi kuhamishwa katika mfumo wa tabia za kurithishwa katika kuzaana.

Muda wa maisha ya mtu ni mdogo sana kwa kuleta mabadiliko hayo makubwa.

Hata maovu ama mema ya taifa, kizazi baada ya kizazi, hayawezi kuingizwa katika wazao yakiwa ni mienendo ya kurithiwa.

Labda mamilioni ya miaka inahitajika kuingiza sifa mpya katika vijine (genes) vya mtu.

Hata kama mtu angekubali kutukia jambo hilo la ajabu la kutatanisha kwa kapanua mawazo yake ya kipuuzi yasiyokubalika
akilini, basi na angekubali kilicho dhidi yake pia kwa kutumia mantiki kama hiyo.

Hiyo itamaanisha ya kwamba kama mtu mwenye dhambi akitubu na akatakasika mwishoni mwa siku, basi hiyo nayo ingerekodiwa katika mfumo wa sifa zile zinazorithishwa na kufutilia mbali kabisa athari ya dhambi ile ya zamani.

Kisayansi hiyo haiwezi kutendeka, lakini kwa yakini kuna mantiki zaidi katika picha hiyo inayoonesha pande mbili kwa
usawa kuliko kufikiria kwamba maelekeo kwa dhambi tu yanaandikwa katika utaratibu wa sifa za kurithishwa lakini
maelekeo ya mema hayaandikwi.
 
Pili, kwa kujaribu kutatua tatizo la Adamu kwa kutoa shauri ya kuwa dhambi inahamishwa kwa vizazi vijavyo ambavyo vinairithi
tangu kuzaliwa, msingi wenyewe unabomolewa ambao juu yake imani ya 'Dhambi na kafara' imejengwa.

Kama Mungu ndiye mwadilifu halisi, basi upo wapi uadilifu katika kuwahukumu wazao wote wa Adamu na Hawa kwa dhambi yao waliyotenda mara mmoja tu na kisha wakatubu pia?

Kwa vyovyote, hiyo ilikuwa dhambi ambayo waliadhibiwa vikali kwa sababu yake na wakafukuziliwa mbali katika Pepo kwa
fedheha kubwa .

Ni aina gani ya uadilifu ya kwamba baada ya kuwaadhibu Adamu na Hawa sana sana kupita kiasi kwa sababu ya dhambi yao, bado hamaki ya kujilipiza kisasi haijapoa na akawahukumu wanadamu wote wapate fedheha ya kuzaliwa tayari wamerithi dhambi?

Nafasi gani wanayo wazao wa Adamu kuikwepa dhambi?

Kama wazazi wanafanya kosa, kwa nini watoto wao wasiokosea wasumbuke daima kwa sababu ya kosa la wazazi wao?

Kama ni hivyo, basi batilifu iliyoje maana ya uadilifu anayojidaia Mungu na kuifurahia ikiwa Yeye anawaadhibu watu
waliopangiwa kutenda dhambi hata wakichukia dhambi namna gani?

Dhambi ikafanywa sehemu ya maana sana ya maumbile yao. Hamna kabisa sasa nafasi kwa mtoto wa Adamu kubaki
katika hali ya kutokuwa na dhambi. Kama dhambi ndiyo jinai basi ni jinai ya Mwumbaji siyo ya viumbe.

Basi, uadilifu gani ungetaka kuwaadhibu wasiokosea kwa jinai za wengine?
Tangazo la Kurani Tukufu ni tofauti kabisa na ufahamu wa Kikristo wa dhambi na matokeo yake. Kurani Tukufu inatangaza:

Hakuna mbebaji atakayebeba mzigo wa mwingine. (35: 19)
Mungu haikalifishi nafsi yoyote zaidi ya uwezo wake. (2:287)

Tangazo hilo la Kurani kwa kulinganisha na imani ya Kikristo kuhusu Dhambi na Kafara ndiyo taratibu halisi ya kuituliza roho.

Sasa tugeukie maelezo ya Biblia kuhusu yaliyotendeka hasa wakati Adamu na Hawa walipotenda dhambi, na matokeo
yaliyofuata nyuma ya wao kuadhibiwa.

Sawa na mafunzo ya Mwanzo, Mungu alikubali nusu-nusu udhuru wao na wakapewa adhabu ya kudumu milele inavyoelezwa hapa chini:

Wanadamu walikuwapo muda mrefu sana kabla hawajazaliwa Adamu na Hawa. Wanasayansi wa magharibi wenyewe
waligundua mabaki ya watu wengi waliokuwepo ardhini katika zama za kale sana na wakawapa majina mbali mbali ya
kupambanua. Neanderthal - mtu pengine ndiye anayejulikana zaidi miongoni mwa hao.

Wa-Neanderthal waliishi zaidi katika Yoropa,Mashariki ya Karibu na Asia ya Kati, baina miaka 100,000 na 35, 000 mpaka sasa. Maiti ya mtu mkamilifu imenguduliwa ambaye mtu huyo aliishi ardhini miaka 29,000 kabla Adamu na Hawa hawajaanza safari yao fupi huko Peponi.

Katika zama hizo wanadamu kimaumbile walikuwa kama sisi na waliishi katika Yoropa, Afrika na Asia, na baadaye mnamo zama za Theluji (Ice Age) walienea hadi Marekani pia. Vilevile huko Australia historia thabiti ya utamaduni wa Waaborijini (Aborigines) inaonesha ulianza miaka 40,000 iliyopita kutoka leo. Waaborijini ni watu wa asili ya Australia.

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa watoto, na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nilikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako; michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni; kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo kwa hiyo ulitwaliwa kwa maana u mavumbi wewe nawe mavumbini utarudi (Mwanzo 3:16-19)

Kwa kulinganisha na zama za hivi majuzi, mifupa yote ya mwili ikiwa pamoja, ya mwanamke, imepatikana huko Hedar katika Ethiopia ambayo mifupa hiyo ni ya tangu miaka milioni 2.9. Sasa kwa kulingana na matukio ya historia yalivyoelezwa katika Biblia, Adamu na Hawa waliishi karibu miaka 6,000 tu tangu leo.

Mtu aweza kuangalia nyuma kwa mshangao taarifa ya historia ya wanadamu, ama Homo Sapiens wanavyoitwa katika istilahi
ya Kisayansi
 
Ndio Mashahidi Wa.
 
Wangapi waumini (wanaume)wenye kufata sunna za mtume ambao mnapaka hina kama mtume, mnapaka wanja kama mtume, mnagonga watoto wa miaka 9 kama mtume alivyotuonesha mfano kwa Aysha, mnatamani wake za watoto wenu kama mtume alivyompenda mke wa mwanaye Zaid. Mnawachukulia wake zenye kama mashamba yenu kwaiyo mnagonga vyovyote(kotekote) kama tulivyoagizwa na mtume,
Kama wewe unafata sunna hizi gonga like kabla jua halijazama kwenye matope tufahamiane maana bikra 72 za mahurlain zinakusubiri peponi.
 
DHAMBI YA ADAMU NA HAWA:

Lakini kinyume chake, sayansi ya tabia zirithishwazo inabainisha ya kwamba mawazo na matendo ya mtu, yakiwa mazuri ama mabaya , hata mtu akiwa nayo kwa kudumu maisha mazima,
1. HAYAWEZI KUHAMISHWA hayawezi kuhamishwa katika mfumo wa tabia za kurithishwa katika kuzaana.

Muda wa maisha ya mtu ni mdogo sana kwa kuleta
2.MABADILIKO HAYO MAKUBWA.

Hata maovu ama mema ya taifa, kizazi baada ya kizazi, hayawezi kuingizwa katika wazao yakiwa ni mienendo ya kurithiwa.

.

1. Hii sayansi yako ni ya Mwaka 47. Haisemi Ukweli 100%.

2. Ajabu Unakiri mwenyewe kua yapo mabadiliko ila unakataa kua sio makubwa. So what!. Je umesha assess athari za mabadiliko hayo madogo?
 
Ndio Mashahidi Wa.

KUTOA DHABIHU PASIPO KUPENDA :

Sasa na tugeukie kuchunguza tukio la msalaba. Hapo twalikabili tatizo lisiloweza kutatulika. Tunavyoambiwa kwa kusisitiza ni kwamba Yesu alijitolea kwa hiari yake mbele ya Mungu Baba na akasukumiziwa madhambi ya wanadamu wote sharti wamwamini
kwanza.

Lakini saa ya upendo wake kukubaliwa unaposogelea karibu na mwanga wa tumaini la wanadamu wenye dhambi unapoanza kumulika kama mapambazuko ya alfajiri, twamgeukia Yesu tukitazamia kushuhudia uchangamfu wake na furaha yake na shangwe yake ya hali ya juu sana katika wakati wa muhimu kabisa katika historia ya binadamu, tunasikitikaje sana na kuvunjika moyo moja kwa moja!

Badala ya kumkuta Yesu akingojea saa ya furaha kuu, twamwona akilia na kupaza sauti na kuomba na kumsihi Mungu Baba ili kimwepuke kikombe cha mauti.

Yeye akamkaripia vikali sana mwanafunzi wake mmoja alipomkuta akisinzia baada ya kupitisha mchana mrefu wa hatari
na kusumbuka usiku wa majonzi ambao ukamchosha vibaya yeye na bwana wake. Biblia inasimulia habari hiyo kama ifuatavyo:

Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane akawaambia wanafunzi wake, ketini hapa hata niende kule nikaombe.
Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka. Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwabia Petro: Je, hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
Akaendelea tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa,
mapenzi yako yatimizwe.
Akaja tena akawakuta wamelala; maana macho yao yamekuwa mazito. Akawaacha tena, akaenda, akaomba
mara ya tatu, akisema maneno yaleyale. (Mathayo 26: 36- 44).

Ni masikitiko, kinavyotoboa kisa hiki cha Kikristo, ya kwamba kurongaronga kwa Yesu wala kwa wanafunzi wake hakukubaliwa
na Mungu Baba, na japo akateta sana lakini akasulubishwa shingo upande.

Je, huyo ndiye yule yule mfalme asiyekosa, na upeo wa mwisho wa dhabihu, aliyejitolea mhanga sana ili kubeba mizigo ya madhambi ya wanadamu wote mabegani pake, ama yu mtu tofauti?

Mwenendo wake, ilipowadia saa ya kutundikwa msalabani na wakati aliposulubishwa, unatia shaka sana kwamba aliyesulubishwa kweli alikuwa Yesu au kwamba kisa chenyewe hicho kweli ni sawa kilichobuniwa kumhusu yeye.

Lakini hilo tutalijadili baadaye. Wakati huu tugeukie pale tulipoacha uchunguzi wetu.

Maswali mengine yanayozuka kutokana na kilio cha mwisho cha Yesu katika hali ya kuteswa ndiyo haya: Ni nani aliyetamka hayo
maneno ya kutia majonzi na kuhuzunisha?

Alikwa Yesu-mtu ama Yesu 'Mwana'?

Kama huyo alikuwa ni Yesu mtu aliyeachwa (Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha) basi kaachwa na nani?

Na kwa nini?

Kama alikuwa Yesu mtu, hakuna budi basi ya kwamba yeye alikuwa hadi mwisho nafsi ile ile moja inayojitegemea aliyeweza
kufikiria na kuhisi mwenyewe pasipo kizuizi chochote kiwacho.

Je, yeye alikufa wakati roho ya Yesu Mwana wa Mungu ilipotengana na mwili wa aliokuwa ameuchukua yeye? Kama ndiyo, kwa nini na kwa namna gani?
Kama ni hivyo, na ilikuwa ni kiwiliwili cha mtu kilichokufa baada ya roho ya Mungu kukitoka, basi swali linazuka hapo ya kwamba nani alifufuka katika wafu pindi roho ya Mungu ilipouingia mwili huo huo baadaye.

Tena, habari hiyo itatuongoza kuamini ya kwamba siye Yesu 'Mwana' aliyekuwa anasumbuka, bali ni Yesu mtu aliyepaza sauti
katika hali ya kuteswa na ndiye aliyeudhika ilhali Yesu 'Mwana' aliangalia tu akitepetea asijali. Hapo anawezaje kudai ya kwamba
yeye akiwa 'Mwana' alisumbuka kwa ajili ya wanadamu wala siye yeye akiwa mtu?

Naam, kama tukidhani ya kwamba alikuwa ni Yesu 'Mwana' aliyepaza sauti ya kilio ilhali 'mtu' ndani yake pengine akitumaini
kuanza maisha mapya akaangalia tu akitazamia pasipo hakika ya kwamba pamoja na Yesu 'Mwana' kutoa dhabihu, yeye Yesu mtu naye atachinjwa, apende asipende, pamoja na mwenzake asiyekosa.

Uadilifu gani ulimhimiza Mungu kupata shabaha mbili kwa hila moja? Hiyo labda ni siri nyingine.
 
Mpumbavu xana, Mawazo yako yalipoishia ndio hapo........

Umefasiri Kwa mtazamo wako...
 
Ndio Mashahidi Wa.

Kama huyo alikuwa Yesu 'Mwana', na kweli alikuwa huyo kwa kulingana na maoni ya makanisa ya Kikristo, hapo litazuka swali
jingine kutokana na jawabu la swali la kwanza ya kwamba alikuwa nani ambaye Yesu alizungumza naye (Mathayo 26:39, 42).

Twaweza kuchagua rai mojawapo katika rai mbili:

Ya kwanza ni kwamba 'Mwana' alikuwa anaongea na Baba akilalamika kwamba ameachwa katika wakati wa haja.

Hiyo haina budi kutuongoza kuamini ya kwamba hao walikuwa wawili mbali mbali wasiokuwapo pamoja katika dhati moja wakishirikiana kwa usawa katika sifa zote na kuzitumia kwa pamoja kwa usawa.

Mmoja katika hao anaonekana kuwa mwamuzi mkuu, mweza, mwenye nguvu ya mwisho ya kutoa hukumu. Na mwingine yule
'Mwana' maskini, anaonekana amenyimwa kabisa ama pengineakaondolewa kwa muda ile tabia ya kupiga ubwana aliyokuwa
nayo Baba.

Kiini cha habari kinachotakiwa kuzingatiwa ni kwamba matakwa yao na matilaba yao yanayopingana hayaonekani yakizozana na kuhitilafiana zaidi kuliko yalivyokuwa wakati wa kitendo cha mwisho cha kisa cha msalaba.

Swali la pili ni kwamba je, hao wawili mbalimbali, wakiwa na maoni tofauti, khulka tofauti na sifa tofauti wataona taabu na udhia
wakiwa 'wawili katika mmoja' ama 'mmoja katika wawili'?

Basi swali jingine litahitaji maongezi marefu baina ya wataalamu wa dini ya kwamba je, upo uwezekano wa Mungu kupata kusumbuka na kuadhibiwa?

Hata kama upo uwezekano huo, Mungu nusu tu ataudhika ilhali nusu nyingine ya Mungu hataweza kupata taabu kwa sababu pengine kwa mpango maalum ama kwa sababu ya kulazimika kwa tabia yake ya asili. Na tunaposogelea mbele katika
ulimwengu huu wa wasiwasi wa falsafa hiyo iliyopotoka, mwanga unaanza kufifia zaidi na zaidi na tunakuta bumbuazi juu ya
bumbuazi.

Lipo tatizo jingine tena. Kristo alikuwa anaongea na nani kama yeye mwenye alikuwa Mungu?.

Alipoongea na Baba, yeye mwenyewe alikuwa sehemu isiyotenganishwa na Baba; ndivyo tuambiwavyo. Basi alikuwa anasema nini na kumwambia nani?

Swali hilo linatakiwa lijibiwe kwa dhamiri huru pasipo kuikimbilia itikadi. Hiyo inakuwa itikadi hapo tu ambapo haiwezekani hiyo kufafanuliwa sawa na akili ya kibinadamu.

Kwa kulingana na usemi wa Biblia, Yesu alipokuwa atoe roho yake akalia akimwambia Mungu Baba: Mbona umeniacha?

Nani alimwacha nani? Je Mungu alimwacha Mungu?
 
Mpumbavu xana, Mawazo yako yalipoishia ndio hapo........

Umefasiri Kwa mtazamo wako...

SORRY CHARLIE ; MIMI SITAFSIRI BIBLIA ,

BIBLIA IMESHATAFSIRIWA KWA KISWAHILI

1537368711059.png
 
1. Hii sayansi yako ni ya Mwaka 47. Haisemi Ukweli 100%.

2. Ajabu Unakiri mwenyewe kua yapo mabadiliko ila unakataa kua sio makubwa. So what!. Je umesha assess athari za mabadiliko hayo madogo?

Chukua Sayansi hii ya mwaka 2018 , WEWE UMESHINDWA KUILETA

NANI ALITOLEWA KUWA DHABIHU ?

Tatizo jingine tunalokuta ni kwamba 'mtu' katika Yesu hakuadhibiwa wala asingeweza kuadhibiwa kwa mantiki yoyote kwani yeye hakujichagulia kubeba mzigo wa dhambi za wanadamu wote.

Hiyo habari mpya kuingia katika mjadala inatuongoza kwenye hali maalum ambayo hatukuizungumzia hapo kabla.

Mtu analazimika kushangaa juu ya uhusiano wa 'mtu' katika Yesu akiwa na maelekeo ya kutenda dhambi tangu kuzaliwa
ambayo maelekeo hayo yanapatikana kwa kizazi chote cha Adamu na Hawa.

Kwa wingi mtu anaweza kujielekeza kuamini ya kwamba katika uwili wa 'Mungu Mwana' na 'mtu' wakiwa ndani ya kiwiliwili kimoja 'Mungu Mwana' peke yake ndiye asiyekuwa na dhambi.

Lakini ikoje hali ya 'mtu' aliyekuwepo pamoja naye?

Je, yeye naye alizaliwa kutokana na vijine (genes) vya Mungu na sifa zake? Kama ndiyo, basi yeye analazimika kutenda kama
Mungu katika Yesu na udhuru wowote hautakubalika kama akilegea au akiwa ajizi asitende kama Mungu eti kwa sababu
alikuwa binadamu.

Kama hakuwa na sifa yoyote ya Mungu, yaani yule 'mtu' aliyekuwa ndani ya Yesu hakuwa na sifa yoyote ya Mungu, basi hatuna budi kukiri ya kwamba yeye alikuwa binadamu wa kawaida tu, au labda binadamu nusu.

Hata hivyo 'mtu' huyo akiungamana na Yesu atalazimika kuwa binadamu wa kutosha kurithi tabia ya kutenda dhambi.

Kama hapana, kwa nini hapana?

Ni wazi ya kwamba haifai kusema kuwa yeye akiwa 'mtu' tofauti na mwenzake Mungu, atakuwa amefanya dhambi kwa kujitegemea akimtupia lawama yote huyo 'mtu' ndani yake.

Mfululizo huo wa matukio hautakamilika pasipo kumwona Yesu 'Mwana wa Mungu' akitoa roho siyo sana bila ubinafsi, wala siyo
kwa ajili ya wanadamu wote, bali shabaha yake kubwa pengine ndiyo nduguye mama mmoja, yule 'mtu' ndani yake.

Hiyo yote ni vigumu kufahamu kama si haiwezekani kabisa. Lakini nadharia yetu haizushi matatizo ya aina hiyo.

Kwani huyo alikuwa Yesu binadamu asiyekosa, pasipo kuwa na uwili ndani yake, aliyepaza sauti kudhihirisha mshangao na udhia.
 
Wangapi waumini (wanaume)wenye kufata sunna za mtume ambao mnapaka hina kama mtume, mnapaka wanja kama mtume, mnagonga watoto wa miaka 9 kama mtume alivyotuonesha mfano kwa Aysha, mnatamani wake za watoto wenu kama mtume alivyompenda mke wa mwanaye Zaid. Mnawachukulia wake zenye kama mashamba yenu kwaiyo mnagonga vyovyote(kotekote) kama tulivyoagizwa na mtume,
Kama wewe unafata sunna hizi gonga like kabla jua halijazama kwenye matope tufahamiane maana bikra 72 za mahurlain zinakusubiri peponi.

MR VENTURE 😛😛😛😛😛😛😛😛

LEO HUJAPATA NYAMA YA YESU KUTOKA KWA ASKOFU WAKO ???
 
Nilikwambia Alianza kutuita WA-KRISTO ni Yesu Mwenyewe [emoji117] View attachment 870564 kwamba sisi ni WA-KRISTO hutaki..hutaki [emoji12] Mimi sijakulazimisha kukubali na UWEZO HUO sina, ila inabakia Habari NDIO HIYO [emoji106]

UMEANZA KUCHANGANYIKIWA HATA KISWAHILI HUKIJUI TENA ???

nakuletea kwa english

9:41 For whosoever shall give you a cup of water to drink in my name, because ye belong to Christ, verily I say unto you, he shall not lose his reward.

Kuna christians hapo ??
 
Nani ndiye Mwislamu wa Kwanza?.

Je Ni Khadija, Mohammad au nani?
. Here are the candidates:

1. Muhammad:
"And I am commanded to be the first of those who bow to Allah in Islam." (Qur'an 39:12)

2. Moses:
"Glory be to Thee! To Thee I turn in repentance, and I am the first to believe." (Qur'an 7:143)

3. Abraham:
“And this was the legacy that Abraham left to his sons, and so did Jacob; "Oh my sons! Allah hath chosen the Faith for you; then die not except in the Faith of Islam.
(Qur'an 2:132)

3. Adam:
Allah did choose Adam and Noah, the family of Abraham, and the family of 'Imran above all people (Qur'an 3:33).

4. Some Egyptian Magicians:
"Lo! We ardently hope that our Lord will forgive us our sins because we are the first of the believers." (Qur'an 26:51)

5. Jesus and his Disciples:
“When Jesus found Unbelief on their part He said: "Who will be My helpers to (the work of) Allah?" Said the disciples: "We are Allah's helpers: We believe in Allah, and do thou bear witness that we are Muslim.” (Qur'an 3:52)

So ikiwa hawa wote walitokea Dini ya Islam. Basi kuna tatizo hapa... I leave for you to ponder....

umebaki kupapatika na tafsiri za askofu wako , jibu hoja za dhambi ya asili kama unazo
 
Wangapi waumini (wanaume)wenye kufata sunna za mtume ambao mnapaka hina kama mtume, mnapaka wanja kama mtume, mnagonga watoto wa miaka 9 kama mtume alivyotuonesha mfano kwa Aysha, mnatamani wake za watoto wenu kama mtume alivyompenda mke wa mwanaye Zaid. Mnawachukulia wake zenye kama mashamba yenu kwaiyo mnagonga vyovyote(kotekote) kama tulivyoagizwa na mtume,
Kama wewe unafata sunna hizi gonga like kabla jua halijazama kwenye matope tufahamiane maana bikra 72 za mahurlain zinakusubiri peponi.

MASHAKA YA YESU

Ningeeleza tena ya kwamba simkatai Yesu bali ninamheshimu sana akiwa Mtume wa Mungu aliyetoa dhabihu maalum.

Namwamini Yesu kuwa mja mtakatifu aliyepatwa na jaribio kubwa.

Lakini masimulizi ya tukio la Msalaba yanapoanza kufafanuka na yanapoishia, hapo tunakuwa hatuna njia yoyote isipokuwa kuamini ya kwamba Yesu hakujitolea kwa furaha ili afe msalabani.

Usiku wa kuamkia siku ambayo maadui zake walijaribu kumwua msalabani twamkuta akiomba usiku kucha pamwe na wanafunzi wake, kwani ukweli wake ulikuwa hatarini.

Imesemwa katika Agano la Kale ya kwamba yule mwongo anayemzushia Mungu maneno Asiyomwambia yeye, mwongo huyo atatundikwa mtini na kufa hapo kifo cha laana.

Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa. (Kumbukumbu la Torati 18:20).

Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti;
lazima utamzika siku hiyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumbukumbu la Torati 21:22-23).

Yesu alijua kwamba kama akifa Msalabani, Mayahudi watafurahia kwa shangwe sana kifo chake na kudai yu mlaghai ambaye uwongo wake mwishowe umethibitika pasipo shaka yoyote kulingana na hukumu ya Maandiko Matakatifu.

Hiyo ndiyo sababu ya kwamba yeye alikuwa na kiherehere ya kuwa kikombe hicho kichungu kimwepuke; si kwa sababu ya woga, bali kwa kuhofia isije watu wakapotoka na wakashindwa kutambua ukweli wake akifa msalabani.

Usiku kucha aliomba kwa huzuni pasipo kujiweza hata kwamba kusoma jinsi alivyoudhika na kusumbuka kunahuzunisha sana mno.

Lakini kisa hiki cha kweli kinapokurubia mwisho wake, upeo wa kuudhika kwa maono yake, majonzi yake na ushinde wake, vinaelezeka kikamilifu katika kilio chake cha mwisho:

Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? (Mathayo 27:46).

Mtu anapaswa kuzingatia ya kwamba haukuwa udhia tu uliodhihirishwa katika kilio hicho bali huo ulichanganyikana na mshangao uliopakana na hofu kubwa.

Baada ya yeye kuzinduliwa na kupata fahamu kwa kusaidiwa na baadhi ya wanafunzi wake halisi waliojitolea kwake ambao walipaka marahamu juu ya majeraha yake ambayo marahamu hiyo walikuwa wameitayarisha mapema kabla ya tukio la msalaba ambamo mlikuwa na dawa za kutuliza maumivu na kuponya jeraha, hakuna budi atakuwa ameshangaa sana akifurahi na imani yake katika Mungu Mpenzi Mkweli ikarejea na kuimarika upya kwa namna ambavyo mtu hakuwahi kushuhudia wingi wake na wasaa wake.

Habari hii ya kwamba marahamu ilikuwa imetayarishwa mapema ndiyo uhakikisho madhubuti wa kuthibitisha ya kwamba
wanafunzi wa Yesu walitazamia sana ya kuwa Yesu ataondolewa msalabani akiwa hai akihitaji sana kutibiwa.

Kutokana na maelezo ya hapo juu, inabainika ya kwamba itikadi ya Dhambi ya Asili na kusulubiwa inao msingi juu ya dhana na
fikara ya kitamaa waliyozusha baadaye wataalamu wa dini ya Kikristo.

Inawezekana sana ya kwamba mawazo hayo yalizalika kutokana na visa vya kubuniwa vya kabla ya ujaji wa Ukristo,
ambavyo visa hivyo vikawashawishi wataalamu hao Wakristo kuona kwamba hivyo vinafanana-fanana na hali alizopata Yesu
basi wakabuni itikadi hiyo.

Kwa vyovyote, hiyo iwe siri ama jambo linalojipinga lenyewe, tulionavyo, lakini hamna ushuhuda wowote uwao wa kuhakikisha ya kwamba falsafa ya Dhambi na Kafara inalitegemea lolote lililotamkwa na Yesu ama likatendwa au likafundishwa naye.

Yeye asingeweza kuhubiri kilicho dhidi ya akili ya mtu na kinachopingana na fahamu ya binadamu.
 
Kama huyo alikuwa Yesu 'Mwana', na kweli alikuwa huyo kwa kulingana na maoni ya makanisa ya Kikristo, hapo litazuka swali
jingine kutokana na jawabu la swali la kwanza ya kwamba alikuwa nani ambaye Yesu alizungumza naye (Mathayo 26:39, 42).

Twaweza kuchagua rai mojawapo katika rai mbili:

Ya kwanza ni kwamba 'Mwana' alikuwa anaongea na Baba akilalamika kwamba ameachwa katika wakati wa haja.

Hiyo haina budi kutuongoza kuamini ya kwamba hao walikuwa wawili mbali mbali wasiokuwapo pamoja katika dhati moja wakishirikiana kwa usawa katika sifa zote na kuzitumia kwa pamoja kwa usawa.

Mmoja katika hao anaonekana kuwa mwamuzi mkuu, mweza, mwenye nguvu ya mwisho ya kutoa hukumu. Na mwingine yule
'Mwana' maskini, anaonekana amenyimwa kabisa ama pengineakaondolewa kwa muda ile tabia ya kupiga ubwana aliyokuwa
nayo Baba.

Kiini cha habari kinachotakiwa kuzingatiwa ni kwamba matakwa yao na matilaba yao yanayopingana hayaonekani yakizozana na kuhitilafiana zaidi kuliko yalivyokuwa wakati wa kitendo cha mwisho cha kisa cha msalaba.

Swali la pili ni kwamba je, hao wawili mbalimbali, wakiwa na maoni tofauti, khulka tofauti na sifa tofauti wataona taabu na udhia
wakiwa 'wawili katika mmoja' ama 'mmoja katika wawili'?

Basi swali jingine litahitaji maongezi marefu baina ya wataalamu wa dini ya kwamba je, upo uwezekano wa Mungu kupata kusumbuka na kuadhibiwa?

Hata kama upo uwezekano huo, Mungu nusu tu ataudhika ilhali nusu nyingine ya Mungu hataweza kupata taabu kwa sababu pengine kwa mpango maalum ama kwa sababu ya kulazimika kwa tabia yake ya asili. Na tunaposogelea mbele katika
ulimwengu huu wa wasiwasi wa falsafa hiyo iliyopotoka, mwanga unaanza kufifia zaidi na zaidi na tunakuta bumbuazi juu ya
bumbuazi.

Lipo tatizo jingine tena. Kristo alikuwa anaongea na nani kama yeye mwenye alikuwa Mungu?.

Alipoongea na Baba, yeye mwenyewe alikuwa sehemu isiyotenganishwa na Baba; ndivyo tuambiwavyo. Basi alikuwa anasema nini na kumwambia nani?

Swali hilo linatakiwa lijibiwe kwa dhamiri huru pasipo kuikimbilia itikadi. Hiyo inakuwa itikadi hapo tu ambapo haiwezekani hiyo kufafanuliwa sawa na akili ya kibinadamu.

Kwa kulingana na usemi wa Biblia, Yesu alipokuwa atoe roho yake akalia akimwambia Mungu Baba: Mbona umeniacha?

Nani alimwacha nani? Je Mungu alimwacha Mungu?

KUTOA DHABIHU PASIPO KUPENDA :

Sasa na tugeukie kuchunguza tukio la msalaba. Hapo twalikabili tatizo lisiloweza kutatulika. Tunavyoambiwa kwa kusisitiza ni kwamba Yesu alijitolea kwa hiari yake mbele ya Mungu Baba na akasukumiziwa madhambi ya wanadamu wote sharti wamwamini
kwanza.

Lakini saa ya upendo wake kukubaliwa unaposogelea karibu na mwanga wa tumaini la wanadamu wenye dhambi unapoanza kumulika kama mapambazuko ya alfajiri, twamgeukia Yesu tukitazamia kushuhudia uchangamfu wake na furaha yake na shangwe yake ya hali ya juu sana katika wakati wa muhimu kabisa katika historia ya binadamu, tunasikitikaje sana na kuvunjika moyo moja kwa moja!

Badala ya kumkuta Yesu akingojea saa ya furaha kuu, twamwona akilia na kupaza sauti na kuomba na kumsihi Mungu Baba ili kimwepuke kikombe cha mauti.

Yeye akamkaripia vikali sana mwanafunzi wake mmoja alipomkuta akisinzia baada ya kupitisha mchana mrefu wa hatari
na kusumbuka usiku wa majonzi ambao ukamchosha vibaya yeye na bwana wake. Biblia inasimulia habari hiyo kama ifuatavyo:

Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane akawaambia wanafunzi wake, ketini hapa hata niende kule nikaombe.
Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka. Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwabia Petro: Je, hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
Akaendelea tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa,
mapenzi yako yatimizwe.
Akaja tena akawakuta wamelala; maana macho yao yamekuwa mazito. Akawaacha tena, akaenda, akaomba
mara ya tatu, akisema maneno yaleyale. (Mathayo 26: 36- 44).

Ni masikitiko, kinavyotoboa kisa hiki cha Kikristo, ya kwamba kurongaronga kwa Yesu wala kwa wanafunzi wake hakukubaliwa
na Mungu Baba, na japo akateta sana lakini akasulubishwa shingo upande.

Je, huyo ndiye yule yule mfalme asiyekosa, na upeo wa mwisho wa dhabihu, aliyejitolea mhanga sana ili kubeba mizigo ya madhambi ya wanadamu wote mabegani pake, ama yu mtu tofauti?

Mwenendo wake, ilipowadia saa ya kutundikwa msalabani na wakati aliposulubishwa, unatia shaka sana kwamba aliyesulubishwa kweli alikuwa Yesu au kwamba kisa chenyewe hicho kweli ni sawa kilichobuniwa kumhusu yeye.

Lakini hilo tutalijadili baadaye. Wakati huu tugeukie pale tulipoacha uchunguzi wetu.

Maswali mengine yanayozuka kutokana na kilio cha mwisho cha Yesu katika hali ya kuteswa ndiyo haya: Ni nani aliyetamka hayo
maneno ya kutia majonzi na kuhuzunisha?

Alikwa Yesu-mtu ama Yesu 'Mwana'?

Kama huyo alikuwa ni Yesu mtu aliyeachwa (Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha) basi kaachwa na nani?

Na kwa nini?

Kama alikuwa Yesu mtu, hakuna budi basi ya kwamba yeye alikuwa hadi mwisho nafsi ile ile moja inayojitegemea aliyeweza
kufikiria na kuhisi mwenyewe pasipo kizuizi chochote kiwacho.

Je, yeye alikufa wakati roho ya Yesu Mwana wa Mungu ilipotengana na mwili wa aliokuwa ameuchukua yeye? Kama ndiyo, kwa nini na kwa namna gani?
Kama ni hivyo, na ilikuwa ni kiwiliwili cha mtu kilichokufa baada ya roho ya Mungu kukitoka, basi swali linazuka hapo ya kwamba nani alifufuka katika wafu pindi roho ya Mungu ilipouingia mwili huo huo baadaye.

Tena, habari hiyo itatuongoza kuamini ya kwamba siye Yesu 'Mwana' aliyekuwa anasumbuka, bali ni Yesu mtu aliyepaza sauti
katika hali ya kuteswa na ndiye aliyeudhika ilhali Yesu 'Mwana' aliangalia tu akitepetea asijali. Hapo anawezaje kudai ya kwamba
yeye akiwa 'Mwana' alisumbuka kwa ajili ya wanadamu wala siye yeye akiwa mtu?

Naam, kama tukidhani ya kwamba alikuwa ni Yesu 'Mwana' aliyepaza sauti ya kilio ilhali 'mtu' ndani yake pengine akitumaini
kuanza maisha mapya akaangalia tu akitazamia pasipo hakika ya kwamba pamoja na Yesu 'Mwana' kutoa dhabihu, yeye Yesu mtu naye atachinjwa, apende asipende, pamoja na mwenzake asiyekosa.

Uadilifu gani ulimhimiza Mungu kupata shabaha mbili kwa hila moja? Hiyo labda ni siri nyingine.

Umejibu Ambacho sujakuuliza...masudi alitoa aya KUTHIBITISHA kwamba baba fatûû aliyokuwa anaongea si ya kwake ilaha ya allah...nikamwambia aweke mashahidi wa-3 kwa mujibu Torati [emoji117]
IMG_20180919_080722_874.jpg
sababu hata allah amewahi kumkemea
IMG_20180917_205850_684.jpg
jiburilu nae alimzogodoa [emoji117]
IMG_20180917_213153_272.jpg
sasa badala ya kuweka Mashahidi au kumuachia mwenyewe masudi ajibu ukajiona ni mjuzi zaidi ya masudi kumbe ni zwazwa wahedi hadi unaongea peke yako brbarani [emoji12] [emoji53] mkiambiwa hamjui kusoma mnawaka kama kifuu [emoji53]
 
Umejibu Ambacho sujakuuliza...masudi alitoa aya KUTHIBITISHA kwamba baba fatûû aliyokuwa anaongea si ya kwake ilaha ya allah...nikamwambia aweke mashahidi wa-3 kwa mujibu Torati [emoji117] View attachment 871368 sababu hata allah amewahi kumkemea View attachment 871372 jiburilu nae alimzogodoa [emoji117] View attachment 871377 sasa badala ya kuweka Mashahidi au kumuachia mwenyewe masudi ajibu ukajiona ni mjuzi zaidi ya masudi kumbe ni zwazwa wahedi hadi unaongea peke yako brbarani [emoji12] [emoji53] mkiambiwa hamjui kusoma mnawaka kama kifuu [emoji53]

JE, MUNGU BABA NAYE ALISUMBUKA?

Tukifikiria asili ya 'Mwana', hatuwezi kuamini kwamba yeye alitupwa motoni, kwani hiyo ingepingana kiundani naye yeye mwenyewe.

Tukirejea kwenye imani ya msingi ya Kikristo tunaona ya kwamba Mungu na 'Mwana' ni wawili lakini wenye tabia ya asili ile ile moja.

Haiwezekani katu mmojawapo apitie hali fulani pasipo wa pili kushirikiana naye katika hali hiyo.

Twawezaje kuamini ya kwamba nafsi moja ya Mungu, yaani, 'Mwana' alisumbuliwa ilhali Mungu Baba akabaki pasipo kuudhika?

Kama yeye hakuudhika, basi hiyo itamaanisha kuvunja Umoja wa Mungu. 'Watatu katika Mmoja' inazidi kutokufahamika kwani hali ilizopata kila nafsi mojawapo ya utatu ni tofauti kabisa na mbali mbali hata kwamba inaonekana haiwezekani Nafsi moja
ya Mungu iungue katika moto wa Jahanamu ilhali Nafsi zingine mbili zibaki nje zisiguswe katu na moto.

Hakuna hiari kwa Wakristo wa leo isipokuwa watengane na imani katika Umoja wa Mungu na waamini miungu watatu, kama wanavyoamini Mapagani wa kabla ya Ukristo kama vile Warumi na Wagiriki, ama wabaki waaminifu na kuamini Mungu ni Mmoja hivi kwamba hali mbili za Mungu haziwezi kupinzana zenyewe kwa zenyewe.

Mtoto anaposumbuka, mama hawezi kutulia na kukaa kimya.

Lazima yeye naye atasumbuka, bali pengine zaidi kuliko mtoto mwenyewe. Mungu Baba alikuwaje wakati yeye alipomsumbua

'Mwanaye' katika Jahanamu kwa siku tatu? Na nini ilimsibu Mungu Mwana? Je aligawanyika katika wawili wenye hali na asili tofauti?

Mmoja akiungua katika Jahanamu na mwingine akiwa nje kabisa asisumbuke asilani. Na kama Mungu Baba alikuwa anasumbuka, basi kulikuwa na haja gani ya kumwumba 'Mwana'?

Maana Mungu Baba mwenyewe angeweza kusumbuka.

Basi hili ni suala hasa ya kwamba kwa nini Yeye mwenyewe hakuchukua jukumu la kusumbuka? Kwa nini akaunda mpango huo mgumu kwa kutatua tatizo la msamaha?
 
Usiwe kama mtoto Anaye Lilia pipi [emoji12] kama vipi anzisha uzi tukulabue makofi kama kelbu [emoji112] na migumi [emoji109] ya chembe [emoji53]
 
Nani ndiye Mwislamu wa Kwanza?.

Je Ni Khadija, Mohammad au nani?
. Here are the candidates:

1. Muhammad:
"And I am commanded to be the first of those who bow to Allah in Islam." (Qur'an 39:12)

2. Moses:
"Glory be to Thee! To Thee I turn in repentance, and I am the first to believe." (Qur'an 7:143)

3. Abraham:
“And this was the legacy that Abraham left to his sons, and so did Jacob; "Oh my sons! Allah hath chosen the Faith for you; then die not except in the Faith of Islam.
(Qur'an 2:132)

3. Adam:
Allah did choose Adam and Noah, the family of Abraham, and the family of 'Imran above all people (Qur'an 3:33).

4. Some Egyptian Magicians:
"Lo! We ardently hope that our Lord will forgive us our sins because we are the first of the believers." (Qur'an 26:51)

5. Jesus and his Disciples:
“When Jesus found Unbelief on their part He said: "Who will be My helpers to (the work of) Allah?" Said the disciples: "We are Allah's helpers: We believe in Allah, and do thou bear witness that we are Muslim.” (Qur'an 3:52)

So ikiwa hawa wote walitokea Dini ya Islam. Basi kuna tatizo hapa... I leave for you to ponder....
Nani alikwambia uislamu ni dini ilioanza kwa Mohamadi? Kila mtume alikuwa wa kwanza kwa nyakati zake , Adam ndio alikuwa muumini wa kwanza baada ya hapo watu wakizama kwenye uovu anakuja mtume anahuisha uislamu kwahiyo kwakuwa watu wanakuwa wameusahau anakuwa wakwanza kwa wakati wake(Uma wake) kuuisha uislamu .rahisi kabisa
 
tuwekee mashahidi. 3 kama alicho ongea baba kasimu ni kweli [emoji117] View attachment 870626 amezoea uongo ili kuridhia wakeze [emoji53] Ndipo nikajiuliza au kwa mujibu wa uisilamu Maneno haya ya MUNGU [emoji117] View attachment 870629View attachment 870630 ni Msamaha [emoji47] [emoji47] [emoji53]
Ahahahahahahhaahhhahaha Mungu anasema kamsamehe Adam wewe unataka mashahidi Ahahahahaha umepagawa?
QURAN 2:37 (Mungu kamsamehe Adam sasa hapo shahidi wa nini ahahhahhh)

Kuhusu kulaaniwa ARDHI ndio iliolaaniwa , BINADAMU akulaaniwa , hoja yako ni batili , mbona maandiko yanakugeuka uoni aibu ahahahaha mpaka unauliza maswali kama mlevi
 
Wangapi waumini (wanaume)wenye kufata sunna za mtume ambao mnapaka hina kama mtume, mnapaka wanja kama mtume, mnagonga watoto wa miaka 9 kama mtume alivyotuonesha mfano kwa Aysha, mnatamani wake za watoto wenu kama mtume alivyompenda mke wa mwanaye Zaid. Mnawachukulia wake zenye kama mashamba yenu kwaiyo mnagonga vyovyote(kotekote) kama tulivyoagizwa na mtume,
Kama wewe unafata sunna hizi gonga like kabla jua halijazama kwenye matope tufahamiane maana bikra 72 za mahurlain zinakusubiri peponi.
Sisi ni wale waumini wa kale kamungu kanakoenekana kuvuliwa nguo na kuachwa na kikaptula huku amejikunyata anasikia baridi, kisha wakakatemea mate na kukatundika kama mzoga wa panya ahahahahahahaahahaahahahahqh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom