Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Katengua lini Amri yake ya Lat-katiru...[emoji53] Sina cha kumuuliza Mungu maadam Amesha sema [emoji117] View attachment 870607
Ahahahahahahahhha ni kweli ndio maana hata nguruwe taurati imekataza lakini ww unakula ahahahhaahaaha, halafu unachojificha sijui kipi Mungu wako ndio kamwambia Musa AWAUE wenyeji wa nchi ya ahadi hili mpore nchi yao Muulize Mungu wako kwanini akataze kuua? halafu kwanini amruhusu Musa kuua ? akikujibu njoo ahahahahaahaah
 
Wanajukwaa:

Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.

Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.

Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.

Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.

Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.

Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).

Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki.
Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.

Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.

Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).

Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?

2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?

3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?

· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?

· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?

Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Ndugu yangu inaelekea umejipanga kwa muda mrefu sana na kufanya bidii kubwa sana ya kuikosoa Quran. Nataka nikuhakikishie wewe sio wa kwanza kufanya zoezi hilo, tena wenzio walijipanga haswa na kutumia Budget kubwa kufanya kazi hiyo lakini mwisho wake wengi waliishia kuingia katika Dini ya haki.
Quran ni kitabu kilicho kamilika na hakina shaka hata ya Kimantiki, hapo kinachotakiwa ni Elimu yako tu ili ukielewe. Wewe ukieleweshwa utaelewa kiulahisi zaidi maana inaelekea tayari ulishafanya jitahada ya kutaka kuielewa Quran.
Sasa nakupatia simu ya mtu mwenyewe Elimu ya kuweza kukuelewesha Mashaka yako yote uliyonayo Juu ya kitabu hiki cha Mwenyezi Mungu.
Nakushauri orodhesha Dosari zote unazohisi ziko ndani ya Qurani arafu piga simu hiyo 0713 276980.
Pia yeyote mwenyekutaka kupata ufafanuzi wowote juu ya Quran piga simu hiyo.
 
MALIZIA KABISA YUPO HAI MPAKA [emoji117] View attachment 870566 umebakia idhini idhini [emoji12] Yesu aliongea Hivi [emoji117] View attachment 870568 hadi iliwakera waisilamu wenzio [emoji117] View attachment 870570 kama ungejua kusoma hapo ungeng'amua kwa nini Kauli hiyo ya Yesu imewakera lakini tatizo mkufunzi wa kakufundisha kusoma kafa anasikitika kwa kutotimiza lengo [emoji117] View attachment 870596 umebakia dhana na uongo [emoji12]
Nukuu "Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu" yohana 10:18 Ahahahahaha kumbe Baba ndio kila kitu sasa wewe kipi unakataa kwamba kwa idhini ya Mungu,
Yohana 14:28( Baba ni mkuu kuliko mimi) ahahahahha Yesu ni mtumwa tu kwa Baba hata mwenyewe analijua hilo , kwa hiyo ni kweli yuko hai na atakuja kumaliza KIPORO cha kuvunja misalaba na kuondoa uzushi kuwa yeye ni the Mungu, ahahahhahahah ww mtu kama wewe unamuita Mungu siukosefu wa akili huo
 
umebaki kupapatika na tafsiri za askofu wako , jibu hoja za dhambi ya asili kama unazo
Unaandika mambo mengi sana yanachosha kusoma. Nimepitia hapo. Nikakuta unapotosha maana, kwa kuandika kua "tabia za mtu za muda mrefu haziwezi kuridhishwa kwa mifumo ya DNA genes.

". Hii si Kweli hata kidogo. Ingawa sijajua unailinganishaje na dhambi ya Asili.

Dhambi ya Asili nimeshakujibu posts za nyuma. Kwa kukuwekea na references za Quran.

Shida nyingine, umebadili mbinu, ambapo sasa hivi unatumia maandiko Matakatifu, kujenga concepts mbalimbali za Imani, kwa kufuata mrengo wa Bibilia zaidi.
Jambo ambalo linakuondoa kwenye Imani ya Uislamu. Na kukuweka kwenye Ukristo wa aina nyingine kabisa.
Na kwakua unaweka porojo nyingi. Meseji inakua sio delivered.
 
Nani alikwambia uislamu ni dini ilioanza kwa Mohamadi? Kila mtume alikuwa wa kwanza kwa nyakati zake , Adam ndio alikuwa muumini wa kwanza baada ya hapo watu wakizama kwenye uovu anakuja mtume anahuisha uislamu kwahiyo kwakuwa watu wanakuwa wameusahau anakuwa wakwanza kwa wakati wake(Uma wake) kuuisha uislamu .rahisi kabisa
I knew you'll say that;-
Hadi Bi kHadija anasema yeye pia ndiye Muislamu wa Kwanza Duniani. Na Mnasema wenyewe Uislamu ni endelevu tangu Adamu. Sasa hizo haya hazisemi hivyo mnaongeza maneno yenu ya kitman.

Stop lying...
 
Unaandika mambo mengi sana yanachosha kusoma. Nimepitia hapo. Nikakuta unapotosha maana, kwa kuandika kua "tabia za mtu za muda mrefu haziwezi kuridhishwa kwa mifumo ya DNA genes.

". Hii si Kweli hata kidogo. Ingawa sijajua unailinganishaje na dhambi ya Asili.

Dhambi ya Asili nimeshakujibu posts za nyuma. Kwa kukuwekea na references za Quran.

Shida nyingine, umebadili mbinu, ambapo sasa hivi unatumia maandiko Matakatifu, kujenga concepts mbalimbali za Imani, kwa kufuata mrengo wa Bibilia zaidi.
Jambo ambalo linakuondoa kwenye Imani ya Uislamu. Na kukuweka kwenye Ukristo wa aina nyingine kabisa.
Na kwakua unaweka porojo nyingi. Meseji inakua sio delivered.
Dhambi ya asili kwenye QURAN hakuna wacha kuleta maneno ya vijiweni nilishakwambia Adamu alileta TOBA na Mwenyezi Mungu mwingi wa kukubali TOBA AKAMSAMEHE wacha kutuletea imani zisizo na kichwa wala miguu
 
Usiwe kama mtoto Anaye Lilia pipi [emoji12] kama vipi anzisha uzi tukulabue makofi kama kelbu [emoji112] na migumi [emoji109] ya chembe [emoji53]

jilabue hapa

ADHABU YA MOTONI:

Hapa suala la Jahanamu alimotiwa Yesu kulingana na imani ya Kikristo linapaswa kuchunguzwa vizuri zaidi. Jahanamu hiyo
ilikuwa ya aina gani? Je, hiyo ilikuwa ile ile Jahanamu iliyoelezwa katika Agano Jipya kama hivi:

Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake machukizo yote, na hao watendao maasi, na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. (Mathayo 13:41-42).

Kabla hatujaendelea mbele yatupasa kutambua ya kwamba Agano Jipya linamaanisha nini lisemapo 'adhabu ya moto' ama 'adhabu ya Jahanamu'?

Je, huo ni moto unaounguza roho ama ni moto wa kimwili unaoteketeza mwili na kwa njia hiyo unaitesa roho? Je Wakristo wanaamini kwamba tutarejea kwa mwili huo huo ambao wakati wa kufa roho iliuacha ili kuchanganuka katika vumbi na majivu?

Au je, kila roho itaumbiwa mwili mpya na mtu aliyefufuliwa atapata maisha mapya?

Kama huo ni moto wa kimwili na ni adhabu ya kuutesa mwili, basi mtu anaweza kufikiria sana hadi uwezo wake wa kufikiria
uishe ya kwamba ilikuwa imetendeka nini kwa Yesu Kristo. Kabla ya kutupwa Motoni, je, roho yake iliingizwa tena katika mwili
wa 'mtu' ilimokaa muda wote katika maisha yake juu ya ardhi, ama ilitiwa kwa njia fulani ndani ya mwili wa kiroho?

Kama roho yake ilipewa mwili wa kiroho, hapo mwili huo wa kiroho usingeliweza kufikiwa na moto wa kimwili wa Jahanamu ili
kuumiza, kuuadhibu ama kuuangamiza.

Na kama tukikubali ya kwamba mwili ule ule wa 'mtu' alimokaa Yesu duniani utaundwa upya kwa ajili ya Yesu ili kwa njia ya mwili huo Yesu apate kuudhika katika Jahanamu, hapo hatuna budi kushuhudia msiba mwingine kwa uadilifu wa Mungu.

Mtu maskini kwanza alitiwa nguvuni kwa maisha mazima na roho ngeni, tena kama malipo ya 'ukarimu' wake aliolazimishwa kuonyesha aungue katika Jahanamu pasipo dhambi aliyotenda. Lakini heshima ya kutoa fidia hiyo akajichukulia moja kwa moja huyo mgeni aliyekaa ndani ya huyo mtu.

Tena ikoje hali ya roho ya mtu huyo mwenyewe?

Pengine alikuwa hana roho yake mwenyewe. Kama ni hivyo, basi hapo mtu katika Yesu na Mungu katika Yesu ndiye yule yule mmoja na kwa hiyo dai la kusema kwamba Yesu wakati mwingine akatenda kibinadamu na pengine ki-mungu litakuwa ni maneno ya kilinge.

Kanuni ya pekee inayokubaliwa na akili ni kwamba roho moja na mwili mmoja hufanya mtu mmoja. Roho mbili na mwili mmoja ni wazo la upuuzi linaloweza kukubaliwa na wale tu ambao wanaamini watu kupagawa na pepo na mizuka na kadhalika.
 
I knew you'll say that;-
Hadi Bi kHadija anasema yeye pia ndiye Muislamu wa Kwanza Duniani. Na Mnasema wenyewe Uislamu ni endelevu tangu Adamu. Sasa hizo haya hazisemi hivyo mnaongeza maneno yenu ya kitman.

Stop lying...
Wewe ndio uelewi aya ndio maana zinakusumbua sana kama QURAN inakwambia Adamu alikuwa MUISLAM sasa hapo kuna swali la kuendelea kuuliza , ni suala ambalo hata mtoto mdogo anafahamu kila mtume anapokuja anakuta watu kwenye upotovu mkubwa anawafunza watu Dini kwahiyo anakuwa yeye ndio wakwanza kwa wakati wake(tunaita Uma wake)
 
jilabue hapa

ADHABU YA MOTONI:

Hapa suala la Jahanamu alimotiwa Yesu kulingana na imani ya Kikristo linapaswa kuchunguzwa vizuri zaidi.

Jahanamu hiyo ilikuwa ya aina gani? Je, hiyo ilikuwa ile ile Jahanamu iliyoelezwa katika Agano Jipya kama hivi:

Kabla hatujaendelea mbele yatupasa kutambua ya kwamba Agano Jipya linamaanisha nini lisemapo 'adhabu ya moto' ama 'adhabu ya Jahanamu'?

Je, huo ni moto unaounguza roho ama ni moto wa kimwili unaoteketeza mwili na kwa njia hiyo unaitesa roho?

Je Wakristo wanaamini kwamba tutarejea kwa mwili huo huo ambao,wakati wa kufa roho iliuacha ili kuchanganuka katika vumbi na majivu?

Au je, kila roho itaumbiwa mwili mpya na mtu aliyefufuliwa atapata maisha mapya?

Kama huo ni moto wa kimwili na ni adhabu ya kuutesa mwili, basi mtu anaweza kufikiria sana hadi uwezo wake wa kufikiria
uishe ya kwamba ilikuwa imetendeka nini kwa Yesu Kristo.

Kabla Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake machukizo yote, na hao watendao maasi, na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusagameno. (Mathayo 13:41-42).
Umeanza kujilabua mnyewe kabla hujalabuliwa [emoji15] ndio ZENU kujilipua [emoji4]
 
Tulia dawa ikuingie wacha kurusha rusha miguu kama unakata roho ahahahahahhaahahahahahq
eti dawa [emoji12] hiyo ni sumu tena hydrogen cyanide [emoji53] kwa akili za kisla kisla eti dawa [emoji12] acheni mtoto Wa abd allah augulie maumivu ya barzak [emoji4]
 
Ahahahahahahhaahhhahaha Mungu anasema kamsamehe Adam wewe unataka mashahidi Ahahahahaha umepagawa?
QURAN 2:37 (Mungu kamsamehe Adam sasa hapo shahidi wa nini ahahhahhh)

Kuhusu kulaaniwa ARDHI ndio iliolaaniwa , BINADAMU akulaaniwa , hoja yako ni batili , mbona maandiko yanakugeuka uoni aibu ahahahaha mpaka unauliza maswali kama mlevi
wee hata andazi itaitakidi ni Mungu [emoji15] [emoji12] weka Ushahidi aliye ongea hapo ni Mungu [emoji53]
 
Wewe ndio uelewi aya ndio maana zinakusumbua sana kama QURAN inakwambia Adamu alikuwa MUISLAM sasa hapo kuna swali la kuendelea kuuliza , ni suala ambalo hata mtoto mdogo anafahamu kila mtume anapokuja anakuta watu kwenye upotovu mkubwa anawafunza watu Dini kwahiyo anakuwa yeye ndio wakwanza kwa wakati wake(tunaita Uma wake)

Whenever We(CHRISTIANS) point out something in the Qur'an which requires serious thinking from the Muslim, some Muslims simply dismiss it by saying the quote was taken out of context.

When something is quoted and the reference is given, the reader should refer to the source to see if the quote has been given out of context.
 But does the Qur'an have any context-any indisputable context? HARDLY ANY STORY IS COMPLETE IN ANY ONE SURA.

As we have already seen, some narratives begin from nowhere. Such stories have no context unless one goes to their origin, which may be in the Bible or any of the books of fables, which form part of the sources of the Qur'an material. For many stories, one has to depend on the speculations of Islamic commentators; and there are as many commentaries as there are commentators.

Many Muslims who hold the claim of "out of context," meaning for every critical analysis of the Qur'an, do not realize that the Qur'an is its own verdict.

Some Muslims even believe that no non-Muslim can ever understand the Qur'an. According to their reasoning, only Muslim sheikhs and Imams can understand and interpret the book properly.

However, Suras 43:2; 27:1 and 15:1 openly state that the words of the Qur'an make things so CLEAR and simple that ANYBODY can understand them.

If you are a Muslim, go directly to the Qur'an for your references. Your chief Imam IS NOT THE SOLUTION. He has his own interpretation, which may not be the same as somebody else's. Remember, you are personally responsible to God for whatever you choose to believe.

Those who claim that a non-Muslim cannot know the Qur'an do not realize that much of the serious research works on the Qur'an were done (and are being done) by non-Muslims, especially in democratic nations where there is freedom of independent thinking and scholarship, and freedom to express one's findings.
 
Mkuu umeanza kuleta malalamiko tena humu ahahahahahahaahahaahha hoja ujibiwa kwa hoja , sio vilio mkuu
 
wee hata andazi itaitakidi ni Mungu [emoji15] [emoji12] weka Ushahidi aliye ongea hapo ni Mungu [emoji53]
Ahahhahahahahhahhaaahahahhaahahaha bureeeee kabisaa wewe sasa umekwisha ahahaahhahhahaahaha
QURAN 53:2-4 " Asemi kwa matamanio yake , ni ufunuo uliofunuliwa kwake"
QURAN imemaliza. dhambi ya asili ni maneno ya kuokota okota tu ahahahaaha
 
eti dawa [emoji12] hiyo ni sumu tena hydrogen cyanide [emoji53] kwa akili za kisla kisla eti dawa [emoji12] acheni mtoto Wa abd allah augulie maumivu ya barzak [emoji4]
Sio kwa povu hili hakika kipigo unachopata sasa ni cha mbwa koko ahahahaahaaaahahahahaha
 
wee hata andazi itaitakidi ni Mungu [emoji15] [emoji12] weka Ushahidi aliye ongea hapo ni Mungu [emoji53]

Endelea kujilabua hapa

KUJITOA NA KUFURAHIA KIROHO:

Kama inakubalika zaidi kwa wataalamu wa dini ya Kikristo ya kwamba roho pekee ya Yesu iliingia Jahanamu na Jahanamu hiyo nayo ilikuwa ya kiroho, basi hapaonekani sababu yoyote ya kuikatalia shauri hiyo kuwa upuuzi.

Lakini jahanamu ya kiroho humaanisha kuudhika dhamiri na kuyajutia makosa.

Na hayo yote mawili hayalingani na hali ya Yesu. Unapokubali kutozwa kwa ajili ya uhalifu wa mwingine, wewe mwenyewe ukiwa huna hatia, hapo dhamiri yako haiudhiki bali matokeo ni dhidi yake.

Roho ya mtu huyo inapaswa kufurahia kujitoa kwake kwa fikara ya wema na uungwana, jambo ambalo ni kama Pepo ya roho kuliko kuwa kama Jahanamu.

Sasa twageukia suala la mwili alimokaa Yesu na maana ya kifo kulingana na mwili huo na kufufuliwa pia. Tujuavyo sana ni kwamba mwili wa Yesu unalazimika kuwa sehemu isiyoweza kutengwa na Yesu akiwa Mwana wa Mungu. La sivyo, hapatakuwa na nafasi ya uungu wake na ubinadamu wake kuunganika pamoja na kutenda matendo tofauti waziwazi katika hali mbalimbali.

Wakati fulani tunamwona mtu akishika hatamu ya mambo sharti akiwa na roho tofauti, na wakati mwingine twashuhudia Mungu akijitokeza na kutawala fikara na maono ya mtu. Twakazania hapo ya kwamba hayo yanaweza kutendeka hapo tu ambapo dhati moja akiingiwa na nafsi mbili mbalimbali.
 
Mkuu umeanza kuleta malalamiko tena humu ahahahahahahaahahaahha hoja ujibiwa kwa hoja , sio vilio mkuu
Qur'an as saying to Adam and Eve:
"Get ye down (all ye people) with enmity between yourselves. On earth will be your dwelling place and your means of livelihood for a time."

So where is Allahs'forgiveness. if Adam kicked out of heaven?.
 
Historical Fallacies and Anachronisms:

Sura 2:246-251 is a mix-up of the story .
Stori 3 tofauti zenye matukio tofauti, zimechanganywa sehemu moja kwa tukio moja. Zinajumuisha wana wa Israel wakitaka mfalme, story ya Gideon na ya mauaji ya Goliath.

.

Sura 28:38
The Man Hamman.

Sura inashtua kwakukuta Hamman ametajwa pamoja na Pharaoh.
. Verse 38 inasema Pharaoh alimuamuru Haman lujenga mnara ufike mbinguni.

Mnara wa Babeli ulijengqa miaka 750 kabla ya Pharaoh au Moses wamezaliwa.
Hamman hakua misri ma Pharaoh.
Alikua anatikia Mfalme wa Persia Ahasuerus, about one thousand one hundred years separated from the Pharaoh of Moses' time.
This mix-up is repeated in Sura 40:23-24.

Haman anajulikana hata katika Vitabu vya Historia.

Q. 
Ishmael au Isaac?

Mbali na kuharibu Historia. Viongozi wa Kiislamu wamekua wakipindisha Historia to meet their diabolic agenda na kupuuza historia ya Quran:

Ni mtoto yupi wa Abraham ndiye wa Ahadi?.
Ishaq(Isaac) au Ishmael?.
Ulimwengu wa kiislamu una amini ni Ishmael.

1. Habari hii inapatikana kwenye Suras 11, 15 and 37. Sura 11 inasema:

"Our messengers came to Ibrahim with good news. They said: `Peace!"Peace!' he said, and hastened to bring them a roasted calf. But when he saw that their hands did not reach to it, he was afraid of them: (but) they said: `Do not be alarmed. We are sent forth to the people of Lut.'
"His wife, who was waiting on them, rejoiced. We gave her the good news of Ishaq, and after Ishaq of Yaqub.
"

`Alas!'she replied. `How shall I bear a child when I am old and my husband is well-advanced in years? This is indeed a strange thing.

2. 
Pickthall's translation of verses 71-72 inasema:

"`And his wife, standing by, laughed when We gave her good tidings (of the birth) of Isaac, and, after Isaac, of Jacob. She said: `Oh, woe is me! Shall I bear a child when I am an old woman, and this my husband is an old man? Lo! This is a strange thing!

3. '
Sura 37 gives the occasion where Abraham had earlier prayed for the son:

"100. 0 my Lord! Grant me a righteous (son)!

"101. So We (Allah) gave him the good news of a boy ready to suffer and forbear.

"102. Then when (the son) reached (the age of) (serious) work with him, he said: `O my son! I see in vision that I offer thee in sacrifice. Now see what is thy view!' (The son) said, `O my father! Do as thou art commanded. Thou will find me if Allah so wills one practicing Patience and Constancy!'

"103. So when they had both submitted their wills (to Allah) and he had laid down prostrate on his forehead (for sacrifice),

"104. We called out to him, `O Abraham!
"105. Thou hast already fulfilled the vision'-- Thus indeed do We reward those who do right.

"106. For this was obviously a trial -

"107. And We ransomed him with a momentous sacrifice.

"108. And We left (this blessing) for him among generations (to come) in later times.

"109. Peace and salutation to Abraham!"
In Sura 37, Jina la Mtoto huyu Halijatajwa kwa Jina Sura 11:71.

The Qur'an says it was "the righteous son" that Abraham asked for, the son God promised He would give, that God later ordered him to sacrifice.

Jina alilopewa ni Ishaq (Isaac) pamoja na Bayana hizi. Bado Waarabu kwakua ni wamelewa Uongo wanaamini mtoto wa ahadi aliyetakiwa kutolewa kafara ni Ishmael.

Hawajali kile Quran inasema. Ni uongo unaorudiwa kila Mwaka ulimwenguni kote during the Islamic festival to commemorate this sacrifice.
 
Qur'an as saying to Adam and Eve:
"Get ye down (all ye people) with enmity between yourselves. On earth will be your dwelling place and your means of livelihood for a time."

So where is Allahs'forgiveness. if Adam kicked out of heaven?.
Lengo la kuumbwa Adam unalijua? kuja duniani sio adhabu ndio lengo hasa la binadamu kuja kutawala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom