Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Historical Fallacies and Anachronisms:

Sura 2:246-251 is a mix-up of the story .
Stori 3 tofauti zenye matukio tofauti, zimechanganywa sehemu moja kwa tukio moja. Zinajumuisha wana wa Israel wakitaka mfalme, story ya Gideon na ya mauaji ya Goliath.

.

Sura 28:38
The Man Hamman.

Sura inashtua kwakukuta Hamman ametajwa pamoja na Pharaoh.
. Verse 38 inasema Pharaoh alimuamuru Haman lujenga mnara ufike mbinguni.

Mnara wa Babeli ulijengqa miaka 750 kabla ya Pharaoh au Moses wamezaliwa.
Hamman hakua misri ma Pharaoh.
Alikua anatikia Mfalme wa Persia Ahasuerus, about one thousand one hundred years separated from the Pharaoh of Moses' time.
This mix-up is repeated in Sura 40:23-24.

Haman anajulikana hata katika Vitabu vya Historia.

Q. 
Ishmael au Isaac?

Mbali na kuharibu Historia. Viongozi wa Kiislamu wamekua wakipindisha Historia to meet their diabolic agenda na kupuuza historia ya Quran:

Ni mtoto yupi wa Abraham ndiye wa Ahadi?.
Ishaq(Isaac) au Ishmael?.
Ulimwengu wa kiislamu una amini ni Ishmael.

1. Habari hii inapatikana kwenye Suras 11, 15 and 37. Sura 11 inasema:

"Our messengers came to Ibrahim with good news. They said: `Peace!"Peace!' he said, and hastened to bring them a roasted calf. But when he saw that their hands did not reach to it, he was afraid of them: (but) they said: `Do not be alarmed. We are sent forth to the people of Lut.'
"His wife, who was waiting on them, rejoiced. We gave her the good news of Ishaq, and after Ishaq of Yaqub.
"

`Alas!'she replied. `How shall I bear a child when I am old and my husband is well-advanced in years? This is indeed a strange thing.

2. 
Pickthall's translation of verses 71-72 inasema:

"`And his wife, standing by, laughed when We gave her good tidings (of the birth) of Isaac, and, after Isaac, of Jacob. She said: `Oh, woe is me! Shall I bear a child when I am an old woman, and this my husband is an old man? Lo! This is a strange thing!

3. '
Sura 37 gives the occasion where Abraham had earlier prayed for the son:

"100. 0 my Lord! Grant me a righteous (son)!

"101. So We (Allah) gave him the good news of a boy ready to suffer and forbear.

"102. Then when (the son) reached (the age of) (serious) work with him, he said: `O my son! I see in vision that I offer thee in sacrifice. Now see what is thy view!' (The son) said, `O my father! Do as thou art commanded. Thou will find me if Allah so wills one practicing Patience and Constancy!'

"103. So when they had both submitted their wills (to Allah) and he had laid down prostrate on his forehead (for sacrifice),

"104. We called out to him, `O Abraham!
"105. Thou hast already fulfilled the vision'-- Thus indeed do We reward those who do right.

"106. For this was obviously a trial -

"107. And We ransomed him with a momentous sacrifice.

"108. And We left (this blessing) for him among generations (to come) in later times.

"109. Peace and salutation to Abraham!"
In Sura 37, Jina la Mtoto huyu Halijatajwa kwa Jina Sura 11:71.

The Qur'an says it was "the righteous son" that Abraham asked for, the son God promised He would give, that God later ordered him to sacrifice.

Jina alilopewa ni Ishaq (Isaac) pamoja na Bayana hizi. Bado Waarabu kwakua ni wamelewa Uongo wanaamini mtoto wa ahadi aliyetakiwa kutolewa kafara ni Ishmael.

Hawajali kile Quran inasema. Ni uongo unaorudiwa kila Mwaka ulimwenguni kote during the Islamic festival to commemorate this sacrifice.
Hoja yako iko wapi ? ndio kwenye uislamu mtoto wa ahadi ni Ishmael , wewe hata akili ndogo umekosa " MTOTO WA PEKEE " kati ya Ishmael na isaka , nani aliwahi kuwa mtoto wa PEKEE kwa ibrahim? ata hili linakushinda kutafakari , QURAN imekuja kuondoa matongo tongo yote, halafu kila siku nakwambia ukiuliza maswali uliza juu ya jambo moja sasa unakuja mara mtoto wa ahadi, mara pharao mara kuchanganywa kwa story 3 ebu jaribu kusoma kabla ujapaste humu
 
Qur'an as saying to Adam and Eve:
"Get ye down (all ye people) with enmity between yourselves. On earth will be your dwelling place and your means of livelihood for a time."

So where is Allahs'forgiveness. if Adam kicked out of heaven?.

MAANA YA KIFO KULINGANA NA YESU:

Baada ya kwisha kuzingatia vizuri hiari mbalimbali kuhusu matendo aliyotenda 'Mungu' na 'Mtu' ndani ya Yesu, twajaribu sasa kuelewa matumizi ya neno 'kifo' na maana yake kamilifu kumhusu yeye.

Kama yeye alikufa kwa siku tatu, usiku na mchana, basi kifo kitamaanisha roho kutengwa na mwili na kuuaga. Na maana yake ndiyo kwamba roho haina budi kuuaga mwili na kukata kabisa uhusiano wake na mwili hata kwamba mwili usio na roho unabaki nyuma.

Mpaka hapo, sawa. Yesu mwishowe akapata faraja kutokana na kifungo chake katika mwili wa udongo wa mtu.

Lakini kupata uhuru katika kifungo hicho kusichukuliwe katu kuwa ni adhabu.

Marejeo ya roho ya kiungu ya 'Mwana' kwenye hali tukufu ya kuwepo hayawezi kuhesabiwa kwa vyo vyote sawa na kifo cha kawaida cha binadamu. Kifo cha mtu kinaogofya si kwa sababu roho inatengana na mwili na kukata uhusiano wake nao kwa kupata ufahamu mpya, bali hofu za kifo ni kwa sababu ya mtu kutengwa kwa kudumu na wapenzi wake hapa ardhini na kuacha nyuma mali yake na mambo mengine anayopenda.

Mara nyingi twaona mtu ambaye hana kitu cha kuishia anapendelea kufa badala ya kuishi maisha matupu.

Yesu asingeweza kujuta na kuhuzunika wakati wa kufa, kwani kifo kilimfungulia njia moja tu ya kupata faida siyo hasara.

Kwa nini kuugua mwili kuhesabiwe kuwa jambo la kuhuzunisha na kusumbua? Tena kama yeye alikufa hasa mara moja, siyo kimfano, na kukata roho, wanavyotaka Wakristo kwamba tuamini, hapo kurejea tena katika mwili huo ni hatua isiyo na busara kabisa inayonasibishwa kwake.

Je, alizaliwa upya aliporejea katika mwili aliouacha pindi alipokufa? Na kama kurejea kwake katika mwili huo kwamaanisha kwamba alihuika au kufufuka, hapo hata mwili huo ungekuwa wa kukaa milele.

Lakini tunayosoma katika Biblia ni kisa kingine tofauti kabisa.

Sawa na kisa hicho Yesu alifufuliwa kwa kuingia katika mwili huo huo uliokuwa umesulubishwa na hiyo ikaitwa kuhuika.

Kama ni hivi, kuuacha kwake mwili mara nyingine kutamaanisha nini? Je, hiyo itakuwa ni sawa na mauti ya pili?

Kama kuuaga mwili mara ya kwanza ndiyo kifo, basi hakuna budi alipouacha mwili mara ya pili atangazwe alikufa kwa kudumu.

Roho inapouacha mwili mara ya kwanza, mwaita kifo, na roho inaporejea katika mwili huo, mwasema kuhuika baada ya kufa.

Lakini mtaisemaje ikiwa roho inauacha mwili huo mara nyingine pasipo kuurejea abadan? Je, hiyo itaiwa kifo cha milele ama uhai wa milele kwa kulingana na istilahi ngumu za Kikristo?

Haikosi hiyo ndiyo kifo cha milele wala haina maana nyingine. Kujipinga juu ya kujipinga.

Ni jambo la kuchosha na kuhuzunisha kweli!

Kama ifikiriwe kwamba mwili haukuachwa mara ya pili, hapo tutakabili hali ya ajabu ambamo Mungu Baba huwepo akiwa nafsi
isiyo na mwili, isiyo na mipaka ilhali 'Mwana' hudumu kunaswa katika eneo fupi lenye kukabili mauti.
 
Sitaki kwenda kwa Undani kuhusu Ubishi wako. Japo sio swali Gumu la.kujadili.

Turudi kwenye Qurani.
Ikiwa Yesu hakufa, Yesu yupo mbinguni na Allah. Na mwili upi?.

Allah alisema "Kila nafsi itaonja Mauti". Nadhani atakua muongo mbaya zaidi kama anavyojisifu kwa Ufanisi wake wa kudanganya. Ikiwa nafsi ya Mwanadamu Yesu haijaonja mauti hata leo.

Na Allah anawaambia Waliomuamini kua;-
Aliamua kuwafanya waamini kua wamemuua Yesu. Akaweka avatar anayefanana na Yesu auwawe badala ya Yesu whichi is also injustice

Wakamuua wakijua wamemuua Yesu
Kumbe hakua Yesu. Kosa litakua la allah. Kwakua wakristo waliamini kile allah alichotaka kuwadanganya nacho.
This notion sounds childish ever..!!

Nanyi pia ni Victims wa allah kwkaua mnamuamini. pia na uwongo wake. Kwakua mnafahamu kua allah anajiita "master deceiver".

Mfano:
1967, Waarabu waliaminishwa kua watampiga Israel.wamwage miili yao bahari ya shamu. Matokeo yake Wamepata kipigo cha mbwa koko. Kwanini allah aliwaambia waarabu wakae kwenye nchi isiyokua yao?. Anajua mwenyewe..

Turudi kwenye Hoja:
Kukataa Kufa na Kufufuka kwa Yesu. Ni kiashiria kua umekataa wokovu at your own risk. Kifo na kufufuka kwa Kristo ndio center of Christian Faith. There's No compromise in that. If you don't believe, you are Lost.
We are Christians because Jesus Died for Us.

John 11:25
Jesus said unto her, I am the RESURRECTION, AND THE LIFE: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he LIVE:
 
Hoja yako iko wapi ? ndio kwenye uislamu mtoto wa ahadi ni Ishmael , wewe hata akili ndogo umekosa " MTOTO WA PEKEE " kati ya Ishmael na isaka , nani aliwahi kuwa mtoto wa PEKEE kwa ibrahim? ata hili linakushinda kutafakari , QURAN imekuja kuondoa matongo tongo yote, halafu kila siku nakwambia ukiuliza maswali uliza juu ya jambo moja sasa unakuja mara mtoto wa ahadi, mara pharao mara kuchanganywa kwa story 3 ebu jaribu kusoma kabla ujapaste humu
Your claims are merely sentimental without evidence.
 
Sio kwa povu hili hakika kipigo unachopata sasa ni cha mbwa koko ahahahaahaaaahahahahaha
Unagonga ncha ya mkuki na kuumia mwenyewe afu unadai unatoa kipigi [emoji12] akili za kisla ni kichekesho [emoji4] "HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO BAKORA YA MAJAHIDI NI MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] " Hutaki meza sumu ya panya ufe, team kiguzo wapate tenda ya kukukamua ngama [emoji4]
 
Endelea kujilabua hapa

KUJITOA NA KUFURAHIA KIROHO:

Kama inakubalika zaidi kwa wataalamu wa dini ya Kikristo ya kwamba roho pekee ya Yesu iliingia Jahanamu na Jahanamu hiyo nayo ilikuwa ya kiroho, basi hapaonekani sababu yoyote ya kuikatalia shauri hiyo kuwa upuuzi.

Lakini jahanamu ya kiroho humaanisha kuudhika dhamiri na kuyajutia makosa.

Na hayo yote mawili hayalingani na hali ya Yesu. Unapokubali kutozwa kwa ajili ya uhalifu wa mwingine, wewe mwenyewe ukiwa huna hatia, hapo dhamiri yako haiudhiki bali matokeo ni dhidi yake.

Roho ya mtu huyo inapaswa kufurahia kujitoa kwake kwa fikara ya wema na uungwana, jambo ambalo ni kama Pepo ya roho kuliko kuwa kama Jahanamu.

Sasa twageukia suala la mwili alimokaa Yesu na maana ya kifo kulingana na mwili huo na kufufuliwa pia. Tujuavyo sana ni kwamba mwili wa Yesu unalazimika kuwa sehemu isiyoweza kutengwa na Yesu akiwa Mwana wa Mungu. La sivyo, hapatakuwa na nafasi ya uungu wake na ubinadamu wake kuunganika pamoja na kutenda matendo tofauti waziwazi katika hali mbalimbali.

Wakati fulani tunamwona mtu akishika hatamu ya mambo sharti akiwa na roho tofauti, na wakati mwingine twashuhudia Mungu akijitokeza na kutawala fikara na maono ya mtu. Twakazania hapo ya kwamba hayo yanaweza kutendeka hapo tu ambapo dhati moja akiingiwa na nafsi mbili mbalimbali.

Kwa hiyo c&p unajiona una dr of divinity [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningekuona wa maana kama ungwfuata ushauri wa Mungu [emoji117]
IMG_20180920_104052_423.jpg
lakini unafanya shingo ngumu unaendeleaje KUISHI na zunga [emoji53] [emoji12]
 
Sitaki kwenda kwa Undani kuhusu Ubishi wako. Japo sio swali Gumu la.kujadili.

Turudi kwenye Qurani.
Ikiwa Yesu hakufa, Yesu yupo mbinguni na Allah. Na mwili upi?.

Allah alisema "Kila nafsi itaonja Mauti". Nadhani atakua muongo mbaya zaidi kama anavyojisifu kwa Ufanisi wake wa kudanganya. Ikiwa nafsi ya Mwanadamu Yesu haijaonja mauti hata leo.

Na Allah anawaambia Waliomuamini kua;-
Aliamua kuwafanya waamini kua wamemuua Yesu. Akaweka avatar anayefanana na Yesu auwawe badala ya Yesu whichi is also injustice

Wakamuua wakijua wamemuua Yesu
Kumbe hakua Yesu. Kosa litakua la allah. Kwakua wakristo waliamini kile allah alichotaka kuwadanganya nacho.
This notion sounds childish ever..!!

Nanyi pia ni Victims wa allah kwkaua mnamuamini. pia na uwongo wake. Kwakua mnafahamu kua allah anajiita "master deceiver".

Mfano:
1967, Waarabu waliaminishwa kua watampiga Israel.wamwage miili yao bahari ya shamu. Matokeo yake Wamepata kipigo cha mbwa koko. Kwanini allah aliwaambia waarabu wakae kwenye nchi isiyokua yao?. Anajua mwenyewe..

Turudi kwenye Hoja:
Kukataa Kufa na Kufufuka kwa Yesu. Ni kiashiria kua umekataa wokovu at your own risk. Kifo na kufufuka kwa Kristo ndio center of Christian Faith. There's No compromise in that. If you don't believe, you are Lost.
We are Christians because Jesus Died for Us.

John 11:25
Jesus said unto her, I am the RESURRECTION, AND THE LIFE: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he LIVE:

Umeandika

Turudi kwenye Qurani.
Ikiwa Yesu hakufa, Yesu yupo mbinguni na Allah. Na mwili upi?
.

Majibu

kwani biblia inasema nini kuhusu Melkizedech , Enoch na Elijah ???

MAMBO YA WAARABU , hayo endelea kusoma mwenyewe kwenye biblia yako ya Queen James Version

Turudi kwenye hoja

KAFARA ILILETA BADILIKO GANI?

Kuhusu matokeo ya Yesu Kristo kusulibishwa tumekwisha hakikisha ya kwamba imani katika Yesu haikupunguza adhabu ya dhambi kwa namna yoyote iliyotolewa na Mungu kwa Adamu na Hawa na wazao wao.

Wanawake wote bado wanazaa kwa uchungu na wanaume bado wanachuma riziki yao kwa jasho la uso wao.

Twaweza kuliangalia jambo hilo kwa jiha nyingine, kwa kulinganisha ulimwengu wa Kikristo na ulimwengu wa wasiokuwa Wakristo kuanzia zama za Yesu Kristo.

Katika kipindi chochote cha historia waumini wa Kikristo hawawezi kuonesha badiliko lolote maalum kwa wanawake wao kwamba wanazaa bila uchungu, wala kwa wanaume wao kwamba wanachuma riziki .

Kuhusu maelekeo ya kutenda dhambi twashuhudia ya kwamba hayo hayakufutika kabisa baina ya waumini wa Kristo kwa athari ya kafara ya Yesu. Aidha, mtu anashangaa kweli kwa nini imani katika Mungu imehesabiwa kuwa hafifu kuliko imani katika
'Mwanawe'.

Hiyo inahusika hasa na zama kabla haijatobolewa siri hii kubwa ya kwamba Mungu anaye Mwana. Naam, walikuwapo watu zamani waliokuwa na imani katika Mungu na Umoja wake.

Vilevile watu wengi wasiohesabika walizaliwa tangu wakati wa Yesu katika dini mbalimbali na nchi mbalimbali hapa ardhini waliomwamini Mungu na Umoja wake.

Mbona imani katika Mungu haikuathiri dhambi za wanadamu na adhabu zao?

Tena kwa nini Mungu Baba hakudhihirisha wema wake na kusumbuka kwa ajili ya wenye dhambi ambao wema huo
ukaoneshwa na 'Mwana' aliyekuwa na daraja dogo kuliko Baba?

Kwa yakini 'Mwana' anaonekana anayo khulka bora zaidi (Mungu apishe mbali) kuliko Baba asiye mstaarabu sana. Je, Uungu
unakua na bado unaendelea kukua ili kufikia ukamilifu wake, mtu aweza kuuliza?
 
Kwa hiyo c&p unajiona una dr of divinity [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningekuona wa maana kama ungwfuata ushauri wa Mungu [emoji117] View attachment 872004 lakini unafanya shingo ngumu unaendeleaje KUISHI na zunga [emoji53] [emoji12]

ANZA KUTAHIRI KALIO LAKO

KAZI YA ROHO MTAKATIFU

Mpaka sasa tumezungumzia suala la Yesu, anayefanywa kuwa Mwana, na suala la Mungu anayedhaniwa kuwa Baba halisi wa
Yesu.

Lakini bado kuna nafsi ya tatu, jina lake Roho Mtakatifu, ambaye japo anayo dhati tofauti peke yake lakini ameunganika
kikamilifu daima na 'Baba' na 'Mwana' hata kwamba muungano wa hao watatu umezalisha umoja katika utatu.

Sasa twageukia kuchunguza ya kwamba je, Roho Mtakatifu anajitambua kuwepo kwake mbali na Mungu au Yesu, ama wote watatu wanashirikiana katika kujitambua kuwepo kwao kwa pamoja?

Kujitambua kuwepo ama kujijua kuwepo kwa mtu kunamaanisha kuelewa kwamba mtu anakuwepo peke yake pasipo kuwa sehemu ya mwingine.

Utambuzi huo wa mtu kwamba anayo dhati yake binafsi mbali na dhati za wengine unazalisha 'mimi' na 'yangu' na 'ya kwangu', na 'wewe'na 'yako'.

Tukichunguza sehemu tatu za Mungu twalazimika kuamua kwamba je, kila mmoja anajitambua kuwepo kwake mbali na kuwepo kwa wengine wawili ama hapana.

Kama kila mmoja wao hana utambuzi wa kuwapo kwake mbali na utambuzi wa wengine kuhusu kuwapo kwao, hapo kunasibisha kwao dhati mbalimbali hakutafahamika. Kila mmojawapo hata akimkurubia mwenzake sana namna gani hana budi kujijua kwamba anakuwapo peke yake na anayo dhati yake mbali na wengine.

Itikadi rasmi ya makanisa mengi iko wazi sana na imefafanuliwa vizuri nayo ni kwamba kila nafsi katika nafsi tatu za Mungu ni dhati halisi tofauti na nyingine mbili.

Kwahiyo hapa hatuna 'Tatu katika moja' bali 'Watatu katika Mmoja'. Uchungu aliopata Yesu alipoyakabili mauti na matokeo yake ya hatari haikosi Roho Mtakatifu pia alishirikiana katika hayo yote kwa usawa pamwe na Yesu.

Na vilevile hakuna budi yeye naye akashirikiana na Yesu katika kujitolea. Aidha lazima akasumbuka pia katika jahanamu
pamoja na Yesu na Mungu Baba. Kama hapana, hapo mtu hana budi kuamua ya kwamba hao watatu siyo kwamba ni watatu mbali mbali tu bali hata maono yao, fikara zao na kadhalika, pia ni mbalimbali.

Tukijaribu kupata mwanga zaidi juu ya utatu, twapaswa kutambua uhakika wa watatu kuunganika pamoja ama kuwapo kwa hao
watatu kama mmoja tu kwa sababu ya hao kufungamana pamoja kwa kudumu milele. Mpaka sasa tumeshidwa kufahamu jinsi ya
kufungamana kwao katika maono na mawazo.

Kilichobaki ni kufahamu ya kwamba waliunganika pamoja katika mwili tu mmoja. Hiyo yatukumbusha habari ya yule joka kuu
aliyetajwa katika hadithi za kubuniwa za Kigiriki, ambaye alikuwa na vichwa vingi ambavyo vikikatwa vinaota tena. Ni sawa mtu
hawezi kutambua hasa alivyo Mungu na jinsi sifa zake zinavyofanya kazi humo ndani, lakini ni rahisi sana kuamini katika dhati pamoja pasipo sehemu zake mbalimbali kama vile kichwa, moyo na figo na kadhalika.

Lakini habari ya mawazo na maono maalum ya mmoja inahitilafiana kulingana na hali iliyoelezwa juu ya dhati moja. Hiyo inatoa picha ya Mungu isiyoweza kuaminiwa na kufahamika kwa binadamu ambao wengi wao waliishi muda mrefu wakiamini itikadi hiyo ya Kikristo bila ya kuipinga na wakafumba macho yao wasiangalie yanayoipinga akili ya mtu ambayo iliumbwa na Mungu Mwenyewe.
 
Unagonga ncha ya mkuki na kuumia mwenyewe afu unadai unatoa kipigi [emoji12] akili za kisla ni kichekesho [emoji4] "HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO BAKORA YA MAJAHIDI NI MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] " Hutaki meza sumu ya panya ufe, team kiguzo wapate tenda ya kukukamua ngama [emoji4]

USHIRIKIANO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA UUMBAJI:

Hatuoni kazi yoyote iliyoshughulikiwa na Roho mtakatifu au Yesu Kristo katika mpango wa uumbaji:

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. (Mwanzo 1:1)

Hakuna shaka kwamba katika Agano la Kale Mungu Baba ndiye ametajwa aliyeumba mbingu na nchi pasipo hata kudokeza habari ya Kristo ama Roho mtakatifu.

Zama zote za kabla ya Ukristo, miongoni mwa Mayahudi ,walioliamini Agano la Kale na bila
shaka waliwahi kusikia mstari huo hapo juu mara malaki kwa malaki, hakuna hata mmoja aliyeweza kulisoma jina la Kristo au
la Roho Mtakatifu katika kisa cha uumbaji wa ulimwengu.

Katika Injili ya Yohana Mtakatifu 'Neno' limetumika kwa ajili ya Yesu. Ni la ajabu ya kwamba habari ya muhimu kabisa imezungumzwa na Injili moja peke yake; tena na yule ambaye hata hakuwa mwanafunzi wa Yesu.

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. (Yohana 1:1).

Hata mtu akikubali usemi wake kuwa neno la Mungu, hata hivyo huo utamaanisha kuwa Takwa la Mungu; hilo ni wazo linalopatikana katika dini nyingine vile vile katika habari ya uumbaji.

Ni mshangao mkubwa ya kwamba siri ya zamani sana ya Kristo na Roho Mtakatifu kushirikiana pamoja katika uumbaji ikabaki
kuwa siri hata kwa Yesu mwenyewe. Hatusomi hata mara moja ya kwamba Yesu Kristo alidai kuwa Neno.

Hivyo, Yesu wala Roho Mtakatifu hawakuwa na sehemu yoyote ya kazi ya kufanya katika uumbaji. Tena twaambiwa ya kwamba alikuwa ni Mungu Baba peke yake aliyemfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi kwa mikono yake mwenyewe.

Sijasoma kabisa katika maandiko yoyote ya Kikristo ya kwamba mikono hiyo miwili ilikuwa ya Yesu na Roho Mtakatifu.

Basi Mungu aliumba vitu vyote pasipo kusaidiwa hata kidogo ama kushirikiana na Yesu ama Roho Mtakatifu.

Je, hao walikaa tu na kuangalia wakikubaliana kwa jumla na aliyokuwa anafanya Mungu ama walishirikiana naye
hasa?

Kama wataalamu wa Kikristo wanapendelea kukubali ya kwamba hao wawili nao walishirikiana katika uumbaji, basi haraka swali litazuka ya kwamba je, kila mmoja kati yao alikuwa na uwezo wa kuumba bila kusaidiwa na wengine, ama walikuwa
na uwezo huo wakiwa pamoja?

Isitoshe, kama wote watatu walihitajika kutoa mchango wao kwa kuumba, hapo je, wote wakatoa mchango kwa usawa ama mmoja wao akalazimika kutoa sehemu kubwa zaidi katika mpango wa uumbaji?

Je, kila mmoja katika hao watatu alikuwa na namna na kiasi cha uwezo tofauti ama uwezo wa kila mmoja ulikuwa sawa
na uwezo wa mwenzake?

Mtu hata akikiri hii au ile analazimika kukubali ya kwamba kila mmoja katika Utatu hana uwezo wa kuumba chochote peke yake.

Kama hoja hiyo itumiwe kwa kazi nyinginezo za Mungu, swali hilo hilo litawasumbua wataalamu wa Kikristo. Na mwishowe Wakristo watalazimika kukiri ya kwamba wao hawaamini dhati moja ya Mungu mwenye jiha na sura tatu za nguvu kuu na utukufu.

Bali wanaamini sehemu tatu za Uungu zilizo mikato mitatu ya mwili wa Mungu.

Hapo swala la sehemu zote kuwa sawa ama si sawa halitakuwa na uzito zaidi. Kwa mfano, chukueni sifa ya uadilifu na msamaha. 'Mwana' anaonekana kuwa na huruma zaidi ilhali Mungu Baba anaonekana Mwadilifu kidogo kuliko Roho Mtakatifu ambaye hakushirikiana na Mungu Baba katika dhuluma yake.

Uwezekano wa pili tuliozungumzia ulikuwa kwamba pengine Yesu na roho Mtakatifu walikaa tu pasipo kushirikiana kwa kitendo katika shughuli za uumbaji na kuendesha kanuni za ulimwengu. Kama ni hivi, hapo yatazuka maswali mengi mengine.
Kwanza kabisa, hao washiriki wawili wa Mungu walipewa kazi gani katika kutekeleza wajibu wao wa Kiungu.

Kama hao ndio washiriki wa kukaa tu kimya kama washiriki katika biashara wanaokaa tu pasipo kushughulikia kazi kwa kitendo, hapo wamekwisha punguziwa hadhi yao na kupewa daraja la pili ambako wanakuwapo pamoja na Mungu lakini bila ya kushirikiana naye hususan katika madaraka yake.

Wazo hili la Mungu kuwa na nyongeza mbili zisizo na kazi ni jambo la kutatanisha kusema kwa uchache. Nashangaa, wazo hilo linaweza kuwatuliza kina nani.

Hiyo haiwezi kukubaliwa kiakili wala haiafikiani na imani ya Kikristo ya 'Watatu katika Mmoja' na 'Mmoja katika Watatu'. Watatu hawawezi kuwa na Umoja wala haiwezekani kuwaza umoja huo pasipo hao watatu kuunganika kikamilifu katika nia, madaraka na mengine yote yanayoweza kudhaniwa katika maisha ya mmoja.

Ama Roho Mtakatifu akiwa dhati peke yake, asipofungamana kikamilifu kwa kudumu na wengine wawili akitengana na nafsi
yake, hakuna tumaini kujitokeza kwa Mungu mwenye vichwa vingi akiwa na fikara moja nia moja na mwili mmoja.
 
Umeandika

Turudi kwenye Qurani.
Ikiwa Yesu hakufa, Yesu yupo mbinguni na Allah. Na mwili upi?
.

Majibu

kwani biblia inasema nini kuhusu Melkizedech , Enoch na Elijah ???

MAMBO YA WAARABU , hayo endelea kusoma mwenyewe kwenye biblia yako ya Queen James Version

Turudi kwenye hoja

KAFARA ILILETA BADILIKO GANI?

Kuhusu matokeo ya Yesu Kristo kusulibishwa tumekwisha hakikisha ya kwamba imani katika Yesu haikupunguza adhabu ya dhambi kwa namna yoyote iliyotolewa na Mungu kwa Adamu na Hawa na wazao wao.

Wanawake wote bado wanazaa kwa uchungu na wanaume bado wanachuma riziki yao kwa jasho la uso wao.

Twaweza kuliangalia jambo hilo kwa jiha nyingine, kwa kulinganisha ulimwengu wa Kikristo na ulimwengu wa wasiokuwa Wakristo kuanzia zama za Yesu Kristo.

Katika kipindi chochote cha historia waumini wa Kikristo hawawezi kuonesha badiliko lolote maalum kwa wanawake wao kwamba wanazaa bila uchungu, wala kwa wanaume wao kwamba wanachuma riziki .

Kuhusu maelekeo ya kutenda dhambi twashuhudia ya kwamba hayo hayakufutika kabisa baina ya waumini wa Kristo kwa athari ya kafara ya Yesu. Aidha, mtu anashangaa kweli kwa nini imani katika Mungu imehesabiwa kuwa hafifu kuliko imani katika
'Mwanawe'.

Hiyo inahusika hasa na zama kabla haijatobolewa siri hii kubwa ya kwamba Mungu anaye Mwana. Naam, walikuwapo watu zamani waliokuwa na imani katika Mungu na Umoja wake.

Vilevile watu wengi wasiohesabika walizaliwa tangu wakati wa Yesu katika dini mbalimbali na nchi mbalimbali hapa ardhini waliomwamini Mungu na Umoja wake.

Mbona imani katika Mungu haikuathiri dhambi za wanadamu na adhabu zao?

Tena kwa nini Mungu Baba hakudhihirisha wema wake na kusumbuka kwa ajili ya wenye dhambi ambao wema huo
ukaoneshwa na 'Mwana' aliyekuwa na daraja dogo kuliko Baba?

Kwa yakini 'Mwana' anaonekana anayo khulka bora zaidi (Mungu apishe mbali) kuliko Baba asiye mstaarabu sana. Je, Uungu
unakua na bado unaendelea kukua ili kufikia ukamilifu wake, mtu aweza kuuliza?
Angalau umeandika kwa Ufupi.

Enoch na Eliya, na Melkizedech

Kwanza sitaki kumuelezea Melkizedech kwasababu Maalumu.

Hawa waliobaki wamevunja Kanuni ya
Allah inayosema kua "Kila nafsi itaonja Mauti". Wamemprove wrong.

Kuhusu Adhabu za Eden.

Part ONE.

1. Hakuna mahali ambapo Adhabu za Eden zilifutwa.

Ni Yesu Kristo amekuja sasa na kutuahidi kuhusu Mbingu Mpya na nchi Mpya. Ambapo Hakuna maombolezo wala Huzuni.

John 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

2. Hapa Duniani tunayo dhiki. Tunatakiwa tumtukuze Mungu katika Udhaifu wetu.

John 16:33
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.

3. Hata Hazina tunayopaswa kuiweka sio ya hapa duniani bali ile idumuyo

Matthew 6:19
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;

4. Huku tukifahamu kua ipo miili ya duniani na ya Mbinguni. Huu wa sasa utarudi mavumbini.

1 Corinthians 15:40
Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali.

Part TWO.

Kuhusu Adhabu za Eden.
Pale Eden palikua na Mti wa Uzima.
Ambapo kama tungeupata moja kwa moha tungeishi Milele. Lakini TUNGEKUA NA DHAMBI. MTI uliondolewa kwetu. Zingatia sisi ndio tulioumbwa kwa sura na Mfano wa Mungu. Mungu anakila sababu ya kujivunia sisi.

Genesis 2:9.
BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

So, Tuliondolewa mpaka tusafishwe Upya na Kristo. Ili tukishinda tule tuishi milele.

Revelation 2:7.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.

Naff said.

*The end*
 
The Israel Defense Forces (IDF) informed the family of the Palestinian terrorist, who killed soldier Ronen Lubarsky, that the entire four-story building where the assassin lived will be demolished. An IDF official said a message, intended to demolish two floors of the building, was transmitted to the family three weeks ago. However, in recent weeks, […]

The post Court Orders Murderer’s House to Be Demolished appeared first on JOL.
 
Unagonga ncha ya mkuki na kuumia mwenyewe afu unadai unatoa kipigi [emoji12] akili za kisla ni kichekesho [emoji4] "HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO BAKORA YA MAJAHIDI NI MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] " Hutaki meza sumu ya panya ufe, team kiguzo wapate tenda ya kukukamua ngama [emoji4]
Ahahahaqhahaqhqhqhqhqqhqhhqhqhqhq
YOHANA 8:49
",lakini sasa mnatafuta kuniua mimi mtu, ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu ,Ibrahim hakufanya hivyo"

Ahahahahhahahhahaha Yesu amemaliza tena hayo anayomiambia sio yake ameyasikia kwa Mungu, kwa kweli inahitaji ujitoe akili kweli kweli kumuita Yesu ni Mungu .Ndio maana alionya " mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu" alijua kuna vilaza kama wewe mtaanza kufundisha mambo ata Yesu(mwalimu) ajawahi kufundisha wapi kakufundisha yesu izo blah blah zako
 
Jibu swali kufukuzwa Adam sardaus kisilamu silamu ndio MSAMAHA???
ahahahhahahahahahaahhahahh kosa la Adam ni kula tunda sio kufukuzwa ahahahahhahaahahahahahahahahqha tuliza kichwa tukupe dawa , alipokula tunda aliomba msamaha AKASAMEHEWA
QURAN 2:37
";Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake mlezi, na Mola wake Mlezi ALIMKUBALIA TOBA YAKE; hakika yeye ndiye mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu";

ahahahhahaahahaa uislamu autambui dhambi ya ASILI ni mambo yakuokota okota ambaye hata akili yako wewe inakataa ila kwavile umeamua kuamini ujinga pole sana , kuhusu kushushwa duniani ndio lengo la binadamu kuumbwa na Mungu kuja kutawala sasa lengo linakuwaje adhabu ? acha bange ahahahahaha
 
The Israel Defense Forces (IDF) informed the family of the Palestinian terrorist, who killed soldier Ronen Lubarsky, that the entire four-story building where the assassin lived will be demolished. An IDF official said a message, intended to demolish two floors of the building, was transmitted to the family three weeks ago. However, in recent weeks, […]

The post Court Orders Murderer’s House to Be Demolished appeared first on JOL.
Mbona hii ni kawaida yao tu nchi hii aliipata kwa damu lazima ailinde kwa damu
KUMB la torati 20:17
";lakini UWAANGAMIZE kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na mhivi, na Myebusi , kama alivyokuamuru BWANA Mungu wako"

ahhahhahahaahahahhahah hapo hakuna cha kustaajabu ni kawaida yao
 
MR VENTURE 😛😛😛😛😛😛😛😛

LEO HUJAPATA NYAMA YA YESU KUTOKA KWA ASKOFU WAKO ???
Sijapata hata damu yake ya thamani pia.
Leo nipo nawashauri vijana wa kiislamu wapake wanja wapendeze kama mtume.
lakini pia navizia kisichana cha miaka 9 nifanye sunna ya mtume niende peponi.
 
Kwa hiyo c&p unajiona una dr of divinity [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningekuona wa maana kama ungwfuata ushauri wa Mungu [emoji117] View attachment 872004 lakini unafanya shingo ngumu unaendeleaje KUISHI na zunga [emoji53] [emoji12]
Ahahaaahaaaaaahhahahahah hoja yako iko wapi Ibrahim hakuwa mkristo wala myahudi sisi ndio tunafata mila ya Ibrahim
QURAN 3:67
";Ibrahim hakuwa Yahudi wala mkristo , lakini alikuwa mwongofu muislamu wala hakuwa katika washirikina"

Ahahaahhaahhahahahaha kila siku tunakuuliza nani alianza kumiita nyinyi WAKRISTO?
 
Angalau umeandika kwa Ufupi.

Enoch na Eliya, na Melkizedech

Kwanza sitaki kumuelezea Melkizedech kwasababu Maalumu.

Hawa waliobaki wamevunja Kanuni ya
Allah inayosema kua "Kila nafsi itaonja Mauti". Wamemprove wrong.

Kuhusu Adhabu za Eden.

Part ONE.

1. Hakuna mahali ambapo Adhabu za Eden zilifutwa.

Ni Yesu Kristo amekuja sasa na kutuahidi kuhusu Mbingu Mpya na nchi Mpya. Ambapo Hakuna maombolezo wala Huzuni.

John 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

2. Hapa Duniani tunayo dhiki. Tunatakiwa tumtukuze Mungu katika Udhaifu wetu.

John 16:33
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.

3. Hata Hazina tunayopaswa kuiweka sio ya hapa duniani bali ile idumuyo

Matthew 6:19
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;

4. Huku tukifahamu kua ipo miili ya duniani na ya Mbinguni. Huu wa sasa utarudi mavumbini.

1 Corinthians 15:40
Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali.

Part TWO.

Kuhusu Adhabu za Eden.
Pale Eden palikua na Mti wa Uzima.
Ambapo kama tungeupata moja kwa moha tungeishi Milele. Lakini TUNGEKUA NA DHAMBI. MTI uliondolewa kwetu. Zingatia sisi ndio tulioumbwa kwa sura na Mfano wa Mungu. Mungu anakila sababu ya kujivunia sisi.

Genesis 2:9.
BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

So, Tuliondolewa mpaka tusafishwe Upya na Kristo. Ili tukishinda tule tuishi milele.

Revelation 2:7.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.

Naff said.

*The end*
Maandiko haya ayathibitishi kuwa binadamu ana dhambi ya asili wala ayathibitishi kuwa Mungu alimlaani binadamu? unachofanya wewe ni kuunga vitu tu , ili upate pa kuegemea lakini ukweli wa mambo kuwa eti binadamu ana dhambi ya asili ni kauli za kuchekesha na kusikitikiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom