Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hapo hakuna mtego Mungu amesema aliwaweka bustanini wewe unasema ya wapi, kwani kuna ya wapi na ya wapi? Ahahahahaaahahahahahhhahhhh

Biblia Takatifu ambayo hata wewe umeagizwa Uiamini INASEMA [emoji117]
IMG_20180922_183720_626.jpg
hizo bustani nyingine Mimi sizijui nielekeze [emoji4]
 
Muibrania ni kabila ata wewe ni msambaa lakini ni mkristo , kwanini Ibrahim unamfunga
Mungu wa wahebrania alikuwa YHWH na Mungu wa Makureshi alikuwa Allah hizi entities ni tofauti kabisa katika substance,essence na hata mission.YHWH alinena kwa vinywa vya manabii kupitia Roho wake mtakatifu.Na kama nilivyotangulia kukueleza manabii wote walitokea Judea na waliongea Kiebrania.Nabii wa Allah alinena kupitia mediator ambaye ni Jibril na medium yake ilikuwa kiarabu.Napenda nipate elimu labda dawah inaweza ikaniingia nikawa muislam siku moja.Ila nimefanya utafiti mwingi sana kwenye vitabu vingi kuanzia quran,hadiths na vitabu vingine vya kihistoria biblia ikiwemo.Nimefuatilia kwa karibu uwepo wa Ibrahim Mecca na ujenzi wa kaaba pamoja na uchimbaji wa kisima cha zam zam na Abdul Mutallib.Nimemsoma Bi Khadijah na Binamu yake Waraqah bado niko kwenye kizungumkuti katika kuutafuta ukweli.Mimi ni mkristo ninayeutafuta ukweli.Kuna sources zinasema kuwa Uislam umekuwa invented na Papa kwa maana ya Jesuit conspiracies.Navyokuuliza au kuuliza mdau mwingine nataka nijifunze
 
HULAUMIKI KUMBE HALI NDIO HII , MTOTO SI RIZKI

View attachment 873097

Mt 19:12 RSV

12 For there are gays who have been so from birth, and there are gays who have been made gays by men, and there are gays who have made themselves gays for the sake of the kingdom of heaven. He who is able to receive this, let him receive it.
Nakusoma Hasira zako. Wakristo hawaiamini Quran. Hadi Unasahau Kua Dini yako inakuLazimu kumheshimu Yesu.
 
Ndio tunakubali musa aliona moto hakumuona Mungu ilo mbona liko wazi, mjomba Mungu awezi kuwa mtu huko ni kujidanganya
Ila ANAWEZA KUWA Kijinga cha moto [emoji15] [emoji4] mnaangamia kwa kutojua kusoma hadi hamumjui Mwenyezi unamsujudia popo bawa [emoji12]
 
Mungu hafanani na kitu chochote, mbona ulazimisha jambo ambalo halipo kabisaa , Musa aliona Moto akumuona Mungu, ahahaahaahhaahhahaahaahaaa
 
Ndio nakubali Yesu baba yake Mungu, hata mimi na Yesu baba yetu ni Mungu , na Mungu wa Yesu ndio Mungu wako wewe na WAKRISTO wenzio pia ahahahhhaaahahaahaahaahahajajaaaaaj siku nyingine uje useme tena Yesu ni Mungu mara sijui mtoto wa pekee wa Mungu, wakati ata ww ni mtoto wa Mungu kama alivyo Yesu, tena muache kufuru zenu kumuita bikira maria eti mama wa Mungu ahaahhaahaahahaaahaahhahhahhaha

Asante kwa wewe na Mimi kukubaliana kwamba Mungu ana wana [emoji122] [emoji122] [emoji106] jee baba fatûú Anakubaliana na sisi [emoji47] [emoji53] Yaani hadi kamkataa mwanae isa baada ya kumbaka na kumpuliza ukeni binti Imrani aliye ilinda tupu yake na kupata mimba alipo mzaa isa akamkataa na kumtelekeza [emoji4] [emoji117]
IMG_20180922_191621_886.jpg
jee anakubaliana na sisi [emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Mungu wa wahebrania alikuwa YHWH na Mungu wa Makureshi alikuwa Allah hizi entities ni tofauti kabisa katika substance,essence na hata mission.YHWH alinena kwa vinywa vya manabii kupitia Roho wake mtakatifu.Na kama nilivyotangulia kukueleza manabii wote walitokea Judea na waliongea Kiebrania.Nabii wa Allah alinena kupitia mediator ambaye ni Jibril na medium yake ilikuwa kiarabu.Napenda nipate elimu labda dawah inaweza ikaniingia nikawa muislam siku moja.Ila nimefanya utafiti mwingi sana kwenye vitabu vingi kuanzia quran,hadiths na vitabu vingine vya kihistoria biblia ikiwemo.Nimefuatilia kwa karibu uwepo wa Ibrahim Mecca na ujenzi wa kaaba pamoja na uchimbaji wa kisima cha zam zam na Abdul Mutallib.Nimemsoma Bi Khadijah na Binamu yake Waraqah bado niko kwenye kizungumkuti katika kuutafuta ukweli.Mimi ni mkristo ninayeutafuta ukweli.Kuna sources zinasema kuwa Uislam umekuwa invented na Papa kwa maana ya Jesuit conspiracies.Navyokuuliza au kuuliza mdau mwingine nataka nijifunze
Sawa hili ni jambo zuri kabisa kama unataka kujifunza niko tayari kukupa ufahamu wangu juu ya mambo hayo
 
Asante kwa wewe na Mimi kukubaliana kwamba Mungu ana wana [emoji122] [emoji122] [emoji106] jee baba fatûú Anakubaliana na sisi [emoji47] [emoji53] Yaani hadi kamkataa mwanae isa baada ya kumbaka na kumpuliza ukeni binti Imrani aliye ilinda tupu yake na kupata mimba alipo mzaa isa akamkataa na kumtelekeza [emoji4] [emoji117] View attachment 874686 jee anakubaliana na sisi [emoji47] [emoji47] [emoji47]
Mungu mbona ameeka wazi tatizo lenu ni kumnadi Mungu ndio baba wa Yesu peke yake( kwamba hakuna mtoto asiye na baba), kumbe amuwaambii watu kweli kwamba Mungu ni baba wa watu wote ata ww mluguru na msambaa , ahahahahhaahhahahahahhha kwa ubaba Uwezi kumuita bikira maria mama wa Mungu , labda uwe tahira maana ukimuita bikira maria mama wa Mungu ata wewe utamuita mama yako mama wa Mungu maana ata wewe ni mtoto wa Mungu , rahisi kabisa
 
Nakusoma Hasira zako. Wakristo hawaiamini Quran. Hadi Unasahau Kua Dini yako inakuLazimu kumheshimu Yesu.

Gavana hakuandika biblia
Kwani biblia yako ya Queen James inasema nini ??
 
Mungu mbona ameeka wazi tatizo lenu ni kumnadi Mungu ndio baba wa Yesu peke yake( kwamba hakuna mtoto asiye na baba), kumbe amuwaambii watu kweli kwamba Mungu ni baba wa watu wote ata ww mluguru na msambaa , ahahahahhaahhahahahahhha kwa ubaba Uwezi kumuita bikira maria mama wa Mungu , labda uwe tahira maana ukimuita bikira maria mama wa Mungu ata wewe utamuita mama yako mama wa Mungu maana ata wewe ni mtoto wa Mungu , rahisi kabisa
VIGEZO na MASHARTI00 YANAONGEA NA KUZINGATIWA0 ILI UWE NA SIFA YA KUWA MWANA WA MUNGU [emoji106]
 
Ila ANAWEZA KUWA Kijinga cha moto [emoji15] [emoji4] mnaangamia kwa kutojua kusoma hadi hamumjui Mwenyezi unamsujudia popo bawa [emoji12]

Ushuhuda mwingine wa kuhakikisha kuwa Yesu alikuwa bado hai wala hakufa ndiyo ufuatao: Baada ya siku tatu, mchana na usiku, watu wa kawaida hawakumwona isipokuwa wanafunzi wake tu. Au tuseme akijitokeza mbele ya wale tu aliowategemea.

Yeye hakuonana nao katika mwanga wa mchana bali katika giza la usiku.

Mtu anaweza kutambua kutokana na maelezo ya Biblia ya kuwa Yesu anataka kuondoka katika hali ya hatari haraka sana na kwa kujificha.

Pana swali hapa: Kama yeye alikuwa amejaaliwa uhai mpya wa milele baada ya kifo chake cha kwanza wala asingeweza kufa tena, kwa nini alijificha asionekane mbele ya maadui, yaani wajumbe wa serikali na watu wa kawaida?

Ilimpasa kujitokeza mbele ya wajumbe wa serikali ya Kirumi na Wayahudi pia na kuwaambia:

'Nipo hapa nikiwa na uhai wa milele. Jaribuni kuniua tena kama mtaweza, lakini hamtaweza kamwe'.

Lakini alihitaji kujificha.

Siyo kwamba rai ya kujitokeza hadharani hakupewa; bali kinyume chake alishauriwa waziwazi ajidhihirishe kwa ulimwengu, lakini akakataa na akaendelea kwenda mbali ya Uyahudi ili mtu yeyote asiweze kumsaka:

Yuda (siye Iskariote) akamwambia, Bwana imekuwaje ya kwamba wataka kujidhihirisha kwetu, wala si kwa ulimwengu? (Yohana 14:22)

Wakakikaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, naye alifanya kamaanataka kuendelea mbele. Wakamshawishi wakisema, kaa pamoja nasi, kwa kuwa kumekuchwa, na mchana umekwisha. Akaingia ndani kukaa nao. (Luka 24:28-29).

Hilo linahakikisha ya kwamba yeye alikuwa mtu mwenye kufa asiye mbali na kufikiwa na mauti ama majeraha. Hiyo inayonesha
tu ya kwamba Yesu alikuwa hajafa katika maana hii ya kwamba akaondolewa ule ubinadamu uliokuwamo ndani yake, bali akabaki kabisa kama alivyokuwa wala kifo hakikutokea kumtenganisha na mwili wa zamani na kumpa mwili mpya. Ndiyo kusema
kwamba aliendelea kuishi pasipo kufa.

Roho inayohusikana na ulimwengu mwingine kabisa haitendi jinsi alivyotenda Yesu wakati alipokutana na marafiki na wafuasi wake kisiri saa za usiku katika giza.

Suala la Yesu kuwa roho limekataliwa katakata na Yesu mwenyewe. Yeye alipojidhihirisha kwa baadhi ya wanafunzi wake, hao wanafunzi hawakuweza kuficha hofu yao kwani walimwamini kwamba huyo siye Yesu mwenyewe bali ni roho yake.

Yesu Kristo akitambua tatizo lao akafutilia mbali hofu yao kwa kukataa kwamba yeye siye roho bali yu Yesu yuleyule aliyekuwa amesulubiwa, hata akawakaribisha wachunguze wenyewe majeraha yake ambayo bado yalikuwa mabichi (Yohana 20:19-27).

Kudhihirika kwake kwa wanafunzi na wengineo hakuhakikishi kwamwe ya kwamba yeye alifufuka katika wafu.

Kilichothibitika ni kwamba yeye alipona katika uchungu wa mauti.

Yaonekana ili kuwaondolea shaka waliyokuwa nayo bado nyoyoni mwao, yeye akawauliza walikuwa wanakula nini. Na alipoambiwa kwamba walikuwa wanakula mikate na samaki, akawaomba apewe yeye pia kwani alisikia njaa na akala (Yohana
24:41-42).

Hilo pasipo shaka yoyote ndilo hakikisho dhidi ya yeye kufufuka katika wafu, yaani kurejea ile hali ya asili ya mtu aliyekwisha kufa na kuhuika tena. Matatizo yazukayo kutokana na kuhuika huko yatakuwa mara dufu.

Kama Yesu bado alikuwa kitu kama mungu-mtu, jinsi inavyodaiwa alikuwa kabla ya kusulubiwa, basi alikuwa bado hajaepukana na 'mtu' ndani yake.

Hilo linazusha hali ngumu ya kutatanisha. Kifo kilimfanya nini ama kiliwafanya nini, yaani yule 'mtu' ndani ya Yesu na yule 'mungu' ndani yake?

Je, roho za wote wawili, 'mtu' na 'mungu', zilitoka na zikarejea ndani ya mwili huo huo wa udongo, baada ya kukaa katika jahanamu ile ile pamoja, ama hiyo ilikuwa roho ya mungu ndani ya Yesu iliyorejea katika mwili wa kibinadamu bila ya kufuatana na roho ya mtu?

Roho hiyo ya mtu ilipotea wapi?

Mtu anashangaa. Je, safari yake kwenda katika jahanamu iliishia mumo humo pasipo kurejea, ilhali roho ya mungu ndani yake ilikaa tu humo kwa siku tatu mchana na usiku?

Na Je, Mungu alikuwa baba wa Yesu-mtu ama Yesu mwana?

Suala hilo linapaswa kutatuliwa kwa kutupatia picha safi. Je, mwili wa Yesu ulikuwa nusu wa Mungu na nusu wa mtu?

Fikara kumhusu Mungu tunayopata kutokana na Agano la Kale na Agano Jipya ni kwamba hana mwili, tena ameenea mahala pote, dhati yake siyo ya kiwiliwili.

Tukiisha zingatia hiyo, hebu sasa tugeukie nyuma kumwangalia Yesu ambapo alikuwa anapita katika hali mbalimbali za kukua akiwa mimba ndani ya tumbo la uzazi la Mariamu. Kitu alichoumbika nacho Yesu kilitolewa chote na mama wa kibinadamu, hata sehemu sawa na punje ya haridali haikutolewa na Mungu Baba.

Naam, Mungu angeliweza kumwumba kimuujiza. Lakini kulingana na maoni yangu, kiumbe ni kiumbe tu hata akiumbwa kikawaida ama kimwujiza. Twaweza kumkubali mtu kuwa baba wa mwanae hapo tu mwana huyo anapoumbika kutokana na mwili wa baba na mwili wa mama kwa usawa au kwa uchache sehemu walau ndogo sana wa mwili wa baba ipatikane katika uumbaji wa mwana.

Kutokana na maelezo hapo juu inapaswa kubainika kwa msomaji ya kwamba Mungu hakufanya kazi yoyote ya baba kabisa katika mimba kushikwa. Na kiwiliwili kizima pamoja na taratibu kuhusu moyo, kupumua, na utaratibu wa mwanzo na kuhusu ufa katika ini, mpango wa seli na taratibu ya neva, vyote hivyo viliumbika kutokana na mama wa kibinadamu pekee bila ya kusaidiwa na mwingine yeyote awaye.

Basi iko wapi sehemu ya 'Uana' katika Yesu ambaye alikuwa ni chombo cha kuwekea roho iliyoumbwa na Mungu tu?

Ufahamu huo mpya wa uhusiano baina ya Mungu na Yesu unaweza kuelezwa kiakili kwa namna lakini siyo kama uhusiano wa baba na mwana.
 
Gavana hakuandika biblia
Kwani biblia yako ya Queen James inasema nini ??
wee hukusoma utawezaje ukiandika Biblia [emoji47] [emoji47] [emoji47] usijipe ujiko zwazwa #1 wee [emoji12]
 
Ona unavyo c&p kutoka kulia kwenda kusho kwa akili ya ki-baba fatûú [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msikie Paulo[emoji116] [emoji116] [emoji116]

1 Wakorintho 8:6
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
Unaleta habari za tapeli paulo
 
Unaleta habari za tapeli paulo
Habari za Utapeli sizijui. Mie najua ni Mtume wa Mwenyezi Mungu katika Kristo Yesu Bwana wetu

Paulo Yupo kwenye bibilia. Complains zozote dhidi yake zitabaki kua Unkoranic. Zitabaki ni boring fables.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom