Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

God's Power

Bible says:

Genesis 32:28

Then the man said, "Your name will no longer be Jacob, but Israel, [a] because you have struggled with God and with men and have overcome."

Quran says:

Surah 22:74

They measure not God with His true measure; surely God is All-strong, All-mighty.
Would you rather worship the God of the bible who gets over come by man or worship a God that cannot be overcome by anyone or anything? That being the only true God, the God that revealed the Glorious Quran.

Q. Which strength Allah has, if he doesn't show up?. How can you prove his Strength then?.
 
Ahahahahaahahaahaha somo gani yaani huyo anaokota viclip anafundishe mimi mwanazuoni elimu ya kuhusu majini wakati ata malighafi yaliyo tumika kumtengeneza huyo jini elimu hiyo hawezi ipata kwenye biblia ahahahahahhah elimu pana hii anaunga unga huyo kijana
Don be proud of it. You gotta be scared. Don be proud of it. Majini ni roho chafu za Shetani.

Injili maana yake ni Habari njema za Ufalme wa Mungu kupitia Yesu kristo Messiah. Hii ndio inataliwa ihubiriwe ulimwengu aote.

Mmoja ni ufalme wa Magugu yaliopandwa na Adui na wa pili ni ufalme wa Ngano iliyo bora isubiriyo wakati wa Mavuno ili kwenda ghalani na yale magugu kutupwa na kuchomwa Moto.

Hivyo, Hizi ni ulimwengu mbili kinzani. Kwani Kazi kuu ya Yesu Duniani ni Kuuvunja ufalme wa Shetani duniani.

Majini ni ni ufalme wa Giza, Mauti na kuzimu chini ya baba yao Shetani Lucifer.

na Yesu ni Ufalme wa Mungu wa Nuru mwenye Nguvu.

Majini ni njia ya kwenda Jehanamu na
Yesu ni njia ya Uzima ya Kwenda Mbinguni.

Majini ni ufalme wa Uharibifu na makufuru yote na

Yesu ni Ufalme wa Uumbaji na Neema na Rehema na sifa kwa Mungu Mkuu.

Ufalme wa Yesu huongozwa na Roho wa Mungu. Huyu ndio aliyekua akiwezesha mapepo ya Belzebubu kuwatoka watu na kuwaacha wanadamu wakiwa huru.
Sio masuala ya Nyota na falaki na mengine yafananayo na hayo.
So it's Either you are in or out.
Fact of life.
 
Q. Which strength Allah has, if he doesn't show up?. How can you prove his Strength then?.

Is this your gods strength ??

Genesis 32:24-30

24 So Jacob was left alone, and a man wrestled with him till daybreak.

25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob's hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.

26 Then the man said, "Let me go, for it is daybreak." But Jacob replied, "I will not let you go unless you bless me."

27 The man asked him, "What is your name?" "Jacob," he answered.

28 Then the man said, "Your name will no longer be Jacob, but Israel, [e] because you have struggled with God and with men and have overcome."

29 Jacob said, "Please tell me your name."But he replied, "Why do you ask my name?" Then he blessed him there.

30 So Jacob called the place Peniel, [f] saying, "It is because I saw God face to face, and yet my life was spared."

Wow a man wrestled with God and overcame him? How peculiar.
 
Q. Which strength Allah has, if he doesn't show up?. How can you prove his Strength then?.

And the LORD was with Judah; and he drave out the inhabitants of the mountain; but could not drive out the inhabitants of the valley, because they had chariots of iron. (Judges 1:19)

As we told above, the Biblical God cannot fight with chariots of iron but according with Christians God is powerful BUT when he confronts with chariots of iron, he is helpless.

How chariots of iron can stop God Almighty to do what he wills?
 
Don be proud of it. You gotta be scared. Don be proud of it. Majini ni roho chafu za Shetani.

Injili maana yake ni Habari njema za Ufalme wa Mungu kupitia Yesu kristo Messiah. Hii ndio inataliwa ihubiriwe ulimwengu aote.

Mmoja ni ufalme wa Magugu yaliopandwa na Adui na wa pili ni ufalme wa Ngano iliyo bora isubiriyo wakati wa Mavuno ili kwenda ghalani na yale magugu kutupwa na kuchomwa Moto.

Hivyo, Hizi ni ulimwengu mbili kinzani. Kwani Kazi kuu ya Yesu Duniani ni Kuuvunja ufalme wa Shetani duniani.

Majini ni ni ufalme wa Giza, Mauti na kuzimu chini ya baba yao Shetani Lucifer.

na Yesu ni Ufalme wa Mungu wa Nuru mwenye Nguvu.

Majini ni njia ya kwenda Jehanamu na
Yesu ni njia ya Uzima ya Kwenda Mbinguni.

Majini ni ufalme wa Uharibifu na makufuru yote na

Yesu ni Ufalme wa Uumbaji na Neema na Rehema na sifa kwa Mungu Mkuu.

Ufalme wa Yesu huongozwa na Roho wa Mungu. Huyu ndio aliyekua akiwezesha mapepo ya Belzebubu kuwatoka watu na kuwaacha wanadamu wakiwa huru.
Sio masuala ya Nyota na falaki na mengine yafananayo na hayo.
So it's Either you are in or out.
Fact of life.

Majini ni nini?

Kwanza kabisa yatupasa kuelewa nini maana ya neno jini, Neno jini linatokana na neno la kiarabu Jinn (djinn au Jinnee). Na lina maana ya kitu kisichoonekana au kilichofichika. (Mapepo).

Tafsiri kutoka kamusi za kiingereza zinaeleza hivi maana ya neno jini:

A: a spirit, often appearing in human form, that when summoned by a person carries out the wishes of the summoner.

B: any spirit; demon or ghost.

C: any of a class of spirits, lower than the angels, capable of appearing in human and animal forms and influencing humankind for either good or evil.

D: A supernatural creature who does one's bidding when summoned.

Kwa hali hiyo basi, Majini ni miongoni mwa viumbe alivyo viumba M'Mungu kama tulivyoumbwa Binadam, Malaika, Wanyama na viumbe vingine tusivyo vijuwa, wakiwemo wadudu wa aina mbali mbali.

Matumaini kuwa mpaka hapo wasomaji wengine watakuwa wameelewa nini maana ya neno jini.

Swali: Majini na waislam wana uhusiano gani katika ulimwengu wa roho?

Jibu:

Kwenye ulimwengu wa kiroho si kwa waislamu tu ambao wanahusishwa na kuwepo kwa majini,

Tukiangalia vitabu vya ulimwengu wa Dini, kama vile Uhindu (Vedas, Puranas), Ukristo (Bible),

Uyahudi (Tamud) nk. Tukichungulia Biblia ya wakristo tunakuta bwana yesu akiyakemea mapepo yaliyokuwa yakikaa ndani ya vichwa vya watu.

Haya ni majini ambayo yanasumbuwa watu na kufanya ukorofi kama walivyo baadhi ya binadamu wenye tabia chafu za kukaa vichochoroni na kukaba watu nyakati za usiku na wakati mwingine mchana kweupe.

Kwenye Biblia Majini au Mapepo asili yao ni Malaika. Baada ya kuasi amri ya M'Mungu wakafukuzwa wao pamoja na kiongozi wao Lucifer (Ibilisi). Kwa Jinsi hiyo Malaika wabaya huitwa kwa jina la Pepo.

Angalia baadhi ya aya kutoka kwenye Biblia:

Genesis 6 :2&4

...that the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all that they chose...The Nephilim were in the earth in those days, and also after that, when the sons of God came unto the daughters of men, and they bare children to them: the same were the mighty men that were of old, the men of renown.American Standard Version that the sons of God, looking at the women, saw how beautiful they were and married as many of them as they chose....The Nephilim were on earth in those days (and even afterwards), when the sons of God resorted to the women, and had children by them. These were the heroes of the days gone by, men of renown

From Jerusalem Bible (catholic).

some of supernatural beings* saw that these girls were beauutiful, so they took the ones they liked... In those days and even later, there were giants on the earth who were descendants of human women and the supernatural beings. They were the great heroes and famous men of long ago.*supernatural beings; or son of gods; or sons of God

From the Good News Bible

the sons of God saw that the doughters of men were beautiful, and they married any of them they chose....The Nephilim were on earth in those days -and also afterward- when the sons of God went to the doughters of men, and had children by them. These were the heroes of the old, men of renown

From King James Version

Pia waweza kupitia kwenye kitabu cha… Isaiah 14:12-15, Job 1: 6 and 2:1 kumb 18:10-11

Kuna majina mengi tu yanayo tumika kumaanisha neno jini, mfano mapepo (pepo), demons, Lucifer, Ghost . Wamasai wao wanawajuwa kwa jina tofauti.

Wapo baadhi ya watu wanawaita kimakosa kwa jina la shetani. Wanashindwa kuelewa kuwa neno shetani ni sifa mbaya, sifa ambayo hata binadamu anapoonekana kuwa ni mwenye kufanya vitendo viovu uhitwa kwa jina la shetani.

Angalia pia Mark 16:9 Pia rejea Genesis 6:2&4, Job 1: 6 na Job 2:1 kumb 18:10-11

Kwa mujibu wa biblia bwana yesu anawaagiza wanafunzi wake watawanyike ulimwenguni wakahubiri Injili kwa viumbe wote. Kwa matumaini kwamba na mapepo wamo, maana nao ni viumbe. Mark16:15-16

Kwenye ulimwengu wa imani ya kuamini dini, majini nayo yana imani tofauti tofauti kama vile tulivyo sisi binadamu. Kuna majini yenye kuamini Uislam, Ukristo, Uhindu, Upagani, na hata dini ambazo tuanziita za jadi. Na kuna yale majini yasioamini kuwepo kwa M'Mungu.

Rejea Qur'an SURAT AL-JINN[72]:1-11

Ni vipi anatakiwa mwislam kuamini kuhusiana na majini?

(a) Wao (Majini) ni viumbe wa M'Mungu, kama ambavyo M'Mungu alivyoumba malaika vile vile aliumba majini na watu.

(b) Qur-an Tukufu haikuelezea namna ya sifa ya ndani ya maisha ya majini isipokua tu vile

walivyoumbwa kwa moto, na namna ya kuongea kwao na sisi kuongea nao na kuwasiliana nao.

(c) Lakini la kuzingatia mno ni kwamba Qur'an kwa nguvu zote inakataza watu kutaka msaada

kutoka kwa majini au kuwategema, kuwaogopa n.k kwani atakaye wafanya kuwa ni wapenzi

wasaidizi, na kuomba kinga kutoka kwao kinyume na M'Mungu, M'Mungu atamdhalilisha huyo

atakayefanya hivyo. Kwani majini hawana uhusiano wowote na mwanadamu katika maisha yao.

Hawawashi wala hawazimi, wala hawatufanyii lolote gumu kuwa jepesi wala jepesi kuwa gumu, wala hawafanyi lililopo mbali kuwa karibu. Wala hawana uwezo wa kumdhuru yeyote mwenye kumuani M'Mungu.

Huenda watu wakaomba roho hao yaani majini au mapepo wawalinde, wawadhuru wengine, watabiri wakati ujao, au wafanye miujiza. Hakika huu ni ushetani na ni uovu mkubwa.

Mwisho wa yote wao (majini) ni viumbe waliopo chini ya mamlaka ya M'Mungu hawatoki kwenye himaya yake, wala hawawezi kutoka nje ya hukumu zake, kama vile walivyo viumbe wengine.

Ndugu mwislam na wale ambao si waislam watambue kuwa Uislam ni DINI iliyokuwa mbali mno na ushirikina, kwa kutabiri mambo yatakayotokea kwa uongo. Na tutambue kuwa majini watalipwa kwa vitendo vyao vizuri au vibaya kwa ushahidi wa Qur'an, M'Mungu anasema:

"Na wote wana daraja (malipo) sawa kwa yale waliyoyatenda. Na Mola wako si mwenye kughafilika na yale wanayoyatenda."

Qur'an Al-An'am 132.

And the great dragon was cast out, that old serpent, called the Devil, and Satan, which deceiveth the whole world: he was cast out into the earth, and his angels were cast out with him.

Revelation 12:9 From KJV

Swali . Nashangaa kwa sababu majini yana majina ya kiislam kama vile maimuna, nk. Je majini wana majina mengine?

Jawabu ni ndio, majini wana majina mbali mbali mfano:

Lucifer, *Gagoyle, Supernatural beings, Seraphs, Cherubs, Thrones, Dominions, Virtues, Powers, Principalities, vibwengo, mzuka, nk

*ligious History: Based in Catholic beliefs.

From website:

stratis.demon.co.uk

During the 1200's when gargoyles first appeared (and at many other times), the Roman Catholic Church was actively involved in converting people of other faiths to the Catholic, often very keenly indeed (as the Christian but non-Catholic Cathars could testify). The argument for decorated gargoyles runs as follows. Since literacy was generally not an option for most people, images were very important. Since the religious images (if any) that non-Christians were accustomed to were of animals or mixtures of animals and humans (e.g. the horned god, the Green Man), then putting similar images on churches and cathedrals would encourage non-Catholics to join the religion and go to church, or at least make them feel more comfortable about it, or at least ease the transition. This argument has reasonable grounds if you think about some of the other accomodations the Christian (not just Catholic) church has made, such as fixing the birth of Christ at around the winter solstice to fit in with existing pagan celebrations. Even the Romans made similar adaptations, e.g. in Britain the Celtic goddess Suli worshipped at modern day Bath bore a remarkable resemblance to the Roman goddess Minerva. Rather than replace Suli and upset the locals, both were incorporated into and revered in the Roman baths there. It's amazing how flexible an established church can be if it needs to be - pagan images? no problem if it puts bums on seats.

The Gargoyle Myth and how gargoyles drive off evil:I've put comments in brackets().

They can stand guard and ward off unwanted spirits and other creatures. If they're hideous and frightening they can scare off all sorts of things. They come alive at night when everyone's asleep (and you can't see them to prove that they don't) so

they can protect you when you're vulnerable. Better still, the ones with wings can fly round the whole area and cover the village or town as well as the church. (And if someone does see something, who's to say whether it was just a bat or one of the

gargoyles on the wing?) They return to their places when the sun comes up (and no-one can prove that they weren't out and about, and no-one respectable who rises and sets with the sun is going to be mistaken by them for an enemy and be dealt with). If you want to see an example of the kind of gargoyle that fits the myth, look at the ones on Woburn church.

Katika lugha ya kiarabu tutataja baadhi yake:

a) Jinni : Anapokusudiwa jinni tu. Na maana ya neno jinni ni kitu kisichoonekana au

kilichofichika.

b) Aamir : Anapokusudiwa yule anaishi katika majumba ya watu.

c) Shetani : Anapokuwa na shari) Rauhaan : Yule anaewatokezea watotoe) Afriit : Anapokuwa na nguvu za kupindukia.

Haya ni baadhi ya majina ya sifa za majini kwa ujumla. Ama kutokana na swali letu hapo juu kuwa majina yana majina ya kiislam (!?), ni upeo tu wa kufikiri wa muulizaji wa swali. Kwanza napenda kukufahamisha kuwa HAKUNA majina ya kiislam wala ya Kikristo kwenye ulimwengu wa Imani.

Haya tunayo yaita majina ya Kiislam au kikristo kwa asili ni majina ya Kiarabu, kiyahudi au kutoka uropa kwa maana ya majina ya kizungu. Swala hili la majina nakumbuka tulisha wahi kulizungumzia kabla, kwa mtu kuitwa Aziz, Mpambalioto, Judith, Mkejina, Mariam, John haina maana yoyote zaidi ya kumtofautisha kati ya huyu na yule. Yaaani ni katika kuturahisishia tufahamiane tu, hakuna la zaidi. Unaweza kuitwa Fungameza na ukawa ni muumini mzuri wa dini au imani yako. M'Mungu aangalii unaitwa nani, anacho angalia ni kile unacho kiamini ndani ya nafsi yako. Yaani uchaji wako Kwake.
 
What Ancient Philosophers Said About Christianity

Common Era 23:21
21. The presence of foolish people will sustain christianity, but wisdom will separate many from it.

HADI unamtukana baba kasimu alie sema [emoji117]
IMG_20180806_124946_626.jpg

IMG_20181021_074452_504.jpg
huyu muhammad naye anaye-sustain Christianity is foolish [emoji15] [emoji53] kweli nimeamini kafir HANA shule kama mngese asivyo na mkole [emoji53]
 
Don be proud of it. You gotta be scared. Don be proud of it. Majini ni roho chafu za Shetani.

Injili maana yake ni Habari njema za Ufalme wa Mungu kupitia Yesu kristo Messiah. Hii ndio inataliwa ihubiriwe ulimwengu aote.

Mmoja ni ufalme wa Magugu yaliopandwa na Adui na wa pili ni ufalme wa Ngano iliyo bora isubiriyo wakati wa Mavuno ili kwenda ghalani na yale magugu kutupwa na kuchomwa Moto.

Hivyo, Hizi ni ulimwengu mbili kinzani. Kwani Kazi kuu ya Yesu Duniani ni Kuuvunja ufalme wa Shetani duniani.

Majini ni ni ufalme wa Giza, Mauti na kuzimu chini ya baba yao Shetani Lucifer.

na Yesu ni Ufalme wa Mungu wa Nuru mwenye Nguvu.

Majini ni njia ya kwenda Jehanamu na
Yesu ni njia ya Uzima ya Kwenda Mbinguni.

Majini ni ufalme wa Uharibifu na makufuru yote na

Yesu ni Ufalme wa Uumbaji na Neema na Rehema na sifa kwa Mungu Mkuu.

Ufalme wa Yesu huongozwa na Roho wa Mungu. Huyu ndio aliyekua akiwezesha mapepo ya Belzebubu kuwatoka watu na kuwaacha wanadamu wakiwa huru.
Sio masuala ya Nyota na falaki na mengine yafananayo na hayo.
So it's Either you are in or out.
Fact of life.
Una elimu kuhusu majini unarukaruka tu, elimu kuhusu majini mahali pekee utakapo ipata ni kwenye uislamu tu wewe elimu hiyo huna kabisa tulia kimya kama unanyolewa, wewe unachojua ni malaika alieasi habari ya majini tuulize sisi wajuvi Ahahahahahahaa
 
Uone uzwazwa WA koloani kwenye aya uliyo ileta [emoji15] [emoji12] eti MKIWATII BAADHI KWA hiyo wengine MUWATII [emoji56] nitaendelea kusoma hayo mashairi View attachment 904347na hadithi [emoji117] View attachment 904344 tamu tamu [emoji4] unageuza ndimi kumsemea baba kasimu asicho tamka [emoji350] [emoji344] [emoji15]
Tena chenye kuonya watu kweli kweli ni uongofu kwa wamchao Mungu
QURAN 2:2
" Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wamchao Mungu";

Tena Amemfundisha kitabu hiki malaika mwenye nguvu
QURAN 53:5-6
5";Amemfundisha (malaika) mwenye nguvu sana "
6";Mwenye uweza . Na yeye (huyu Jibril ) akalingana sawa sawa";

Ahahahahaahahaahaha sasa unashangaa mashairi unaacha kushangaa WIMBO ULIO BORA na NYARAKA za wagalatia na WAKORINTHO ahahahahahhah kama hizi
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"Kwa Sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu"

Ahahahahaahahaahaha hizi kweli nyaraka
 
MIMI namuombaga hata jirani YANGU Aniombee kwa Mungu, na pia huwa nakuombea hata wewe KWA MUNGU AKUJALIE UMJUE [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha kwenye sala ya ROZARI kesho mtoe bikira maria , muingize bibi yako badala ya bikira maria uone watakavyo kuchapa makofi ahahhahahhaajajjjjjjajajajjjjj badala ya bikira Maria sema bibi mgeni utuombee ahahhhahhhhhha unaleta usungura Ahahahahahahaa
 
SAWA MUNGU wenu kata.3 na Ana-Mind mavi [emoji736] utahukumiwa KWA kuacha chenga za mavi mvutuni, utahukumiwa kwa mvutu kunuka...[emoji12] kama hawa [emoji117] [/ATTACH] View attachment 904332 [emoji15]
Huitaji kuhukumiwa unatakiwa hata nafsi yako ikusute kuwa huu ni uchafu safisha , uislamu ni usafi basi jisafisheni (mwili ,nguo na nafsi) huwezi kwenda peponi kama ni mchafu Ahahahahahahaa kuhusu hadithi ya ushuzi mbona kawaida sana ukitaka kujua shetani kapewa uwezo gani mpaka Mungu wako anayajenga nae na kupeana madili kuwa AYUBU anaweza fanywa chochote na shetani na Mungu ameruhusu sasa unashangaa ushuzi , shangaa majipu na ukurutu wa AYUBU Ahahahahahahaa
 
Umebakia kasauti MADOGO kanatokea puani yake... yake, yake..[emoji108] [emoji12] Mkiambiwa MUNGU Hamumjui mnarusha mate tu humu [emoji12] hakuweza kumjua Mungu kungwi yako muhammad itakuwa wewe maasudi [emoji350] [emoji344] Sasa! Mungu Anakufahamisha [emoji117] View attachment 904270 kujifanyaga mc WA MUNGU HADI unajifanya unajua lipi zuri kwake na lipi sio zuri [emoji12] UKOME KUWA MSEMAJI WA MUNGU [emoji53]
Ndio njia zetu sio zake , haya sasa njia zetu sisi ni zipi twende sasa Sisi ni wanadamu tunakula na kunya, hivyo Mungu njia zake sio zetu maana hawezi kula na kunya lakini Yesu alikula na kunya Ahahahahahahaa mbona hata hiyo aya inakukataa Mungu anamipaka yake sasa basi kwa mipaka hiyo ndio inatofautisha Mungu na binadamu? Swali dogo tu Mungu wako anaweza kubeba Mimba ? ahahahhaah sisi Mungu wetu hafanani na chochote kwahiyo hawezi kubeba mimba kwasababu hana tumbo
 
HADI unamtukana baba kasimu alie sema [emoji117] View attachment 905619
View attachment 905621 huyu muhammad naye anaye-sustain Christianity is foolish [emoji15] [emoji53] kweli nimeamini kafir HANA shule kama mngese asivyo na mkole [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha unamsemea Mohammad nusu nusu hiyo sura 5:82 endelea ujue hao WAKRISTO waliotajwa humu bado ni WAKRISTO au wameslimu wewe umesoma 82 malizia 83 ndio dawa yako iliopo Ahahahahahahaa
QURAN 5:82-83
83",NA WANAPOSIKIA yaliyo teremshwa kwa mtume utaona macho yao yana CHURURIKA machozi kwa sababu ya HAKI waliyoitambua . wanasema ;Mola wetu Mlezi TUMEAMINI ,Basi tuandikie pamoja na wanao shuhudia"

Ahahahahaahahaahaha hao ndio WAKRISTO ambao wanalia kwa uchungu wakisomewa kuwa Isa sio Mungu, wanajiona wako katika upotevu kisha WANAAMINI ahahhahahahha thubutu wewe mgeni na genge lako ata chozi alimitoki ndio kwanza mnatukana na kitabu chenyewe , hivyo wewe sio uliokusudiwa

TUKIJA kwenye 2:62 kuhusu masabahi na WAKRISTO mnatakiwa Mumuamini Mwenyezi Mungu aya twende kazi wewe unaamini ni kweli kuwa dini ya haki ni uislamu
QURAN 3:19
",Bila shaka DINI ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni UISLAMU";

Ahahahahaahahaahaha haya AMINI usilimu uache ukafiri wako ahahahahaaaahaaaaaaha
 
Majini ni nini?

Kwanza kabisa yatupasa kuelewa nini maana ya neno jini, Neno jini linatokana na neno la kiarabu Jinn (djinn au Jinnee). Na lina maana ya kitu kisichoonekana au kilichofichika. (Mapepo).

Tafsiri kutoka kamusi za kiingereza zinaeleza hivi maana ya neno jini:

A: a spirit, often appearing in human form, that when summoned by a person carries out the wishes of the summoner.

B: any spirit; demon or ghost.

C: any of a class of spirits, lower than the angels, capable of appearing in human and animal forms and influencing humankind for either good or evil.

D: A supernatural creature who does one's bidding when summoned.

Kwa hali hiyo basi, Majini ni miongoni mwa viumbe alivyo viumba M'Mungu kama tulivyoumbwa Binadam, Malaika, Wanyama na viumbe vingine tusivyo vijuwa, wakiwemo wadudu wa aina mbali mbali.

Matumaini kuwa mpaka hapo wasomaji wengine watakuwa wameelewa nini maana ya neno jini.

Swali: Majini na waislam wana uhusiano gani katika ulimwengu wa roho?

Jibu:

Kwenye ulimwengu wa kiroho si kwa waislamu tu ambao wanahusishwa na kuwepo kwa majini,

Tukiangalia vitabu vya ulimwengu wa Dini, kama vile Uhindu (Vedas, Puranas), Ukristo (Bible),

Uyahudi (Tamud) nk. Tukichungulia Biblia ya wakristo tunakuta bwana yesu akiyakemea mapepo yaliyokuwa yakikaa ndani ya vichwa vya watu.

Haya ni majini ambayo yanasumbuwa watu na kufanya ukorofi kama walivyo baadhi ya binadamu wenye tabia chafu za kukaa vichochoroni na kukaba watu nyakati za usiku na wakati mwingine mchana kweupe.

Kwenye Biblia Majini au Mapepo asili yao ni Malaika. Baada ya kuasi amri ya M'Mungu wakafukuzwa wao pamoja na kiongozi wao Lucifer (Ibilisi). Kwa Jinsi hiyo Malaika wabaya huitwa kwa jina la Pepo.

Angalia baadhi ya aya kutoka kwenye Biblia:

Genesis 6 :2&4

...that the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all that they chose...The Nephilim were in the earth in those days, and also after that, when the sons of God came unto the daughters of men, and they bare children to them: the same were the mighty men that were of old, the men of renown.American Standard Version that the sons of God, looking at the women, saw how beautiful they were and married as many of them as they chose....The Nephilim were on earth in those days (and even afterwards), when the sons of God resorted to the women, and had children by them. These were the heroes of the days gone by, men of renown

From Jerusalem Bible (catholic).

some of supernatural beings* saw that these girls were beauutiful, so they took the ones they liked... In those days and even later, there were giants on the earth who were descendants of human women and the supernatural beings. They were the great heroes and famous men of long ago.*supernatural beings; or son of gods; or sons of God

From the Good News Bible

the sons of God saw that the doughters of men were beautiful, and they married any of them they chose....The Nephilim were on earth in those days -and also afterward- when the sons of God went to the doughters of men, and had children by them. These were the heroes of the old, men of renown

From King James Version

Pia waweza kupitia kwenye kitabu cha… Isaiah 14:12-15, Job 1: 6 and 2:1 kumb 18:10-11

Kuna majina mengi tu yanayo tumika kumaanisha neno jini, mfano mapepo (pepo), demons, Lucifer, Ghost . Wamasai wao wanawajuwa kwa jina tofauti.

Wapo baadhi ya watu wanawaita kimakosa kwa jina la shetani. Wanashindwa kuelewa kuwa neno shetani ni sifa mbaya, sifa ambayo hata binadamu anapoonekana kuwa ni mwenye kufanya vitendo viovu uhitwa kwa jina la shetani.

Angalia pia Mark 16:9 Pia rejea Genesis 6:2&4, Job 1: 6 na Job 2:1 kumb 18:10-11

Kwa mujibu wa biblia bwana yesu anawaagiza wanafunzi wake watawanyike ulimwenguni wakahubiri Injili kwa viumbe wote. Kwa matumaini kwamba na mapepo wamo, maana nao ni viumbe. Mark16:15-16

Kwenye ulimwengu wa imani ya kuamini dini, majini nayo yana imani tofauti tofauti kama vile tulivyo sisi binadamu. Kuna majini yenye kuamini Uislam, Ukristo, Uhindu, Upagani, na hata dini ambazo tuanziita za jadi. Na kuna yale majini yasioamini kuwepo kwa M'Mungu.

Rejea Qur'an SURAT AL-JINN[72]:1-11

Ni vipi anatakiwa mwislam kuamini kuhusiana na majini?

(a) Wao (Majini) ni viumbe wa M'Mungu, kama ambavyo M'Mungu alivyoumba malaika vile vile aliumba majini na watu.

(b) Qur-an Tukufu haikuelezea namna ya sifa ya ndani ya maisha ya majini isipokua tu vile

walivyoumbwa kwa moto, na namna ya kuongea kwao na sisi kuongea nao na kuwasiliana nao.

(c) Lakini la kuzingatia mno ni kwamba Qur'an kwa nguvu zote inakataza watu kutaka msaada

kutoka kwa majini au kuwategema, kuwaogopa n.k kwani atakaye wafanya kuwa ni wapenzi

wasaidizi, na kuomba kinga kutoka kwao kinyume na M'Mungu, M'Mungu atamdhalilisha huyo

atakayefanya hivyo. Kwani majini hawana uhusiano wowote na mwanadamu katika maisha yao.

Hawawashi wala hawazimi, wala hawatufanyii lolote gumu kuwa jepesi wala jepesi kuwa gumu, wala hawafanyi lililopo mbali kuwa karibu. Wala hawana uwezo wa kumdhuru yeyote mwenye kumuani M'Mungu.

Huenda watu wakaomba roho hao yaani majini au mapepo wawalinde, wawadhuru wengine, watabiri wakati ujao, au wafanye miujiza. Hakika huu ni ushetani na ni uovu mkubwa.

Mwisho wa yote wao (majini) ni viumbe waliopo chini ya mamlaka ya M'Mungu hawatoki kwenye himaya yake, wala hawawezi kutoka nje ya hukumu zake, kama vile walivyo viumbe wengine.

Ndugu mwislam na wale ambao si waislam watambue kuwa Uislam ni DINI iliyokuwa mbali mno na ushirikina, kwa kutabiri mambo yatakayotokea kwa uongo. Na tutambue kuwa majini watalipwa kwa vitendo vyao vizuri au vibaya kwa ushahidi wa Qur'an, M'Mungu anasema:

"Na wote wana daraja (malipo) sawa kwa yale waliyoyatenda. Na Mola wako si mwenye kughafilika na yale wanayoyatenda."

Qur'an Al-An'am 132.

And the great dragon was cast out, that old serpent, called the Devil, and Satan, which deceiveth the whole world: he was cast out into the earth, and his angels were cast out with him.

Revelation 12:9 From KJV

Swali . Nashangaa kwa sababu majini yana majina ya kiislam kama vile maimuna, nk. Je majini wana majina mengine?

Jawabu ni ndio, majini wana majina mbali mbali mfano:

Lucifer, *Gagoyle, Supernatural beings, Seraphs, Cherubs, Thrones, Dominions, Virtues, Powers, Principalities, vibwengo, mzuka, nk

*ligious History: Based in Catholic beliefs.

From website:

stratis.demon.co.uk

During the 1200's when gargoyles first appeared (and at many other times), the Roman Catholic Church was actively involved in converting people of other faiths to the Catholic, often very keenly indeed (as the Christian but non-Catholic Cathars could testify). The argument for decorated gargoyles runs as follows. Since literacy was generally not an option for most people, images were very important. Since the religious images (if any) that non-Christians were accustomed to were of animals or mixtures of animals and humans (e.g. the horned god, the Green Man), then putting similar images on churches and cathedrals would encourage non-Catholics to join the religion and go to church, or at least make them feel more comfortable about it, or at least ease the transition. This argument has reasonable grounds if you think about some of the other accomodations the Christian (not just Catholic) church has made, such as fixing the birth of Christ at around the winter solstice to fit in with existing pagan celebrations. Even the Romans made similar adaptations, e.g. in Britain the Celtic goddess Suli worshipped at modern day Bath bore a remarkable resemblance to the Roman goddess Minerva. Rather than replace Suli and upset the locals, both were incorporated into and revered in the Roman baths there. It's amazing how flexible an established church can be if it needs to be - pagan images? no problem if it puts bums on seats.

The Gargoyle Myth and how gargoyles drive off evil:I've put comments in brackets().

They can stand guard and ward off unwanted spirits and other creatures. If they're hideous and frightening they can scare off all sorts of things. They come alive at night when everyone's asleep (and you can't see them to prove that they don't) so

they can protect you when you're vulnerable. Better still, the ones with wings can fly round the whole area and cover the village or town as well as the church. (And if someone does see something, who's to say whether it was just a bat or one of the

gargoyles on the wing?) They return to their places when the sun comes up (and no-one can prove that they weren't out and about, and no-one respectable who rises and sets with the sun is going to be mistaken by them for an enemy and be dealt with). If you want to see an example of the kind of gargoyle that fits the myth, look at the ones on Woburn church.

Katika lugha ya kiarabu tutataja baadhi yake:

a) Jinni : Anapokusudiwa jinni tu. Na maana ya neno jinni ni kitu kisichoonekana au

kilichofichika.

b) Aamir : Anapokusudiwa yule anaishi katika majumba ya watu.

c) Shetani : Anapokuwa na shari) Rauhaan : Yule anaewatokezea watotoe) Afriit : Anapokuwa na nguvu za kupindukia.

Haya ni baadhi ya majina ya sifa za majini kwa ujumla. Ama kutokana na swali letu hapo juu kuwa majina yana majina ya kiislam (!?), ni upeo tu wa kufikiri wa muulizaji wa swali. Kwanza napenda kukufahamisha kuwa HAKUNA majina ya kiislam wala ya Kikristo kwenye ulimwengu wa Imani.

Haya tunayo yaita majina ya Kiislam au kikristo kwa asili ni majina ya Kiarabu, kiyahudi au kutoka uropa kwa maana ya majina ya kizungu. Swala hili la majina nakumbuka tulisha wahi kulizungumzia kabla, kwa mtu kuitwa Aziz, Mpambalioto, Judith, Mkejina, Mariam, John haina maana yoyote zaidi ya kumtofautisha kati ya huyu na yule. Yaaani ni katika kuturahisishia tufahamiane tu, hakuna la zaidi. Unaweza kuitwa Fungameza na ukawa ni muumini mzuri wa dini au imani yako. M'Mungu aangalii unaitwa nani, anacho angalia ni kile unacho kiamini ndani ya nafsi yako. Yaani uchaji wako Kwake.
Mkuu hii sindano inatibu mpaka kansa Ahahahahahahaa elimu hii nzito kabisa ahahaahaaahahh
 
And the LORD was with Judah; and he drave out the inhabitants of the mountain; but could not drive out the inhabitants of the valley, because they had chariots of iron. (Judges 1:19)

As we told above, the Biblical God cannot fight with chariots of iron but according with Christians God is powerful BUT when he confronts with chariots of iron, he is helpless.

How chariots of iron can stop God Almighty to do what he wills?
Go to the bible and read the story on your own.
 
Go to the bible and read the story on your own.

God of the Bible or Allah (SWT)?? Which is the True God? Decide for yourself.

The Christians very often bring up arguments and say that God of the bible is merciful where as Allah (SWT) is punishes people. And they even go on to quote certain verses and say that Allah is not True God. Here we'll discuss which of the following is actually the True Almighty God.

Qualities ill-befitting God in the Bible.

A. Barber God :

The bible says

" In the same day shall the Lord shave with a rasor that is hired, namely, by them beyond the river, by the king of Assyria, the head, and the hair of the feet: and it shall also consume the beard." (Isaiah 7:20)

Is this what God does?? He is going to shave people's legs,beard and head with the hired razor. He hasn't even got one of his own. Is this the work of God?

B. A hissing God:

" And he will lift up an ensign to the nations from far, and will hiss unto them from the end of the earth: and, behold, they shall come with speed swiftly:" (Isaiah 5:26)

"And it shall come to pass in that day, that the LORD shall hiss for the fly that is in the uttermost part of the rivers of Egypt, and for the bee that is in the land of Assyria." (Isaiah 7:18)

Is this what God does?? That he is going to hiss like a snake

C. Roaring God.

"The LORD shall go forth as a mighty man, he shall stir up jealousy like a man of war: he shall cry, yea, roar; he shall prevail against his enemies." (Isaiah 42:13)

"They shall walk after the LORD: he shall roar like a lion: when he shall roar, then the children shall tremble from the west." (Hosea 11:10)

D. Not Omnipotent.

"And the LORD was with Judah; and he drave out the inhabitants of the mountain; but could not drive out the inhabitants of the valley, because they had chariots of iron." (Judges 1:19)

Whereas the same bible tells us that God is Omnipotent.

"...but with God all things are possible." (Mathew 19:26)

One can see clear contradictions in the qualities of God in the man-altered bible.

E. God rested on the seventh day

"It is a sign between me and the children of Israel for ever: for in six days the LORD made heaven and earth, and on the seventh day he rested, and was refreshed." (Exodus 31:17)

"And on the seventh day God ended his work which he had made; and he rested on the seventh day from all his work which he had made." (Genesis 2:2)

" For in six days the LORD made heaven and earth, the sea, and all that in them is, and rested the seventh day: wherefore the LORD blessed the sabbath day, and hallowed it." (Exodus 20:11)

Sabbath is a standing insult to God in the bible because according to it God rested on this day. Therefore Christians and Jews are commanded to rest on this day.

"Six days shalt thou labour, and do all thy work:
10. But the seventh day is the sabbath of the LORD thy God: in it thou shalt not do any work, thou, nor thy son, nor thy daughter, thy manservant, nor thy maidservant, nor thy cattle, nor thy stranger that is within thy gates:" (Exodus 20:9-10)

And anyone who works on Sabbath day is to be put to death.

"Ye shall keep the sabbath therefore; for it is holy unto you: every one that defileth it shall surely be put to death: for whosoever doeth any work therein, that soul shall be cut off from among his people." (Exodus 31:14)

Now lets read the Quran and see the divine qualities of God.

"...Allah. There is no god but He,-the Living, the Self-subsisting, Eternal. No slumber can seize Him nor sleep." (Quran 2:255)

The Quran says

"We created the heavens and the earth and all between them in Six Days, nor did any sense of weariness touch Us." (Quran 50:38)

Decide for yourself which God is the True one.

F. Smoke Came out of God's nostrils and devouring fire from his mouth.

"There went up a smoke out of his nostrils, and fire out of his mouth devoured: coals were kindled by it." (II Samuel 22:9)

What a blasphemy!!

G. God riding a cherub.

"Cherub" means

1. a celestial being. Gen. 3:24; Ezek. 1, 10.
2. Theology. a member of the second order of angels, often represented as a beautiful rosy-cheeked child with wings.
3. a beautiful or innocent person, esp. a child.
4. a person, esp. a child, with a sweet, chubby, innocent face.

These are the meanings I got from the definition of cherub

The Biblical God rides it.

"And he(God) rode upon a cherub, and did fly: and he was seen upon the wings of the wind." (II Samuel 22:11)

God is riding upon a cherub. God is flying in the air. Is this the quality of God??

Note : I have put that word "God" in brackets.

Read also Psalms 18:8 onwards

H. Does God repent??

"And it repented the LORD that he had made man on the earth, and it grieved him at his heart." (Genesis 6:6)

This does not befit God at all. Its human quality to repent. God is All-Knowing and Omnicient. He does not repent.

I. God Wrestles with man

"And he said, Thy name shall be called no more Jacob, but Israel: for as a prince hast thou power with God and with men, and hast prevailed."(Genesis 32:28)

God wrestles with man and man prevails. If Christians want to worship a man they should worship such a man who prevails over God instead of worshipping Jesus who considers himself powerless.

"I can of mine own self do nothing: as I hear, I judge: and my judgment is just; because I seek not mine own will, but the will of the Father which hath sent me." (John 5:30)

J. God - Like an alcoholic.

"Then the Lord awaked as one out of sleep, and like a mighty man that shouteth by reason of wine." (Psalms 78:65)

K. God corrupts people and spreads dung upon their faces.

"Behold, I will corrupt your seed, and spread dung upon your faces, even the dung of your solemn feasts; and one shall take you away with it." (Malachi 2:3)

Does God do such things. Does he corrupt his own creation and spread dung (excreta) on their faces??

l. God - The Deciever.

"I form the light, and create darkness: I make peace, and create evil: I the LORD do all these things." (Isaiah 45:7)

"And for this cause God shall send them strong delusion, that they should believe a lie:" (2 Thessalonian 2:11)

The Christians very often quote this verse from the Quran and say that God is a deceiver.

"And (the unbelievers) plotted and planned, and Allah too planned, and the best of planners is Allah." (Quran 3:54)

The above verse doesn't prove at all that God is a deciever. This verse only says that people plan against Allah and Allah too plans and he prevails. This verse doesn't by any means show that God is a deceiver. Unlike the bible where God says "I will corrupt your seed..." (Malachi 2:3) Read point k.

Jeremiah the Prophet of God cries that he was decieved by God.

"O LORD, thou hast deceived me, and I was deceived: thou art stronger than I, and hast prevailed: I am in derision daily, every one mocketh me." (Jeremiah 20:7)

The same bible tells us that God is not the author of confusion.

"For God is not the author of confusion, but of peace,.." (1 Corinthians 14:33)

One can see the contradictory qualities of God in the bible.

M. God commands his Prophet to walk naked.

"At the same time spake the LORD by Isaiah the son of Amoz, saying, Go and loose the sackcloth from off thy loins, and put off thy shoe from thy foot. And he did so, walking naked and barefoot.
[3] And the LORD said, Like as my servant Isaiah hath walked naked and barefoot three years for a sign and wonder upon Egypt and upon Ethiopia;" (Isaiah 20:2-3)

Imagine Isaiah one of the mightiest of the Biblical Prophets walks absolutely naked and barefoot for 3 years on the commandment of God. A Prophet of God Walking down the streets, in front of women and children absolutely naked for 3 long years not even wearing a G-string. Imagine if a Pope goes around naked preaching the message of God. Huh ! Is this the quality of God that he commands people to do such things. The Glorious Quran says

"Say: "Nay, Allah never commands what is shameful: do ye say of Allah what ye know not?"" (Quran 7:28)

God doesn't command people to do such shameful deeds.

N. Is Biblical God Merciful??

The Christians always come up and say that Allah (SWT) is not Merciful because he punishes people and Biblical God is merciful. Lets analyse with few examples below if he is really Merciful. The bible says

"And he smote the men of Beth-shemesh, because they had looked into the ark of the LORD, even he smote of the people fifty thousand and threescore and ten men: and the people lamented, because the LORD had smitten many of the people with a great slaughter." (I Samuel 6:19)

God Almighty punished 50,070 for merely looking into an ark.

Note : The newer version of the Bible like NIV etc have shamelessly reduced the number to 70 only !!

"[3] Thou shalt have no other gods before me.
[4] Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of any thing that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth:
[5] Thou shalt not bow down thyself to them, nor serve them: for I the LORD thy God am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation of them that hate me;" (Exodus 20:3-5)

God is not only going to punish people who join gods with him but he is also going to punish people till their third and fourth generation.

Note : Christians are included in this. Because they say Jesus IS God and Holy Spirit IS God.

The Bible says

"And if ye will not yet for all this hearken unto me, then I will punish you seven times more for your sins." (Leviticus 26:18)

"And if ye walk contrary unto me, and will not hearken unto me; I will bring seven times more plagues upon you according to your sins." (Leviticus 26:21)

"And if ye will not be reformed by me by these things, but will walk contrary unto me; [24] Then will I also walk contrary unto you, and will punish you yet seven times for your sins." (Leviticus 26:23-24)

In the above verses we can see that God doesn't even gets satisfied with one for one. He is going to punish people seven times more for their sins. Whereas the Quran says.

"He that doeth good shall have ten times as much to his credit: He that doeth evil shall only be recompensed according to his evil: no wrong shall be done unto (any of) them." (Quran 6:160)

"If any does good, the reward to him is better than his deed; but if any does evil, the doers of evil are only punished (to the extent) of their deeds." (Quran 28:84)

O. God's Lips ,tongue and Breath

"27 See, the Name of the LORD comes from afar, with burning anger and dense clouds of smoke; his lips are full of wrath, and his tongue is a consuming fire.
28 His breath is like a rushing torrent rising up to the neck.He shakes the nations in the sieve of destruction he places in the jaws of the peoples a bit that leads them astray. " (Isaiah 30:27-28)

Alhamdulillah(All praises are due to Allah Alone) this is the quality of God. This is his mercy that he multiplies the good deeds and punish the sins only to their extent whereas biblical God punishes people seven times more and he punishes them till their third and fourth generation.

Divine Attributes of God in the Quran.

In the Quran there are about 99 attributes of Allah (SWT). I'll just quote 3 verses which mention about 15 of his divine attributes attributes.

"22. Allah is He, than Whom there is no other god;- Who knows (all things) both secret and open; He, Most Gracious, Most Merciful.

23. Allah is He, than Whom there is no other god;- the Sovereign, the Holy One, the Source of Peace (and Perfection), the Guardian of Faith, the Preserver of Safety, the Exalted in Might, the Irresistible, the Supreme: Glory to Allah. (High is He) above the partners they attribute to Him.

24. He is Allah, the Creator, the Evolver, the Bestower of Forms (or Colours). To Him belong the Most Beautiful Names: whatever is in the heavens and on earth, doth declare His Praises and Glory: and He is the Exalted in Might, the Wise. "

Can anyone bring anything comparable to this? !!

So Readers decide for yourself which God is True and which Scripture is True.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom