masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaahahaahaha hata usipotengua mwenye wazimu mbona kajitangaza hadharanikafute hii [emoji117] View attachment 939295View attachment 939297 ndipo nitatengua wazimu wa baba fatu [emoji15] [emoji12]
MATENDO YA MITUME 26:11
";Na mara nyingi katika masinagogi yote NALIWAADHIBU, nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama MWENYE WAZIMU , nikawaudhi hata katika miji ya ugenini";
Ahahahahaahahaahaha huyo Paulo mwenyewe ajielewi anajihisi kama mwenye wazimu , Ahahahaahaha . Na uthibitisho wa wazimu wake ni huu hapa
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
";Kwa Sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";
Ahahahahaahahaahaha mwenye wazimu umemuona eheeeeee kwanza kajitangaza mwenyewe kama kapitiwa na popobawa halafu akaonyesha wazimu wake kwa kumuita Mungu Mpumbavu na DHAIFU ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah buree kabisa huyu Paulo ahahahahahahah