Shetani maana yake ni Mpinzani wa Mungu.(God advesary) Jina Shetani linawakilisha sifa yake kimatendo. Sio jina halisi kama ambavyo imezoeleka. Na Limetokana na Uhasi alioufanya kwa Mungu. Kwa maana Mungu aliumba jeshi la mbinguni la Malaika ambao ni wengi kuliko wanadamu.
Maandiko yanatuambia Shetani alikua Muongo tangu kale. Hakusimama kwenye Kweli. Na Aliweza hata kurubuni Theluthi ya Jeshi la Mbinguni. Na ndio maana anaitwa Baba wa Uongo.
Maana kama alimudu kuwalaghai Malaika itakuaje sisi Wanadamu?
Hii ina nullify hoja yako inayosema alikua mtenda Mema.
Shetani hajawahi kua mtenda wema. Lolote linaloonekana jema kwake ni tendo la Hila.
Sent using
Jamii Forums mobile app