Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Sijawahi kusoma popote ambapo Yesu Kristo alieleza ama alitoa majibu ya mambo ya kisayansi ambayo yanapingana na sayansi ya leo,...majibu nayokumbuka ni yale ya kusema "Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu" wakati alipotegwa kuhusu ulipaji wa kodi ili wamkamate kwa kosa la kutengeneza la kuhamashisha watu wasilipe kodi.

Siri za uumbaji wa Ulimwengu ni nzito , ingawa mwanadamu kwa kutumia Technologia ya kisasa ameanza kuelewa namna mfumo huu wa ajabu unavyofanya kazi bila hitilafu miaka billions.
 
Sayansi inakataa mtu hawezi kutembea kwenye maji, lakini biblia inatuambia Yesu alitembea kwenye maji hivi ni kweli?
 
Yesu hakuwa binadamu wa kawaida wala nabii bali Yesu alikuwa ni Mesiya. Yesu alikuja duniani kukamilisha Agano la Manabii na Mungu baba.
Tunajadili FACTS sio Imani mkuu, ni kweli Yesu alitembea kwenye maji? kama ni kweli wanasayansi hawakubaliani na ilo
 
Kipindi Yesu anazaliwa kulikuwa na wasomi wengi tu, waandishi wengi tu, na msafara wa Yesu uliambana na waandishi kila alikokuwa anakwenda; sasa kwa mawazo yako huo ulikuwa uzushi. haya endelea maana nimekwambia YESU hakuwa nabii bali Mesiya.
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa hapo unakataa nini halafu unakubali nini, "Amekuja kwa Jina la baba yake" , huyo baba yake ndio Mungu wake na ndio Mungu wako wewe , hivi mnataka Yesu aongee nini mumuelewe , mbona ni kiswahili rahisi na sanifu
Sasa wewe ndio hauelewi chochote. Moses, Isayah na wengine ndio wanapaswa kuitwa mawakala. Maana hao ni wanadamu kama wewe na wengine. Labda haujuwi maana ya Uwakala.

Yesu kaja kwa jina la baba Yake.Yesu na Baba Ni Umoja. Yale uliomfanyia Baba yake, unamfanyia huyu. Ova.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi Yesu anazaliwa kulikuwa na wasomi wengi tu, waandishi wengi tu, na msafara wa Yesu uliambana na waandishi kila alikokuwa anakwenda; sasa kwa mawazo yako huo ulikuwa uzushi. haya endelea maana nimekwambia YESU hakuwa nabii bali Mesiya.
Uzushi upi tena !! wewe niambie kama kweli Yesu alitembea kwenye maji ? kama alitembea hakuna mwanasayansi atakae kukubalia jambo hilo mkuu ataona ni porojo
 
Sasa wewe ndio hauelewi chochote. Moses, Isayah na wengine ndio wanapaswa kuitwa mawakala. Maana hao ni wanadamu kama wewe na wengine. Labda haujuwi maana ya Uwakala.

Yesu kaja kwa jina la baba Yake.Yesu na Baba Ni Umoja. Yale uliomfanyia Baba yake, unamfanyia huyu. Ova.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umoja wao ni kwasababu Yesu anafundisha yale aliyopewa afundishe, alishasema baba ni mkuu kuliko mimi, akasema tena baba yangu ndio Mungu wangu na ndio Mungu wenu, sasa hapo usipo elewa utamlaumu nani , kama sio akili yako
 
Uzushi upi tena !! wewe niambie kama kweli Yesu alitembea kwenye maji ? kama alitembea hakuna mwanasayansi atakae kukubalia jambo hilo mkuu ataona ni porojo

Yesu Atembea Juu Ya Maji

45 Wakati huo huo Yesu akawaamuru wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye anawaaga watu. 46 Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kusali. 47 Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imeshafika katikati ya ziwa na Yesu alikuwa peke yake nchi kavu. 48 Aliwaona wanafunzi wake wakihangaika na kuvuta makasia kwa nguvu kwa sababu upepo ulikuwa ukielekea walikotoka. Karibu na mapambazuko, Yesu aka waendea wanafunzi wake akitembea juu ya maji. Alikuwa karibu kuwapita, 49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walid hani ni mzimu, wakapiga yowe, 50 kwa maana wote walimwona wakaogopa. Lakini mara Yesu akasema nao, “Tulieni! Ni mimi, msi ogope!” 51 Akapanda kwenye mashua yao na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa. 52 Walikuwa bado hawajaelewa hata maana ya u le muujiza wa mikate. Walikuwa bado hawajafunuliwa akilini mwao.
Yesu anawafariji kwa kuwaambia: “Jipeni moyo! Ni mimi; msiogope.” Lakini Petro anasema: “Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako nikitembea juu ya maji.” Yesu anajibu: “Njoo!” Papo hapo Petro anatoka kwenye mashua na kwa kweli anatembea juu ya maji kumwelekea Yesu. Lakini Petro anapoitazama ile dhoruba ya upepo, anaogopa na kuanza kuzama. Anapaza sauti: “Bwana, niokoe!” Yesu anaunyoosha mkono wake na kumshika Petro kisha anasema: “Wewe mwenye imani ndogo, kwa nini umekuwa na shaka?”—Mathayo 14:27-31.
Petro na Yesu wanapanda kwenye mashua, na ule upepo unatulia. Wanafunzi wanashangaa, lakini je, wanapaswa kushangaa? Kama wangeelewa “maana ya ule muujiza wa mikate,” ambao Yesu alifanya saa kadhaa mapema alipolisha maelfu, hawangeshangaa kwamba anaweza kutembea juu ya maji na kuutuliza upepo. Sasa wanamsujudia wakisema: “Kwa kweli wewe ni Mwana wa Mungu.”—Marko 6:52; Mathayo 14:33.
 
sawa mkuu, pia kuna matope yanayozamisha jua jioni kama mtume alivyosema kwenye Quran.
 
Kwa kutembea juu ya maji maana yake anapingana na sayansi , hilo huwezi kuliprove kisayansi linabaki kuwa uzushi
 
Umoja wao ni kwasababu Yesu anafundisha yale aliyopewa afundishe, alishasema baba ni mkuu kuliko mimi, akasema tena baba yangu ndio Mungu wangu na ndio Mungu wenu, sasa hapo usipo elewa utamlaumu nani , kama sio akili yako
Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Na watatu hawa Ni UMOJA.

1×1×1=1

SASA YESU HAPA ANAANGUKIA KATIKA KATEGORI YA MUNGU MWANA.

LAKINI YEYE(Yesu) NA MUNGU BABA NI UMOJA.
One God in Three Persons.

SIMPLE AS THAT...

Utatu huu umedhihirika
wakati Yesu anabatizwa pale Yordan,
Wakati amepanda mlimani
Wakati anawaagiza wakabatize na kuhubiri Injili.

Na sehemu zingine..

Hii ni Kinyume na Qur'an inayodai kuna separate Gods. Yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Bikira Maria.
1+1+1=3
Kisha inasema 3 Gods.

Kisha inawalaumu na wayahudi kusema Uzair ni mwana wa Mungu.
Ambapo ukifuatilia tangu zama za Yesu Kristo. WAYAHUDI hawajawahi kua na IMANI hiyo KAMA HIYO ASILANI.
Maana kama ingekuwepo Basi Yesu angeielezea.

Truth matters.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu Atembea Juu Ya Maji

45 Wakati huo huo Yesu akawaamuru wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye anawaaga watu. 46 Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kusali. 47 Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imeshafika katikati ya ziwa na Yesu alikuwa peke yake nchi kavu. 48 Aliwaona wanafunzi wake wakihangaika na kuvuta makasia kwa nguvu kwa sababu upepo ulikuwa ukielekea walikotoka. Karibu na mapambazuko, Yesu aka waendea wanafunzi wake akitembea juu ya maji. Alikuwa karibu kuwapita, 49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walid hani ni mzimu, wakapiga yowe, 50 kwa maana wote walimwona wakaogopa. Lakini mara Yesu akasema nao, “Tulieni! Ni mimi, msi ogope!” 51 Akapanda kwenye mashua yao na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa. 52 Walikuwa bado hawajaelewa hata maana ya u le muujiza wa mikate. Walikuwa bado hawajafunuliwa akilini mwao.
Yesu anawafariji kwa kuwaambia: “Jipeni moyo! Ni mimi; msiogope.” Lakini Petro anasema: “Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako nikitembea juu ya maji.” Yesu anajibu: “Njoo!” Papo hapo Petro anatoka kwenye mashua na kwa kweli anatembea juu ya maji kumwelekea Yesu. Lakini Petro anapoitazama ile dhoruba ya upepo, anaogopa na kuanza kuzama. Anapaza sauti: “Bwana, niokoe!” Yesu anaunyoosha mkono wake na kumshika Petro kisha anasema: “Wewe mwenye imani ndogo, kwa nini umekuwa na shaka?”—Mathayo 14:27-31.
Petro na Yesu wanapanda kwenye mashua, na ule upepo unatulia. Wanafunzi wanashangaa, lakini je, wanapaswa kushangaa? Kama wangeelewa “maana ya ule muujiza wa mikate,” ambao Yesu alifanya saa kadhaa mapema alipolisha maelfu, hawangeshangaa kwamba anaweza kutembea juu ya maji na kuutuliza upepo. Sasa wanamsujudia wakisema: “Kwa kweli wewe ni Mwana wa Mungu.”—Marko 6:52; Mathayo 14:33.
Mkuu, huyu Mujahidina, unahangaika Bure tu. Anajua huo ni Ukweli ila Imani yake inamtaka Kupambana kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Na watatu hawa Ni UMOJA.

1×1×1=1

SASA YESU HAPA ANAANGUKIA KATIKA KATEGORI YA MUNGU MWANA.

LAKINI YEYE(Yesu) NA MUNGU BABA NI UMOJA.
One God in Three Persons.

SIMPLE AS THAT...

Utatu huu umedhihirika
wakati Yesu anabatizwa pale Yordan,
Wakati amepanda mlimani
Wakati anawaagiza wakabatize na kuhubiri Injili.

Na sehemu zingine..

Hii ni Kinyume na Qur'an inayodai kuna separate Gods. Yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Bikira Maria.
1+1+1=3
Kisha inasema 3 Gods.

Kisha inawalaumu na wayahudi kusema Uzair ni mwana wa Mungu.
Ambapo ukifuatilia tangu zama za Yesu Kristo. WAYAHUDI hawajawahi kua na IMANI hiyo KAMA HIYO ASILANI.
Maana kama ingekuwepo Basi Yesu angeielezea.

Truth matters.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uzushi mnaojidanganya nao kila siku kijana , lakini hoja za kimaandiko mmekosa ,ebu thibitisha wapi Yesu kafundisha hilo jambo kuwa yeye ni Mungu au ni Mungu mwana ? hivi kuna haja gani ya kumsemea Yesu wakati mwenyewe alikuwa na mdomo , halafu bila aibu umeona 1+1+1=3 sasa umeamia 1x1x1=1 ndugu yangu huoni aibu ahahahahaahahahha
 
HUJASOMA SIMULTANEOUS EQUATION

(John 14:8-9).
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, YATUTOSHA.
Yesu akamwambia, MIMI NIMEKUWAPO PAMOJA NANYI SIKU HIZI ZOTE, WEWE USINIJUE FILIPO? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

MPAKA HAPA USHAMJUA BABA TAYARI.

Roho anena..

John 1:1-2
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

John 1:14
Naye NENO alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

John 14:23
Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.

John 14:13-17.
Nanyi mkiomba lo lote KWA JINA LANGU, hilo nitalifanya, ILI BABA ATUKUZWE NDANI YA MWANA.
Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya. Ahadi ya kupewa Roho Mtakatifu
Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa MSAIDIZI MWINGINE, ili akae nanyi hata milele; NDIYE ROHO WA KWELI; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye ATAKUA NDANI YENU.

...ENDELEA KUBISHA ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendo mkubwa kwa wanyama , sio yule aliemiambia mle MAKOMBO, ahahahhahahhahah halafu nimekwambia ya bibi yako mzaa baba mbona hapo wako wengi Ahahahhahahahaahjhhahaja ahahahahaahahahha ahahahahaahahahha

wee baba fatuma aka allah anaswali kala sigda makalio juu kanzu imenasa deki [emoji53] kaja mbwa kakumbuka mchezo wao wa kuingiliana kifisifisi ameanza kumshughulikia [emoji15] wee unaita kwa wanyama [emoji15] sawa umepatia [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] hapo imepenya gharama yake kata.3 [emoji117]
IMG_20180530_224415_217.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom