Huo ni uzushi mnaojidanganya nao kila siku kijana , lakini hoja za kimaandiko mmekosa ,ebu thibitisha wapi Yesu kafundisha hilo jambo kuwa yeye ni Mungu au ni Mungu mwana ? hivi kuna haja gani ya kumsemea Yesu wakati mwenyewe alikuwa na mdomo , halafu bila aibu umeona 1+1+1=3 sasa umeamia 1x1x1=1 ndugu yangu huoni aibu ahahahahaahahahha
HUJASOMA SIMULTANEOUS EQUATION
(John 14:8-9).
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, YATUTOSHA.
Yesu akamwambia, MIMI NIMEKUWAPO PAMOJA NANYI SIKU HIZI ZOTE, WEWE USINIJUE FILIPO? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
MPAKA HAPA USHAMJUA BABA TAYARI.
Roho anena..
John 1:1-2
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
John 1:14
Naye NENO alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
John 14:23
Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
John 14:13-17.
Nanyi mkiomba lo lote KWA JINA LANGU, hilo nitalifanya, ILI BABA ATUKUZWE NDANI YA MWANA.
Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya. Ahadi ya kupewa Roho Mtakatifu
Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa MSAIDIZI MWINGINE, ili akae nanyi hata milele; NDIYE ROHO WA KWELI; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye ATAKUA NDANI YENU.
...ENDELEA KUBISHA ....
Sent using
Jamii Forums mobile app