Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ata wewe unaweza kujipiga picha ukinya na kutupia humu usiogope ni ruksa , sio hivyo vidudu peke yake ata wewe ahahaahahahahahahajajjajj

Kama huyu [emoji117]
IMG_20181230_164539_734.jpg
wala haogopi [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hatuitaji imani yako tunaitaji maandiko kijana
1.Yesu Amefundisha hadharani kuwa Baba ndio Mungu wake, je kuna sehemu yeyote ata magazeti ya uwazi baba aliwai kusema Yesu ni Mungu wake? wewe ni nani mpaka umbishie Yesu kuwa Mungu wake na wako ni mmoja tu
Yesu amefundisha mambo Mengi ametoa mifano mengi sana.
Aliyemuona Yesu amemuona Baba. Anayemtii Yesu amemtii Baba. Baba na Yesu ni Umoja. Baba yu ndani ya Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu amefundisha mambo Mengi ametoa mifano mengi sana.
Aliyemuona Yesu amemuona Baba. Anayemtii Yesu amemtii Baba. Baba na Yesu ni Umoja. Baba yu ndani ya Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafahamu Yesu kama mwalimu lazima watu wamtii na kumsikiliza kwa sababu ndio muwakilishi wa Mungu, lakini hii haina maana ndio Mungu, ndio maana alijua kuna vichaa watakuja kumuita Mungu akamituliza mapema , jamani hee Mungu wangu ndio Mungu wenu sasa hapo kuna swali ahhahahahahaaaajhaha au kujitoa akili
 
Eti Yesu ni Mwakilishi wa Mungu. Yesu ndiye Emanueli.
 
Ni wakala tu mbona hili liko wazi amelifundisha hadharani bila kificho ata sijui unapagawa wapi

YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu , wakujue wewe Mungu wa PEKEE na wa kweli, na Yesu kristo ULIEMTUMA";

Ahahahahaaaahahhahhaaha wewe unataka Yesu afundishe kichana ndio umuelewe ahahahahahhahah
 
Ambao ulipaswa kuwaita mawakala ni akina Moses, Na manabii wa kale.

(John 11:25)
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, NA UZIMA. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

(John 5:40, 43)
Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa NA UZIMA 43. Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.

Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa hapo unakataa nini halafu unakubali nini, "Amekuja kwa Jina la baba yake" , huyo baba yake ndio Mungu wake na ndio Mungu wako wewe , hivi mnataka Yesu aongee nini mumuelewe , mbona ni kiswahili rahisi na sanifu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom