Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata wewe unaweza kujipiga picha ukinya na kutupia humu usiogope ni ruksa , sio hivyo vidudu peke yake ata wewe ahahaahahahahahahajajjajj
Yesu amefundisha mambo Mengi ametoa mifano mengi sana.Sisi hatuitaji imani yako tunaitaji maandiko kijana
1.Yesu Amefundisha hadharani kuwa Baba ndio Mungu wake, je kuna sehemu yeyote ata magazeti ya uwazi baba aliwai kusema Yesu ni Mungu wake? wewe ni nani mpaka umbishie Yesu kuwa Mungu wake na wako ni mmoja tu
Ahahahahaaaahahhahhaaha mwaka huu maji utaita mma , lete ata picha ya bibi yako sisi tutaangalia AhahahahhhahjajahajajajjajjaKama huyu [emoji117] View attachment 981224 wala haogopi [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafahamu Yesu kama mwalimu lazima watu wamtii na kumsikiliza kwa sababu ndio muwakilishi wa Mungu, lakini hii haina maana ndio Mungu, ndio maana alijua kuna vichaa watakuja kumuita Mungu akamituliza mapema , jamani hee Mungu wangu ndio Mungu wenu sasa hapo kuna swali ahhahahahahaaaajhaha au kujitoa akiliYesu amefundisha mambo Mengi ametoa mifano mengi sana.
Aliyemuona Yesu amemuona Baba. Anayemtii Yesu amemtii Baba. Baba na Yesu ni Umoja. Baba yu ndani ya Yesu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha mwaka huu maji utaita mma , lete ata picha ya bibi yako sisi tutaangalia Ahahahahhhahjajahajajajjajja
Hii nimeiona ya babu mzaa mama aya tuma ya babu mzee baba Ahahahahaaaahqa AhahahhahahahaahjhhahajaSi ndiye huyu babu [emoji117] View attachment 981240 [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimeiona ya babu mzaa mama aya tuma ya babu mzee baba Ahahahahaaaahqa Ahahahhahahahaahjhhahaja
Hawa wako wawili mimi nataka ya babu yako tu mzaa baba Ahahahahaaaahqa AhahahhahahahaahjhhahajaSawa hii hapa [emoji117] View attachment 981245 kama ukiona nauma kidole nimekubali [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wako wawili mimi nataka ya babu yako tu mzaa baba Ahahahahaaaahqa Ahahahhahahahaahjhhahaja
Tunafahamu Yesu kama mwalimu lazima watu wamtii na kumsikiliza kwa sababu ndio muwakilishi wa Mungu, lakini hii haina maana ndio Mungu, ndio maana alijua kuna vichaa watakuja kumuita Mungu akamituliza mapema , jamani hee Mungu wangu ndio Mungu wenu sasa hapo kuna swali ahhahahahahaaaajhaha au kujitoa akili
Hii sifa aliipata Pale Bustani ya Eden.Saaaafi kabisaaaaaaa kumbe shetani ni sifa , Swali hii sifa IBILIS alianza kuipata wakati gani ? thibitisha kimaandiko unaleta janja ya nyani
Binadamu alikuwa kaumbwa au ajaumbwa ?
Ni wakala tu mbona hili liko wazi amelifundisha hadharani bila kificho ata sijui unapagawa wapiEti Yesu ni Mwakilishi wa Mungu. Yesu ndiye Emanueli.
Hapo saaaafi , sasa zamu ya picha ya bibi yako mzaa mama naitaka AhahahhhahahahahahahaView attachment 981266 yuko peke yake Babu yangu [emoji106] sema jingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakala tu mbona hili liko wazi amelifundisha hadharani bila kificho ata sijui unapagawa wapi
YOHANA 17:3
";Na uzima wa milele ndio huu , wakujue wewe Mungu wa PEKEE na wa kweli, na Yesu kristo ULIEMTUMA";
Ahahahahaaaahahhahhaaha wewe unataka Yesu afundishe kichana ndio umuelewe ahahahahahhahah
Sawa hii hapa [emoji117] View attachment 981245 kama ukiona nauma kidole nimekubali [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo saaaafi , sasa zamu ya picha ya bibi yako mzaa mama naitaka Ahahahhhahahahahahaha
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa hapo unakataa nini halafu unakubali nini, "Amekuja kwa Jina la baba yake" , huyo baba yake ndio Mungu wake na ndio Mungu wako wewe , hivi mnataka Yesu aongee nini mumuelewe , mbona ni kiswahili rahisi na sanifuAmbao ulipaswa kuwaita mawakala ni akina Moses, Na manabii wa kale.
(John 11:25)
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, NA UZIMA. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
(John 5:40, 43)
Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa NA UZIMA 43. Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app