Tetesi: Mtume Mwamposa anakusanya zaidi ya Jumla Million 50 kwa ibada zote kwenye wiki 1

Hizi ni nyakati za mwisho. Hawa manabii wa uongo (wolf's in sheepskin) wapo chungu nzima agenda yao ni kuua, kuharibu na kuangamiza same kama Baba yao lucifer hata kama wanatumia Biblia.
Miujiza ni fake, shuhuda fake, wale waumini wake pale wote wamefungwa akili kila asemacho huyo nabii ni ndio.
Wengi wamejaa kibri, huwezi kuombewa bila kulipia min elfu 50 wengine mpaka 650K ulipe ndio uombewe. Wengi wao ni Malaya balaa, yani hiyo sexual ritual ndio ipo common sana kwenye hizo vilinge vyao. Shika ulichonacho wasije manabii wa uongo wakalitwaa taji lako.
 
Kama rahisi hivyo Anzisha na wewe kwani Hupendi hela?
 
Redio za dini zinajiendesha kwa gharama ndogo kwasbabu zina neema ya kodi kiasi kidgo.

Hata kama anatumia million 100 kwa mwezi hizo 100 na huoni ni nyingi?

Bado kwa mwaka ana uhakika wa 1.2BILLION

unacha kubwekea hapo?
Sibuka FM sio radio ya dini pia channel ten sio TV ya dini.Ukiachilia YouTube,Facebook na mitandao mingine.Kama kupata hela ni rahisi kama wewe unavyodai yeye ni mfanyabiashara,basi Fanya na wewe Kwani wewe hupendi pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…