Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
1720871532522.png

Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao.

Pia soma:
Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama

Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha.

Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada.
 
Mtume Mwamposya kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha

Hongera Mtume Mwamposya kwa msaada
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
 
Ni sawa tu..mana kote huko ni Tanzania alfu huwezi jua makonda anaushawishi sasa huwezi toa sehemu ambyo hawajakwambia..
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Hukumuona RPC wa Dar akitoa shukraninkwa Mwamposya jinsi anavyoshirikiana na polisi na kuwapa misaada? Mwandishi wa habari nguli hata hilo.lilikupita ? Nchi hii kuna shida kubwa sana .Sasa kama hata hilo mwandishi wa habari nguli hujui na uko Dar sasa unachojua nin labda kama mwandishi wa habari nguli?
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Kusaidia polisi ni kujikomba tu kwa watawala. Na wafuasi wake wataambiwa wapige kura ccm.
 
Hukumuona RPC wa Dar akitoa shukraninkwa Mwamposya jinsi anavyoshirikiana na polisi na kuwapa misaada? Mwandishi wa habari nguli hata hilo.lilikupita ? Nchi hii kuna shida kubwa sana .Sasa kama hata hilo mwandishi wa habari nguli hujui na uko Dar sasa unachojua nin labda kama mwandishi wa habari nguli
Anajua chapati, chaapati
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
[/QUOTE

Kwani Arusha ni nchi gani? And where is his home? Huwezi mpangia mtu home au wapi atoe msaada. Au atoe kwa nani.
 
Back
Top Bottom