Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P

Kwani arusha ipo nchi gani? But pia kutoa mtu anatoa anapo feel. Huwezi mpangia atoe wapi. Kuna wazungu na waarabu wanakuja toa msaada africa na kwao hawajawahi kutoa. Pesa ni zake asipangiwe atoe wapi au kwa nani.
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Watu wana maono,
Wanaanda mazingira.
Kama unajicho la rohoni utakua ushajua makonda atakuwa nan mbelen
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Makonda na mwamposa ni marafiki wa kufa na kuzikana.na Kuna mtu kaniambia walisoma wote
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Watu wanaozikusanya hizo hela ni masikini na wengine ni wagonjwa wanaohitaji msaada!!

Mwamposa angefanya kuzirudisha Kwa Wajane, Wagonjwa na Mafukara!! Huko polisi hiyo ni kazi ya Serikali
 
Boniface mwamposa ni mtumishi wa mungu, anasaidia Jiji la dar es salaam kutoa wanawake mapepo.

lakini mwamposa amejenga hoteli mkoa wa mbeya kupitia sadaka za waumini wake. 😃😃😃😃
 
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha

Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
Hizo pikipiki zitaua hao polisi kwa kila atayekuwa akiitumia. Lkn kwakuwa ni polisi acha wakauawe tu.
 
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha

Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
Waumini walitoa, Polisi wametwaa, jina la Mwamposa liendelee kutangazwa!
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Swali zuri

Ova
 
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha

Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada

“Wajinga ndiyo wanaliwa” mnamchangia wenyewe ananunua pikipiki kwa hela yenu mnamshangilia. Wajinga Kweli ndiyo waliwao
 
Hela ndogo Sana hiyo kwa mtume wetu......hiyo ni hela ya kapu moja Tu la sadaka......ukiacha mbali na wale waliotuma kwenye simu.......
1002261993.jpg
 
“Wajinga ndiyo wanaliwa” mnamchangia wenyewe ananunua pikipiki kwa hela yenu mnamshangilia. Wajinga Kweli ndiyo waliwao
Makanisani na misikitini tunachangia makanisa mangapi yamerudisha pesa kwa jamii kutoa huduma za bure kabisa ziwe shule,hospitali,polisi nk bure? Nitajie kanisa mojawapo linalopokea sadaka kwa waumini likatoa kitu bure kwa jamii au polisi

Naomba jina la hilo kanisa au msikiti kuwa OK tumepokea sadaka kwa jamii sasa tuirudishie jamii kiasi cha sadaka asilimia fulani ziwe za kweli au kutapeli warudishe kwa jamii bure bila kuwadai hata mia kama alivyofanya Mwamposya kwenye pikipiki
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Amepata mchumba huko hivyo hisani imeanzia ukweni kwa wazaa chema.
 
Serikali ina uwezo wa kugawa pikipiki kwa kila askari polisi nchini.
Hivyo tunamwomba Mwamposa aache kuwaibia mafukara na badala yake atoe sehemu ya mabilioni yake kuwapa mitaji bila masharti.
Kumbe yale magari tena ya kifahari yalijaa kawe kwenye chako ni chako ni mafukara?maana hata kugeuza gari ikuwa mtihani ,hongera sana kama wale mafukara wewe nu bilionea
 
Back
Top Bottom