Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Mtume Mwamposya kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha

Hongera Mtume Mwamposya kwa msaada
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
 
Ni sawa tu..mana kote huko ni Tanzania alfu huwezi jua makonda anaushawishi sasa huwezi toa sehemu ambyo hawajakwambia..
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Hukumuona RPC wa Dar akitoa shukraninkwa Mwamposya jinsi anavyoshirikiana na polisi na kuwapa misaada? Mwandishi wa habari nguli hata hilo.lilikupita ? Nchi hii kuna shida kubwa sana .Sasa kama hata hilo mwandishi wa habari nguli hujui na uko Dar sasa unachojua nin labda kama mwandishi wa habari nguli?
 
Asante kwa taarifa hii.

Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.

Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Kusaidia polisi ni kujikomba tu kwa watawala. Na wafuasi wake wataambiwa wapige kura ccm.
 
Anajua chapati, chaapati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…