Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Watu wana maono,Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Makonda na mwamposa ni marafiki wa kufa na kuzikana.na Kuna mtu kaniambia walisoma woteAsante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Nawaita Malawi Boyz!, naweza ( ).Makonda na mwamposa ni marafiki wa kufa na kuzikana.na Kuna mtu kaniambia walisoma wote
Watu wanaozikusanya hizo hela ni masikini na wengine ni wagonjwa wanaohitaji msaada!!Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Ni kweli, katoa kwa sababu ya ushawishi alionao Makonda.Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Hizo pikipiki zitaua hao polisi kwa kila atayekuwa akiitumia. Lkn kwakuwa ni polisi acha wakauawe tu.Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha
Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
arusha kaona wana uhitaji kulingana na malengo ya mwenye mkoa wakeAsante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Waumini walitoa, Polisi wametwaa, jina la Mwamposa liendelee kutangazwa!Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha
Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
Swali zuriAsante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha
Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
Makanisani na misikitini tunachangia makanisa mangapi yamerudisha pesa kwa jamii kutoa huduma za bure kabisa ziwe shule,hospitali,polisi nk bure? Nitajie kanisa mojawapo linalopokea sadaka kwa waumini likatoa kitu bure kwa jamii au polisi“Wajinga ndiyo wanaliwa” mnamchangia wenyewe ananunua pikipiki kwa hela yenu mnamshangilia. Wajinga Kweli ndiyo waliwao
Amepata mchumba huko hivyo hisani imeanzia ukweni kwa wazaa chema.Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Kwa wataalam wa Kiswahili hivi hela inayolipwa kwa mganga baada ya kuaguliwa inaitwaje?sadaka za wajinga hizo
Kumbe yale magari tena ya kifahari yalijaa kawe kwenye chako ni chako ni mafukara?maana hata kugeuza gari ikuwa mtihani ,hongera sana kama wale mafukara wewe nu bilioneaSerikali ina uwezo wa kugawa pikipiki kwa kila askari polisi nchini.
Hivyo tunamwomba Mwamposa aache kuwaibia mafukara na badala yake atoe sehemu ya mabilioni yake kuwapa mitaji bila masharti.