Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Kwa nini utoe pesa?Makanisani na misikitini tunachangia makanisa mangapi yamerudisha pesa kwa jamii kutoa huduma za bure kabisa ziwe shule,hospitali,polisi nk bure? Nitajie kanisa mojawapo linalopokea sadaka kwa waumini likatoa kitu bure kwa jamii au polisi
Naomba jina la hilo kanisa au msikiti kuwa OK tumepokea sadaka kwa jamii sasa tuirudishie jamii kiasi cha sadaka asilimia fulani ziwe za kweli au kutapeli warudishe kwa jamii bure bila kuwadai hata mia kama alivyofanya Mwamposya kwenye pikipiki
Wakala wa kuzimu. Wapo wagonjwa wanakufa kwa kukosa dawa na wengine wanakufa kwa kukosa fedha za kufanyiwa operation za mwili nyie mnakuja kuhonga polisi utopolo! Serikali haijashindwa kuwapa polisi vitendea kazi ukizingatia ndio tegemeo lao kubwa kwenye kupora haki za wananchi za kuchagua viongozi wanaowataka. Shame on you! Bora angenunua nguo na vyakula apeleke wahitaji kama kwenye vituo vya watoto yatimaMtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha
Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
Mama abdul anagawa pkpk 700 kila mkoa kwa ccm lakini polisi wanunuliwe na mwamposa hii ni taabuSerikali ina uwezo wa kugawa pikipiki kwa kila askari polisi nchini.
Hivyo tunamwomba Mwamposa aache kuwaibia mafukara na badala yake atoe sehemu ya mabilioni yake kuwapa mitaji bila masharti.
Kwanini asiwape nguvu za kiroho kiroho kuudhihirishia ulimwengu kuwa roho wa Mungu ana nguvu kuliko mambo mengine yoteMtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha
Hongera Mtume Mwamposa kwa msaada
Ambao tulisoma, havanna, Cuba, mwamposa ni njia tu ya kupitishia hizo pikipiki, lakini hizo zimetolewa na mkuu mwenyewe!
Charity begins at home if you want it to begin at home.Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P
Unabariki new school which doctor kuitwa mtume ? Tumwogope Mungu jamani.Asante kwa taarifa hii.
Asante kwa Mwamposa kulisaidia jeshi letu la polisi.
Charity begins at home!, ametoa pikipiki ngapi Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam, hadi sasa aende na Arusha?. Isije kuwa ametoa Arusha kwa sababu ya Makonda ni RC!.
P