SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
We si ndiyo unaulizia maandiko unataka kila kitu kiandikwe kwenye Biblia...Hoja yako ipo nje na mada...
Unadhani mtume Paulo hakufa?
Hatuzungumzii kifo chake ila alikufa, kule kung'ang'ania upewe andiko ni wazi una utoto mwingi ndugu.
Ulisha soma kitabu ya barua ya Paulo kwa waroma na kujua dhumuni kuu ?Ngumu kivipi, ? Biblia inamuita mama wa makahaba na inatoa muongozo wakujitenga nae
Roma ndiye muasisi wa mafundisho mengi ya kipagani Hadi kwenye uislamu wanahusika
Leta ushahidi ndugu ,taja hayo maandiko tupeane elimu,
,binafsi sio muumini wa utatu ,ila hakuna maandiko ya utatu yaliwekwa ni either hayakuwepo kwenye matin nyingine ,
1 Wakorintho 7:8,9 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.Kwani wapi tumesema Yesu anasema tusioe ?
Yesu mwenyewe alihudhuria harusi
Mtume Paulo hakuoa nimekupa na mistari ya kuthibitisha...We si ndiyo unaulizia maandiko unataka kila kitu kiandikwe kwenye Biblia...
Kama alipata familia akiwa kwenye hicho kifungo cha chake cha ndani je? Maana hata kwenye hicho kifungo aliendelea kufundisha pia.,,
Ila muhamad Aliyekuwa anapaka WANJA ,anavaa nguo za aisha ni mtumeYesu sio Mungu na Paulo hakuwahi kuwa mtume full stop
Hakuna cha mafundisho ya waroma wewe msabato uchwaraWewe unachanganya na mafundisho au mapokeo ya waroman mapadri wao kutooa ,hayo ni mapokeo Yao sio maandiko
Unajumuisha wakristo wote na waroman
Za jerusalem si ndio hizo mnapinga? Ambazo wenyeji wanakuambia yesu alikua ni mwanamazingaombwe na alikufa na hakufufuka na alikua na wazazi wake , na hakuna cha utatu mtakatifu?Kaka , Ukristo huuko hivo, manuscript za biblia hazipo Roma tu, hata Jerusalem wanazo,
Septuaginta Unajua ipo kabla hata Roma ya kidini ?
Mkutano wa Nicea ulithibitisha jinsi ya kuelewa maandiko, si kuandika Biblia mpya au kuongeza aya mpya. Maneno ya Utatu ni maelezo ya tafsiri ya imani, yaliyochukuliwa rasmi ili Kanisa lote lipate mwongozo wa pamoja.
Sasa hapo imezuiwa kuoa?1 Wakorintho 7:8,9 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Kuna Biblia ya Jerusalem inasema hivo?Za jerusalem si ndio hizo mnapinga? Ambazo wenyeji wanakuambia yesu alikua ni mwanamazingaombwe na alikufa na hakufufuka na alikua na wazazi wake , na hakuna cha utatu mtakatifu?
Lazima alikufa tu kama wanadamu wengine.Wazushi pia wanasema "PAULO MTUME WA MUNGU ALIKUFA" wakati Biblia haijaandika..
Ushajaa munkari tayari ,ushapandwa majiniHakuna cha mafundisho ya waroma wewe msabato uchwara
Mwanzilishi wa kataa ndoa ni PauloKwa mujibu wa maandiko ya Biblia, Paulo hakuwahi kuoa. Alichagua maisha ya uhuru ili kumtumikia Mungu kikamilifu.
Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyoSasa hapo imezuiwa kuoa?
Weka hoja wazi ,hoja yako ipi
Eliya ? Henoko ?Lazima alikufa tu kama wanadamu wengine.
Wanja walipaka waarabu kabla mtume Muhammad (saw) halafu jikite kwenye mada utume Paulo alipewa na nani ikiwa Yesu sio Mungu?Ila muhamad Aliyekuwa anapaka WANJA ,anavaa nguo za aisha ni mtume
Ndiyo mlete sababu nyengine sasa na hapo umekubali wana mambo waliyo jiongezea alafu baadae mnakataaWewe unachanganya na mafundisho au mapokeo ya waroman mapadri wao kutooa ,hayo ni mapokeo Yao sio maandiko
Unajumuisha wakristo wote na waroman
Huko ndipo unapo kimbilia siku zote akili yako imejaa ujinga wa mashindano ya waswahili [ Ukristo vs Uislamu] huamini hata jamii yako inaweza kupinga ujinga wako unao sambaza humu idiotUshajaa munkari tayari ,ushapandwa majini