Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

Unaweza kutuma hivyo ukashangaa unajibiwa "bora umejiongeza nilikuwa natafakari tutaachana vipi, haya mahusiano mema" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukaanza kubembeleza πŸ˜‚
Ukiangalia hizo screenshot, kuna moja mwanamke kalipokea kwa furaha kama unavyoeleza, nadhani alikuwa kishachoka.

Kuna demu mmoja ana matusi huyo, anataka kitu, agongwe kwanza ndiyo wavunje relation, ni mhuni af mbabe.

Wengine wote waliobaki ni mwendo wa kulilia love tu, ingawa screen shot zimejirudia rudia sana lakini zimeonesha asilimia kubwa wameguswa na kutia akili.
 
Kama mahusiano yako hayana afya sishauri vijana wafanye hivyoπŸ˜‚
 
I'd love for you to give it a go, but I just want to say that it might not be for everyone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…