This is not fair, hii katika dini ya kiislamu ipo wazi kabisa, namna ya mgawanyo wa maliHakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
Wanawake wengi Waislamu siku hizi hawataki kugawana mali kiislamu wanakimbilia mahakamani baada ya kuona sheria za kiislamu zinawanyonya kwenye mgawanyo.Wengi hawakubali wanaenda mahakamani hata Kama ndoa zilifungwa kiislamuThis is not fair, hii katika dini ya kiislamu ipo wazi kabisa, namna ya mgawanyo wa mali
Una uhakika gani kama alichosema alikuwa sahihi, Je kama alikuwa anachangamsha genge tu?
Kwa msaada wa " mwanamke gani atakufaa"Umesema kwa msaada zaidi!?
Unao wanawake wanaofaa kuolewa?
Au ni msaada gani ulionao?
The fact ndoa ni doana
Yaani mimi wameshanivuruga kabisa na haya matukio,mambo ya ndoa nshaanza kuyatoa kwenye mipango yangu.
Hapana inategemea na umeoana na mtu wa aina gani, ndoa ndoana sikuhizi inasababishwa na wanaume kutojali sifa za mke bora na kuangalia vitu vingine tofauti na sifa za mke bora, lazima uone ndoa chungu
Wewe ndiwe yule Mzee Mama?Wewe ndio yule bint?
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
ukimsomesha unampeleka chuo cha Biblia....angalau atamtumikia Mungu...Mwanamke asomeshwi.............. Over......... Jitie kibuli cha mbuzi uone matokeo yake.
labda chuo cha Biblia tuu.Makubaliano ya kwenye kikao chetu ni kuwa mchumba/mke hasomeshwi
Nalog off
ipo wapi hiyo thread? itafunua angalau kidogoMbona hii issue ni ya siku nyingi kidogo na kuna uzi wake humu
Tetesi: - Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake. Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife...www.jamiiforums.com
Post mortem ilisemaje kwani? Itakuwa mkewe kamuua wakisaidiana na bosi wake ili wachukue nyumba
Mali ya mama ni ya mama tuNa what if Baba hana Kazi Mama ana Kazi Mali mgawanyo unakuwaje?
Poleni kumbe Wafipa mpo, huu Msiba ni wa zamani hata siku 90 za Kisheria zimepitaRip marehemu.ila sisi kama ndugu wa Marehemu tunachoweza kusema kwa sasa ni kwamba tunasubiri msiba uishe ili tuanze kutuma makombora ya Radi kwa huyo Boss na huyo hawala yake ambaye amesababisha hadi ndugu yetu kupoteza maisha