Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
This is not fair, hii katika dini ya kiislamu ipo wazi kabisa, namna ya mgawanyo wa mali
 
This is not fair, hii katika dini ya kiislamu ipo wazi kabisa, namna ya mgawanyo wa mali
Wanawake wengi Waislamu siku hizi hawataki kugawana mali kiislamu wanakimbilia mahakamani baada ya kuona sheria za kiislamu zinawanyonya kwenye mgawanyo.Wengi hawakubali wanaenda mahakamani hata Kama ndoa zilifungwa kiislamu

Wamegundua mfumo dume wa kiislamu.umejaa dhuluma kwenye mgawanyo wa Mali hasa kwa mwanamke
 
Naanza kutajirika huku nikiwa sina mchepuko, machale yanaanza kunicheza...ngoja njtafute back up humu jf!
 
Umesema kwa msaada zaidi!?

Unao wanawake wanaofaa kuolewa?
Au ni msaada gani ulionao?
Kwa msaada wa " mwanamke gani atakufaa"
Hata ukiwa mlevi yuko mrembo wa kukufaa. Ukiwa mzinzi, mchawi, tajiri hata maskini, yuko mwanamke wa kukufaa niulize tu nikupe sifa zake
 
Hapana inategemea na umeoana na mtu wa aina gani, ndoa ndoana sikuhizi inasababishwa na wanaume kutojali sifa za mke bora na kuangalia vitu vingine tofauti na sifa za mke bora, lazima uone ndoa chungu
The fact ndoa ni doana
 
Hapana inategemea na umeoana na mtu wa aina gani, ndoa ndoana sikuhizi inasababishwa na wanaume kutojali sifa za mke bora na kuangalia vitu vingine tofauti na sifa za mke bora, lazima uone ndoa chungu

Kwakwel kabisa
 
Huwa hakuna mgao wa 5050. Wanaangalia umechangia kiasi gani, wanaangalia watoto, wanaangalia kazi ya mwenzako afu ndio wataamua nini kifanyike
Hakuna Cha contribution Kama mumeoana.Mama hata Kama ni Mama wa nyumbani mnagawana sawa yeye anafanya kazi za nyumbani wewe kazini wote mnafanya kazi.Mgao nusu kwa nusu
 
Mbona hii issue ni ya siku nyingi kidogo na kuna uzi wake humu

ipo wapi hiyo thread? itafunua angalau kidogo
Kijana alifia ndani ya gari lililokuwa Parking ya Morena Hotel, gari hilo lilikaa hapo muda wa siku 2 au zaidi baada ya Ndugu zake kumtafuta kila kona.
alikuwa na wenzake kwenye kinywaji usiku wa manane akawaaga, alipoingia kwenye gari akawasha na kuweka AC, walinzi wanasema waliliona likinguruma wakijua mteja kajipumzisha, kwa siku mbili petrol naona iliisha na hasa mauti yanasemekana yalimkuta hivyo sio kwa kuuawa (kukosa hewa) labda na ulevi
Post mortem ilisemaje kwani? Itakuwa mkewe kamuua wakisaidiana na bosi wake ili wachukue nyumba
 
Ukiwa umevuta mwanamke na kumfanya mke .hii inaleta Amani na heshima mno .ndoa now days si kitu cha kujiamini.

Nimeona kadhaa wakirudishwa nyuma kwa kigezo cha ndoa .
 
Rip marehemu.ila sisi kama ndugu wa Marehemu tunachoweza kusema kwa sasa ni kwamba tunasubiri msiba uishe ili tuanze kutuma makombora ya Radi kwa huyo Boss na huyo hawala yake ambaye amesababisha hadi ndugu yetu kupoteza maisha
 
Poleni kumbe Wafipa mpo, huu Msiba ni wa zamani hata siku 90 za Kisheria zimepita
Radi sijui km itafika Dodoma
mjitahidi mali zinapotea zimekutana na mjanja
 
Back
Top Bottom