MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
JPM yupi mkuu?Jpm angekuwepo angezitapika
Ukweli mtupu!Hiyo waligawana
Thubutu Hayati alikuwa mwizi kama Wezi wengineJpm angekuwepo angezitapika
Yaani tunapiga kama manyaniIla wabongo ni wezi aisee
Ova tumelaaniwa
Wapigaji kuanzia viongozi hadi wafanyakazi wa kawaida
ili iweje wakati jiwe alisema pesa ya serikali haitapotea ?Tupe jina lake na details zake KAMILI [emoji120][emoji120][emoji120]
Aibu yaniyaani tunapiga kama manyani
Mkuu Infantry Soldier, samahani nimeona hii nikakukumbuka 🤣🤣🤣Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.
Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Anaitwa J.FTupe jina lake na details zake KAMILI [emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe jamaa Bado una kiza kinene kichwani....Mzimu wa hayati Bado unakutafunaJpm angekuwepo angezitapika
Mkuu, inaweza kuwa ni kweli au majungu tu. Ila kama ni kweli basi Afrika tuna safari ndefu sana mpaka kufikia maendeleoMkuu Infantry Soldier, samahani nimeona hii nikakukumbuka 🤣🤣🤣
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.
Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.
Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Mbwembwe tu hizo mbona yeye mwenyewe JPM alishindwa kutapika 1.5 trillion alishindwa kutapika hela za kivuko kibovu kilichonunuliwa akiwa waziri wa ujenzi tena wizara yake ndiyo ilikinunua? alishindwa tapika nyumba aliyompa hawara yake?Jpm angekuwepo angezitapika