Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Mimi najiuliza kuhusu FAO LA KUKOSA AJIRA, Watarudisha kweli sheria?
 
Mkuu, inaweza kuwa ni kweli au majungu tu. Ila kama ni kweli basi Afrika tuna safari ndefu sana mpaka kufikia maendeleo
Inawezekana ni majungu lakini binafsi kuna mzee namfahamu alikuwa ana miezi kadhaa kabla ya kustaafu. Kwao ni Morogoro, lakini alifanyiwa mpango akahamishwa Bukoba, akapewa hela ya Transfer kwenda Bukoba, of course alienda peke yake akapanga room 1 baada ya muda mfupi akastaafu, akalipwa tena hela ya usafiri kurudi Morogoro. Alivuta kama 30M extra kwa huo mchezo, na hapo ofisini HR wanafanya hako kabiashara na watu wanaokaribia kustaafu.

Resources zipo, ila matumizi ndio laana tupu.
 
Mashirika mengi huwa wanafanya hivi Ili kuwasaidia wastaafu maana mtaani kigumu na upatikanaji wa mafao ni kizungumkute
 
Kwa hiyo hapo alihama kikazi ama na maisha kwa ujumla? Je andeenda mkoani angelipwa kiasi gani?
 
Halafu milioni zetu fudenge hawataki kutoa mpaka ufikishe miaka 55 halafu wao wanapewa mili 26 kutoka posta hadi kinondoni wakati pale ukichukua fuso haizidi laki usafiri.
Unachukuaje fuso kuhama ofisi , ? maana haingii akilini ati alihama na makazi
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
"Kidumu chama cha mapinduzi"
 
Kwa nchi hii shamba la bibi,hata wewe ukipata mwanya piga sana. Yeyote unaemdhania ni mzarendo nyuma ya pazia ni mpigaji hatari
Ndiyo maana bwana yule aliiba peke yake, wezi wengine wote aliwaita mafisadi.
 
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.

Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Kwa hiyo alihama kutoka wilaya ya Ilala kwenda wilaya ya Kinondoni? Kwani taratibu za uhamisho zinasemaje? Anastahili kulipwa nini anapohama wilaya?
 
Back
Top Bottom