King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
In shortly ilikuwa serikali ya hovyo kutokeaJpm angekuwepo angezitapika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In shortly ilikuwa serikali ya hovyo kutokeaJpm angekuwepo angezitapika
Viongozi wenyewe wezi unategemea huko chini itakuwajeIla wabongo ni wezi aisee
Ova tumelaaniwa
Wapigaji kuanzia viongozi hadi wafanyakazi wa kawaida
Vita ya ufisadi ni endelevu, ndiyo maana mahakama zakushughulikia mafisadi hazijafutwa, na ilani ya CCM ya 2020 inazidi kusisitiza mapambano dhidi ya ufisadi.Si tulikubaliana Ufisadi wote uliisha kwenye Serikali ya Shujaa wa Afrika?
Mlimtia sifa za kijinga kama hivi ndiyo maana hayupoJpm angekuwepo angezitapika
Jpm angekuwepo angezitapika
Halafu utasikia Magufuli alikuwa kiboko ya ufisadi!
Hahahaha we jamaa una data
Duuuh 🚶🚶🚶Mbwembwe tu hizo mbona yeye mwenyewe JPM alishindwa kutapika 1.5 trillion alishindwa kutapika hela za kivuko kibovu kilichonunuliwa akiwa waziri wa ujenzi tena wizara yake ndiyo ilikinunua? alishindwa tapika nyumba aliyompa hawara yake?
Viongozi wenyewe wezi unategemea huko chini itakuwaje
Hela ya kuhama inahusu makazi na familia ya mfanyakaziUnachukuaje fuso kuhama ofisi , ? maana haingii akilini ati alihama na makazi
Yaani sielewi kabisaJPM yupi mkuu?
Alikuwa kiboko wa ufisadi katika mashirika ya uma.Sasa magufuli hapo anahusikaje
Huyu bwana Fungo[emoji48][emoji48][emoji48]Hivi na Erio alikua anajilipa 30m per months zilikua za nini vile[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.
Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Kwa hiyo wafanyakazi wa NSSF wanaokaa nyumba za NSSF wilaya ya kinondoni wanaofanya kazi makao makuu yaliyoko wilaya ya Ilala huwa wanalipwa perdiem kila siku wanapoenda kazini?Kwa hiyo alihama kutoka wilaya ya Ilala kwenda wilaya ya Kinondoni? Kwani taratibu za uhamisho zinasemaje? Anastahili kulipwa nini anapohama wilaya?
Aya bila Shaka yametokea JPM akiwa Bado haiMtamkumbuka sana JPM [emoji23][emoji23][emoji23] Huu ni mwanzo tu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app