Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Si tulikubaliana Ufisadi wote uliisha kwenye Serikali ya Shujaa wa Afrika?
Vita ya ufisadi ni endelevu, ndiyo maana mahakama zakushughulikia mafisadi hazijafutwa, na ilani ya CCM ya 2020 inazidi kusisitiza mapambano dhidi ya ufisadi.

Ukumbuke neno ufisadi ni neno la jumla linalojumuisha maneno ya wizi, rushwa,uzandiki, utapeli, na mengine kama hayo. Katika jamii inayoishi mambo haya udhibitiwa, lakini ni nadra sana kuyaondoa kabisa.

Leta swali lingine.
 
Ndo hivyo Erio aliwabeba ppf,
Mkurugenzi wa fedha alopo nssf kwa sasa kashindwa kumudu nafasi yake hadi kuweka consultant ambae alikua DF ppf na baada ya kuona hali tete kufunga hesabu kaamua kumuajiri ex DF wa ppf(consultant) kuwa principle accountant cha ajabu zaidi kamhamisha chief accountant toka ofisi yake na kumuweka huyo P/accountant Mzee Mmari.
Mmari, Mmari narudia tena Mmari kimbia kikombe hicho kiache
Hahahaha we jamaa una data
 
Mbwembwe tu hizo mbona yeye mwenyewe JPM alishindwa kutapika 1.5 trillion alishindwa kutapika hela za kivuko kibovu kilichonunuliwa akiwa waziri wa ujenzi tena wizara yake ndiyo ilikinunua? alishindwa tapika nyumba aliyompa hawara yake?
Duuuh 🚶🚶🚶
 
Huu Sasa Ndiyo Ukwapuaji Wa Cash Sehemu Ya Daladala Ya Tshs 500/-
Kapewa Mzigo Wote!!!! 🖒😅😁😀Viongozi Wapo
 
Huyu bwana Fungo[emoji48][emoji48][emoji48]Hivi na Erio alikua anajilipa 30m per months zilikua za nini vile[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Kwa hiyo alihama kutoka wilaya ya Ilala kwenda wilaya ya Kinondoni? Kwani taratibu za uhamisho zinasemaje? Anastahili kulipwa nini anapohama wilaya?
Kwa hiyo wafanyakazi wa NSSF wanaokaa nyumba za NSSF wilaya ya kinondoni wanaofanya kazi makao makuu yaliyoko wilaya ya Ilala huwa wanalipwa perdiem kila siku wanapoenda kazini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…