Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

Uzi unafikirisha sana, hiyo 26m unapata nyumba ya vyumba 3 safi kabisa
 
Jinsia take huyo mtumishi tafadhali
 
Rubbish ccm inapinga ufisadi kuanzia lini?
 
Ndio yale ya kuangalia documents tu, kama ziko poa basi hakuna shida hakuna reasoning
 
Angetapika kwani Erio ni kabila gani?
 
Ramadhan Dau ndio aliasisi huu mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…