Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kuwa mbunge bas
Mara ngapi?
Kuwa mbunge bas
Kwa kipato hiki English medium utaisikia kwenye tobo...........maana ukiwagusa kama wale malaika au excel wanakunyang'anya 3.5 kwa mwaka na wewe unapenda kuichapa kupita kiasi dada kakuretea watoto wazuri 3 😁 utaweza kweli kwenda na hiyo 6m au ndio utabaki kuwa chawa wa kijani na kusema mama anaupiga mwingiHiyo pesa ni ndogo Sana kwa mazingira ya kitanzania
Labda kwa mwanachuo ambaye Hana majukumu ya kifamilia
500k × 12 months = 6M
6M × 25 Yrs = 150M
Hiyo pesa ni Miaka miatano ya mbunge
Huo ni upande wako, maisha level tupo tofautiSiwezi amka asubuhi kuingia ofisini kumuheshimu mtu ili nilipwe 500000 kwa mwezi , hell no
Ukweli upi, Mimi ninashuhudia vijana wengi ni wajasiriamali wamejiajiri na faida Yao ni chini ya 10k per day ila wanaishi maisha mazuri TU na wanafamilia. Hapa hapa mtaani.Ukweli unauma eee, ukikuta kitu kinakukera waachie wenzio
Hapana hiyo ni pesa ndogo ambayo mtu unaweza ipambania uraiani pasipo kuhitajika kushurutishwa na waajiriHuo ni upande wako, maisha level tupo tofauti
A
Maendeleo yanaendana na kujinyima hili ndo tatizo letu ,
Tumezoea tule vitamu ingali bado ni masikini.
Hujajuliza kwa nini mtu ana kipato cha 500k wapo 2 tu alafu mwingine 200k na anafamilia kubwa, ila mlalamikaji ni wa 500k?
Hiyo sayansi kakufundisha nani kwamba "kwenye mlo kamili nyama ni lazima ipewe kipaumbele".Kwa mtu mwenye Mke na watoto wawili.
Protein inatakiwa iwe nyingi kuliko Wanga.
Mfano unapokula Nyama ndio inatakiwa iwe nyingi kuliko ugali au wali.
Maziwa, mayai, maharagwe,
Matunda ni bei rahisi,
Elfu 15 kwa familia ya kawaida ya watu wanne au Watano kwa chakula inatosha kwa siku.
Hapo hujapiga mambo mengine
Hiyo sayansi kakufundisha nani kwamba "kwenye mlo kamili nyama ni lazima ipewe kipaumbele".
Ninawasi wasi na elimu Yako 🤔🤔🤔🤔
Kwa kipato hiki English medium utaisikia kwenye tobo...........maana ukiwagusa kama wale malaika au excel wanakunyang'anya 3.5 kwa mwaka na wewe unapenda kuichapa kupita kiasi dada kakuretea watoto wazuri 3 😁 utaweza kweli kwenda na hiyo 6m au ndio utabaki kuwa chawa wa kijani na kusema mama anaupiga mwingi
Ni nani kakukaririsha kuwa protein inapatikana kwenye nyama TU? Tena nyama zenyewe za Serena hotel (Broiler)....🧐🧐🧐Protein ndio inapewa kipaombele kwenye Chakula
Wanga unatakiwa ule kidogo Sana
Mara Mojamoja uwe unaenda hata hotel za Nyota tano kama pale Serena Hotel uagize chakula wao wanazingatia Diet.
Ni nani kakukaririsha kuwa protein inapatikana kwenye nyama TU? Tena nyama zenyewe za Serena hotel (Broiler)....🧐🧐🧐
Nyama ni mfano wa Nini ...? 😅😅😅Wewe ndio umekariri kuwa nikitaja nyama basi ndio protein pekee.
Akili yako imeshindwa kujiongeza kuwa nyama ni mfano wa protein?
Nyama ni mfano wa Nini ...? 😅😅😅
Ok hiyo ni kwa mtazamo wako, usikilizwe na kuheshimiwa....pamoja sana.Mkuu 500k ni pesa ndogo Sana. Haiwezi kukupeleka pa maana. Ila itakusaidia kusogeza siku kuishi.
👏👏👏👏👏 mawazo yenye AkiliKabla ya kumshauri mtumishi kuhusu kuwekeza kwenye hizo mambo,
mkumbishe kuwa mojawapo ya mahitaji yanayomaliza pesa ni chakula
Mtumishi kwanza alime hata heka 1 ya mahindi, heka 1 ya mpunga na heka 1 maharage. Hayo mazao yakitunzwa vizuri atakuwa amepata chakula cha kutosha.
Naamani kwa hiyo take home hawezi kushindwa kuhudumia hayo mazao kama kweli yuko serious.
Hilo zoezi likiwa endelevu atakuwa anasave pesa nyingi sana kisha aanze na huo uwekezaji au aina nyingine ya uwekezaji wenye tija
Kosa kubwa linalofanywa na watumishi wengi ni kukimbilia kuzika pesa zao kwenye nyumba na magari. Kama anajenga aanze na nyumba ya biashara
Hiyo pesa kuna mkinga analima viazi vya chipsi njombe anaikunja kwa miezi mitatu, kwa mwaka anakunja kama hizo mara mbili. Kupanga ni kuchagua.WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha.
Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59.
Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka tuseme 35 atakuwa amebakiza miaka 25 hadi atakapofikisha miaka 60.
Hadi hapo utakuwa umebakiza mishahara ya thamani hii
[Miaka 25 × miezi12 × mshahara Tsh500 000] utapata Tsh 150 000 000 (150M)
Kumbuka Pesa hiyo haihusiani na PENSION kutoka mifuko ya kijamii kama PSSSF na NSSF na nk, ni pesa ambayo inapita mikoni mwako moja kwa moja.
Hii pesa inaweza ikawa kubwa saaana au ndogo inategemeana na matumizi ya mtu binafsi maana kila mtu ana partern yake.
Ninachotaka kusema kwa kupitia pesa hiyo kuna Watu wamefanikiwa kuwekeza na kupata vipato ambavyo ni (Active na passive income) Yaani utaingiza pesa kwa kuhusika na kutokuhusika kwenye mradi moja kwa moja.
Mtumishi jibaneeeee, Anzisha hata miradi ya kupanda miti kama parachichi,miti ya mbao,nunua mapori kuna sehemu wanauza ekari moja hadi 150k....Tatizo huwa tunawaza Kesho na kesho kutwa na tuna usahau uzee wetu na hutujajifunza kuandaa urithi wa Watoto wetu.
Pesa ya Pension sio pesa ya kuanzisha miradi ambayo hujawahi kufanya yaani utaishi maisha ya stress nyingi sana mara B.P mara kisukari kitafuta Kifo.
Mtumishi usiishi kinyongeeee Pesa unayo jitahidi kurahisisha Maisha,
Kila mmoja ajaribu kufanya Hesabu hiyo kutokana na umri aliobakiza kazini na Ajifanyie tathimini, Je ;pesa yake itakayoipata itamsaidia kuishi Uzee usio toa jasho?
Karibuni
Angalau wewe tunafanana mtazamo. "utajiri unaanzia kwenye akili"Kitu cha kwanza katika maendeleo sio kipato ni Akili na ndio maana hiyo 500k kuna walifanya makubwa wengine bado wanalialia tu mtaani