Mtumishi wa serikali ambaye Take home yake ni around Tsh 450k, 500k na kuendelea, sikia hii

Mtumishi wa serikali ambaye Take home yake ni around Tsh 450k, 500k na kuendelea, sikia hii

Mleta Uzi ana hoja nzuri sana,japokua huenda Uzi wake haujitoshelezi kufafanua in detail juu ya promotions za mtumishi atakazopata kwa kipindi cha hiyo miaka 25 aliyoipigia hesabu..lakini pia kuna semina,warsha na fursa zingine znazoweza kumuingizia kipato mtumishi nje na mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Ugumu au wepesi wa maisha kwa mshahara wa 500k itategemea unaishi wapi,mkoa gani,lakn kwa 500k kwa watumishi waliopo kwenye majiji hiyo pesa ni pasua kichwa,hapo lazima familia Ile wanga kwa wingi kuliko protein😆
Yote kwa yote,ni vyema mtumishi ukasoma mazingira na fursa zinazokuzunguka ili kuzitumia kutengeneza chanzo cha pili au cha tatu cha mapato,hii itasaidia kumudu bills mbali mbali,kuwekeza na kuishi ndoto zako. Hakuna mshahara unaotosha,ni vyema kuupunguzia mzigo mshahara kwa pesa za michongo ya pembeni...
Mimi mtoa uzi hua siandiki kitu bila kufanya tafiti,
Hesabu nilizozifanya zinaitwa ni za projection na ndio maana nmechua sample ya mshahara mmoja ambao ndio maarufu kwa mtumishi
Nimechukulia other things remain constant, kumbuka kwenye uchumi kuna assumptions unadhani ni kwa nini waliziweka?
 
.

Ukiwa na kipato kikubwa maendeleo kwako ni uhakika hata usipokuwa na Akili kubwa.
Kama unazingumzia kipato kikubwa kwa maana ya Pesa nyingi, hiyo kauli yako nakupinga. Kwamba huge amount of money 💰 is directly proportional to higher development. Si kweli hata kidogo. Hebu tuchungulie majibu kutoka Gemini kama ifutavyo:

The relationship between possessing a large amount of money and achieving "higher development" is complex and not a simple yes or no. Here's a breakdown of factors to consider:
Potential Positive Impacts:
  1. Access to Resources:
    • Money can provide access to better education, healthcare, and opportunities for personal and professional growth.
    • It can enable individuals to invest in their skills, pursue passions, and take calculated risks.
  2. Increased Freedom and Security:
  • Financial security can reduce stress and allow individuals to focus on self-improvement and pursuing their goals.
  • It can provide the freedom to travel, explore new experiences, and broaden one's horizons.
3. Ability to Contribute:
  • Wealth can enable individuals to support causes they believe in, invest in their communities, and make a positive impact on the world.
4. Potential Negative Impacts:
  • Diminishing Returns:
    • While money can improve quality of life up to a certain point, studies suggest that its impact on happiness and well-being diminishes beyond a certain income level.
* Excessive focus on wealth accumulation can lead to stress, anxiety, and a sense of emptiness.
* Potential for Isolation:
* Wealth can sometimes create social barriers and lead to feelings of isolation.
* It can also attract people with ulterior motives, making it difficult to form genuine relationships.
* Ethical Considerations:
* The pursuit of wealth can sometimes lead to unethical behavior or a disregard for the well-being of others.
* Also, the way that wealth is gained can have a large impact on the individuals over all development.
* Focus shift:
* A focus on wealth, can shift a persons focus away from other important aspects of development, like relationships, and personal wellbeing.
Conclusion:
* While money can provide valuable resources and opportunities, it is not a guarantee of "higher development."
* True development encompasses more than just financial wealth. It includes factors such as:
* Personal growth
* Meaningful relationships
* Contribution to society
* Mental and physical wellbeing.
* Ultimately, how an individual uses their wealth is a key factor in determining its impact on their overall development.

Ukiwa na kipato kidogo hata uwe na akili kubwa bado hiyo sio Guarantee ya kuwa na maendeleo.
Na pi kuwa na kipato kikubwa si guarantee ya wewe kuwa na maendeleo.
 
Huo ni Mtazamo wa Dunia ya Leo
Watu wenye kipato hicho maisha yao huyaoni Mpaka usione ndio uhalisia?
481793.jpg
Huyu ndiye wewe mwenyekufahamu mtazamo wa Dunia hii?
 
Kama unazingumzia kipato kikubwa kwa maana ya Pesa nyingi, hiyo kauli yako nakupinga. Kwamba huge amount of money 💰 is directly proportional to higher development. Si kweli hata kidogo. Hebu tuchungulie majibu kutoka Gemini kama ifutavyo:

The relationship between possessing a large amount of money and achieving "higher development" is complex and not a simple yes or no. Here's a breakdown of factors to consider:
Potential Positive Impacts:
  1. Access to Resources:
  2. Money can provide access to better education, healthcare, and opportunities for personal and professional growth.
  3. It can enable individuals to invest in their skills, pursue passions, and take calculated risks.
  4. Increased Freedom and Security:
Financial security can reduce stress and allow individuals to focus on self-improvement and pursuing their goals.​
5. It can provide the freedom to travel, explore new experiences, and broaden one's horizons.​
6. Ability to Contribute:
* Wealth can enable individuals to support causes they believe in, invest in their communities, and make a positive impact on the world.
Potential Negative Impacts:
* Diminishing Returns:
* While money can improve quality of life up to a certain point, studies suggest that its impact on happiness and well-being diminishes beyond a certain income level.
* Excessive focus on wealth accumulation can lead to stress, anxiety, and a sense of emptiness.
* Potential for Isolation:
* Wealth can sometimes create social barriers and lead to feelings of isolation.
* It can also attract people with ulterior motives, making it difficult to form genuine relationships.
* Ethical Considerations:
* The pursuit of wealth can sometimes lead to unethical behavior or a disregard for the well-being of others.
* Also, the way that wealth is gained can have a large impact on the individuals over all development.
* Focus shift:
* A focus on wealth, can shift a persons focus away from other important aspects of development, like relationships, and personal wellbeing.
Conclusion:
* While money can provide valuable resources and opportunities, it is not a guarantee of "higher development."
* True development encompasses more than just financial wealth. It includes factors such as:
* Personal growth
* Meaningful relationships
* Contribution to society
* Mental and physical wellbeing.
* Ultimately, how an individual uses their wealth is a key factor in determining its impact on their overall development.

Na pi kuwa na kipato kikubwa si guarantee ya wewe kuwa na maendeleo.

Labda huelewi au unachanganya dhana ya maendeleo

Huwezi kuwa na kipato kikubwa usiwe na maendeleo. Never ever!

Maelezo uliyoyatoa yanafafanua kwa kina hoja yangu.

Kipato kikubwa utaishi Makazi mazuri, utakuwa na Usafiri, utasomesha shule zenye mazingira Bora. Utatibiwa na Kupewa huduma za afya Bora. Sasa kuna maendeleo zaidi ya hayo.

Embu niambie kama yapo
 
  • While money can provide valuable resources and opportunities, it is not a guarantee of "higher development."
  • True development encompasses more than just financial wealth. It includes factors such as:
  • Personal growth
  • Meaningful relationships
  • Contribution to society
  • Mental and physical wellbeing.
  • Ultimately, how an individual uses their wealth is a key factor in determining its impact on their overall development.
 
Mshahara haujawahi kutosha. Practically, hakunaga mshahara mkubwa. Unaweza kuwa na mshahara mkubwa na bado ukaishia kung'aa sharubu. Labda kama upo nje ya maisha ya kusubiria mwisho wa mwezi ndiyo utaendelea kunibishia.
 
Conclusion:
  • While money can provide valuable resources and opportunities, it is not a guarantee of "higher development."
  • True development encompasses more than just financial wealth. It includes factors such as:
  • Personal growth
  • Meaningful relationships
  • Contribution to society
  • Mental and physical wellbeing.
  • Ultimately, how an individual uses their wealth is a key factor in determining its impact on their overall development.
Well said mkuu. Haya ndo maendekeo
 
Mbunge kwa miaka 5 anakunja mshahara wa Billion 1 na Million 80, hiyo ni nje na posho anayo pata kila akikaa kikao pale bungeni. Mshahara wa Mbunge kwa sasa ni Tsh 18M kwa mwezi na posho ya kila kikao ni 600k.

Hiyo pesa ni ndogo Sana kwa mazingira ya kitanzania
Labda kwa mwanachuo ambaye Hana majukumu ya kifamilia

500k × 12 months = 6M
6M × 25 Yrs = 150M
Hiyo pesa ni Miaka miatano ya mbunge
 
Lakini bado hawataki kujiajili wenyewe na wanataka waendelee kuajiliwa na Serikali ,
umewahi ona mbuge anatamani kustaafu ?
Udhani ni kwa nini wabunge wanataka kulipwa kwa dollar na sio Tzs?
Nikuambie tu kitu kwa level walionayo nao wanaona pesa haiwatoshi kabisaaaaaa ndio maana wanatuibia mabilions na bado haziwatoshii...
Mada tajwa hapo juu inawahusu watu wa kipato cha kati ni kwa namna gani future income itakavyoweza kuwa kama vile ulivyochambua mishahara ya wabunge kwa kuwa yaoneka na maisha ya ndoto zako😃😃...
Tena ingependeza kama ungeandika uzi ambao utazungumzia maisha, kipato na mafao ya wabunge chukua title hiyo unakwama wapi sasa
 
Dogo kama wewe Bado sana,unaeamini mshahara mkubwa let's say 1.5M ndo unaweza kua na maisha,

Kifupi mshahara haujawai kutosha,never,kunawatu wanaiyo mishaara ila Bado wanalife ngumu sana

Na kunawatu wanakunja 200k na wanaela sana,
Kunawatumishi hawategemei uo mwisho wa mwezi,wanapiga mishe za kuajiliwa na wanapiga mishe za kitaa,kifupi mishe za kitaa zinalipa kuliko hizo kazi,

Ukiwa ukanda wa ziwa,(mwanza,geita).ukijiita mtumishi uku wewe ni fala flani mdogo sana tena ni aibu usijitambulishe,

Kunawatu wanapiga milion 3 per day mishe za ziwani,nikawaida kabisa

Ushauri tu ni kwamba ukiwa mtumishi jichanganye,jitafte cheza na mazingira,kama kulima Lima sana,mchongo wowote piga unakula mema ya nchi,ila kubaki unasubiri mshahara ni ujuha flani mzuri sana,pata picha mshahara milion mbili,matumiz ya home,ndugu,ada,afya,ndugu,utasave sh ngapi,labda milion kumi kwa mwaka,milion kumi ni takataka flani ndogo sana kwa mwaka hata mkulima wa kawaida anaipata
 
Back
Top Bottom