jozee jose
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 147
- 360
- Thread starter
-
- #61
Mimi mtoa uzi hua siandiki kitu bila kufanya tafiti,Mleta Uzi ana hoja nzuri sana,japokua huenda Uzi wake haujitoshelezi kufafanua in detail juu ya promotions za mtumishi atakazopata kwa kipindi cha hiyo miaka 25 aliyoipigia hesabu..lakini pia kuna semina,warsha na fursa zingine znazoweza kumuingizia kipato mtumishi nje na mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Ugumu au wepesi wa maisha kwa mshahara wa 500k itategemea unaishi wapi,mkoa gani,lakn kwa 500k kwa watumishi waliopo kwenye majiji hiyo pesa ni pasua kichwa,hapo lazima familia Ile wanga kwa wingi kuliko protein😆
Yote kwa yote,ni vyema mtumishi ukasoma mazingira na fursa zinazokuzunguka ili kuzitumia kutengeneza chanzo cha pili au cha tatu cha mapato,hii itasaidia kumudu bills mbali mbali,kuwekeza na kuishi ndoto zako. Hakuna mshahara unaotosha,ni vyema kuupunguzia mzigo mshahara kwa pesa za michongo ya pembeni...

Ok hiyo ni kwa mtazamo wako, usikilizwe na kuheshimiwa....pamoja sana.
Pamoja brooAngalau wewe tunafanana mtazamo. "utajiri unaanzia kwenye akili"
Unataka akupigie hesabu zote??Hujasema matumizi kwa mwezi anatumia shingapi Mara hiyo miaka 25
Kama unazingumzia kipato kikubwa kwa maana ya Pesa nyingi, hiyo kauli yako nakupinga. Kwamba huge amount of money 💰 is directly proportional to higher development. Si kweli hata kidogo. Hebu tuchungulie majibu kutoka Gemini kama ifutavyo:.
Ukiwa na kipato kikubwa maendeleo kwako ni uhakika hata usipokuwa na Akili kubwa.
Na pi kuwa na kipato kikubwa si guarantee ya wewe kuwa na maendeleo.Ukiwa na kipato kidogo hata uwe na akili kubwa bado hiyo sio Guarantee ya kuwa na maendeleo.
Huo ni Mtazamo wa Dunia ya Leo
Watu wenye kipato hicho maisha yao huyaoni Mpaka usione ndio uhalisia?
Kama unazingumzia kipato kikubwa kwa maana ya Pesa nyingi, hiyo kauli yako nakupinga. Kwamba huge amount of money 💰 is directly proportional to higher development. Si kweli hata kidogo. Hebu tuchungulie majibu kutoka Gemini kama ifutavyo:
The relationship between possessing a large amount of money and achieving "higher development" is complex and not a simple yes or no. Here's a breakdown of factors to consider:
Potential Positive Impacts:
- Access to Resources:
- Money can provide access to better education, healthcare, and opportunities for personal and professional growth.
- It can enable individuals to invest in their skills, pursue passions, and take calculated risks.
- Increased Freedom and Security:
Financial security can reduce stress and allow individuals to focus on self-improvement and pursuing their goals.5. It can provide the freedom to travel, explore new experiences, and broaden one's horizons.6. Ability to Contribute:
* Wealth can enable individuals to support causes they believe in, invest in their communities, and make a positive impact on the world.
Potential Negative Impacts:
* Diminishing Returns:
* While money can improve quality of life up to a certain point, studies suggest that its impact on happiness and well-being diminishes beyond a certain income level.
* Excessive focus on wealth accumulation can lead to stress, anxiety, and a sense of emptiness.
* Potential for Isolation:
* Wealth can sometimes create social barriers and lead to feelings of isolation.
* It can also attract people with ulterior motives, making it difficult to form genuine relationships.
* Ethical Considerations:
* The pursuit of wealth can sometimes lead to unethical behavior or a disregard for the well-being of others.
* Also, the way that wealth is gained can have a large impact on the individuals over all development.
* Focus shift:
* A focus on wealth, can shift a persons focus away from other important aspects of development, like relationships, and personal wellbeing.
Conclusion:
* While money can provide valuable resources and opportunities, it is not a guarantee of "higher development."
* True development encompasses more than just financial wealth. It includes factors such as:
* Personal growth
* Meaningful relationships
* Contribution to society
* Mental and physical wellbeing.
* Ultimately, how an individual uses their wealth is a key factor in determining its impact on their overall development.
Na pi kuwa na kipato kikubwa si guarantee ya wewe kuwa na maendeleo.
View attachment 3290505Huyu ndiye wewe mwenyekufahamu mtazamo wa Dunia hii?
Conclusion:Labda huelewi au unachanganya dhana ya maendeleo
Huwezi kuwa na kipato kikubwa usiwe na maendeleo. Never ever!
Maelezo uliyoyatoa yanafafanua kwa kina hoja yangu.
Kipato kikubwa utaishi Makazi mazuri, utakuwa na Usafiri, utasomesha shule zenye mazingira Bora. Utatibiwa na Kupewa huduma za afya Bora. Sasa kuna maendeleo zaidi ya hayo.
Embu niambie kama yapo
Mshahara haujawahi kutosha. Practically, hakunaga mshahara mkubwa. Unaweza kuwa na mshahara mkubwa na bado ukaishia kung'aa sharubu. Labda kama upo nje ya maisha ya kusubiria mwisho wa mwezi ndiyo utaendelea kunibishia.Labda huelewi au unachanganya dhana ya maendeleo
Huwezi kuwa na kipato kikubwa usiwe na maendeleo. Never ever!
Maelezo uliyoyatoa yanafafanua kwa kina hoja yangu.
Kipato kikubwa utaishi Makazi mazuri, utakuwa na Usafiri, utasomesha shule zenye mazingira Bora. Utatibiwa na Kupewa huduma za afya Bora. Sasa kuna maendeleo zaidi ya hayo.
Embu niambie kama yapo
Well said mkuu. Haya ndo maendekeoConclusion:
- While money can provide valuable resources and opportunities, it is not a guarantee of "higher development."
- True development encompasses more than just financial wealth. It includes factors such as:
- Personal growth
- Meaningful relationships
- Contribution to society
- Mental and physical wellbeing.
- Ultimately, how an individual uses their wealth is a key factor in determining its impact on their overall development.
Hiyo pesa ni ndogo Sana kwa mazingira ya kitanzania
Labda kwa mwanachuo ambaye Hana majukumu ya kifamilia
500k × 12 months = 6M
6M × 25 Yrs = 150M
Hiyo pesa ni Miaka miatano ya mbunge
Mbunge kwa miaka 5 anakunja mshahara wa Billion 1 na Million 80, hiyo ni nje na posho anayo pata kila akikaa kikao pale bungeni. Mshahara wa Mbunge kwa sasa ni Tsh 18M kwa mwezi na posho ya kila kikao ni 600k.
Lakini bado hawataki kujiajili wenyewe na wanataka waendelee kuajiliwa na Serikali ,Dadeki