Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
Baada ya kulipwa malimbikizo ya mshahara [emoji23] [emoji23]
 
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
Kwa mshahara wa chini ya 3M, na bila mikopo, lazima Uwe mwizi
 
Tanzania kuna unafiki mwingi sana.

Ukiwa mtumishi halafu hujawa tajiri unaonekana mjinga na hukutumia nafasi yako vizuri kujilimbikizia mali.

Ila ukiwa tajiri wakati wa utumishi wako unaitwa fisadi na mwizi.
 
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
Hujajenga hoja!
 
Aisee gari sio kipaumbele changu kabisa kwa maana basi luxury zipo napanda huku nalaza siti starehe murua burudan kabisa.
 
Back
Top Bottom