Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

Baada ya kulipwa malimbikizo ya mshahara [emoji23] [emoji23]
 
Kwa mshahara wa chini ya 3M, na bila mikopo, lazima Uwe mwizi
 
Tanzania kuna unafiki mwingi sana.

Ukiwa mtumishi halafu hujawa tajiri unaonekana mjinga na hukutumia nafasi yako vizuri kujilimbikizia mali.

Ila ukiwa tajiri wakati wa utumishi wako unaitwa fisadi na mwizi.
 
Hujajenga hoja!
 
Aisee gari sio kipaumbele changu kabisa kwa maana basi luxury zipo napanda huku nalaza siti starehe murua burudan kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…