Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

Vipaumbele vinatofautiana!!

Mmoja anafanya biashara amepanga!

Mwingine anajenga nyumba za kupangisha hanunui gari!

Mwingine anaweka fedha fixed akaunti Kwa miaka karibu kumi ni millionea kapanga!

Mwingine kaamua kusoma tu anaunganisha ma masters, PhDs n k
 
Kabla ya kuendelea na uzi wako tutajie gari nzuri na nyumba nzuri ndio zipi,na thamani yake...
 
Bado kidogo utaanza kuuulizia dagaa wa nyama.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna taasisi zingine za uma maslahi si mazuri sana ,mtu anafamilia ,anasomesha ,anandugu .sasa usiseme hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…