Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Na usikute labda alikuwa na mpango mwingine tena wa kupenyeza kitimoto msikitini.

Nalo akalitekeleza!"

Kama huoni sababu ya kusimamishwa kazi utakuwa ni kipofu!

Kama ndo mfanyakazi wako labda wa dukani kwako, anafanya kama huyo alivofanya.
Na ktk hilo duka nusu ya anaowauzia ni waislam.

Bado utaendelea kumuona anafaa!?
Sent using Redmi Y2
 
Anaonekana kalewa au Kachanganyikiwa law waliotazama video

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikunywa kupata sababu ya kutenda uovu wake.
Alhamdullillah, Subra imefanya kazi yake.
Usikasirike, usikasirike,usikasirike...Huu ni usia wa Mtume wetu Muhammad(SAW) kwa waisalmu wa dunia nzima.
Tusome Tabatiada x 3, na tumuachia Allah aamue kinachomstahiri.
Ammin
 
Wafikiri kama waislamu,wangechukuwa sheria mkononi,ungeandika hayo?Si ungeandika mabaya kwa uislamu na waislamu.Hapa ni kuwasifu waislamu,kwa kutochukuwa sheria mkononi,na ndio uislamu unavyotakiwa,kuweka mazingira ya amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timamu kichwanin hawezi fanya alichofanya,Watanzania tunaishi kwa upendo na kusaidiana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…