Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Kuna ugonjwa wa kawaida na magonjwa ya mlipuko,tofautisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nakubaliana na wewe kwa mengi tu, huyu mdau kakosea tena sana.
tatizo sheria haisemi lazima asimamishwe kazi huku akiendelea na kesi kwa muda namna hii, sheria imeweka muda wa kusimamishwa kazi au kufukuzwa kazi akiwa na kesi muda mrefu au kifungo muda mrefu.
Nadhani haipungui miezi 6[sina uhakika].

Alichofanya Jaffo huyu kijana akiamua kuishitaki serikali anaweza kushinda kesi akalipwa pesa nyingi.

Napenda nirudie kusema jamaa aliechana kitabu cha korani amekosea sana tena sana, uzuri ipo sheria itakayo mchukulia hatua na tayari kashafikishwa mahakamani.
 
Na hakuna muislamu,aliwahi kuchana Biblia,wala kufungia kitu,wala maandazi wala samaki.Kumbuka wafanyabiashara ndogo ndogo wengi ni waislamu,lakini hutaona karatasi ya Biblia amefungia hata kashata au samaki wa kukaanga,na wako makini sana,wakiona kitabu cha Biblia wanakihifadhi mahali pazuri.
Lini umesikia wakristu wakipigizana kelele mtu kuchana biblia?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hoja yako hasa ni ipi?
Vifungu alivoviweka vimekosewa? Au sio vya kweli?
Au hujapenda tu vifungu kuwekwa hadharani kwasababu tu kuna watu wamesomea miaka minne na wapo kimya?

Elimu bila kuelimika!
Sent using Redmi Y2
 
Huyu jamaa atakuwa na matatizo ya akili
 
Mkuu utumishi wa serekali ni kwa umma kwahiyo mtu akifanya kitendo kama hicho niubaguzi wa halo ya juu ambacho kinaweza kuleta chuki badae uvunjifi wa amani katika inchi, na kama haja vunja sheria yeyote kumbuka kesi za uchochezi zipo pia kuna maadili ya kazi. Mtu kama wewe anaeandika vzuri kutoa mandishi kama haya huoni kama huu niuchokozi na kukopi mambo ya Mwamposa? eti kisa yule kasa7bisha vifo na hakufanyiwa chochote.
 
Hivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
ukisema usubiri vifungu vya sheria na kushindwa kutumia akili/busara ndio unakuta watu wanauwana wenyewe kwa wenyewe Arusha huko.
 
Ni kifungu gani cha sheria za kazi alichovunja mtumishi aliyesimamishwa kazi? Wewe taja tu kifungu tumalize mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifungu cha mwamposa labda mkuu unakitaka...!!..bahati nzuri waislamu siku hizi mambo ya mihemko wametupilia mbali...wanaacha wauane wenyewe kwa wenyewe kupitia Mwamposa!HAHAAHAHHAHA
 
bendera ya taifa letu kachome au ichanechane kisha utapata jibu.sisi waislam hicho alichochana huyu muhuni punguwani ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…