Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Hata wewe umeumbwa na Mungu lakini cha ajabu zaidi Chakula unajitafutia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo ni kauli ya chuki!Wao akina nani?Kitendo hicho kimefanywa na mtu mpuuzi mmoja tu,ambaye ni msomi wa kiwango cha degrii.Elimu wala haijampa ukombozi wowote zaidi ya ajira

Mtu huyo hata ukimpima kwenye ukristo hafai kabisa.

Kitendo cha wewe kuanza kuwajumuisha watu wengine kwa kujiapiza iko siku ni kuonesha huna tofauti na huyo aliyechana kitabu cha imani yako.

Binafsi nalaani sana kitendo hicho cha kishenzi na anastahili kuadhibiwa.
dunian sijawah sikia mwislamu kachana bible ila wao dah ipo cku

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kifungu gani cha sheria za kazi alichovunja mtumishi aliyesimamishwa kazi? Wewe taja tu kifungu tumalize mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo tu cha yeye kuwekwa mahabusu hadi kesi itakapokuja kusomwa iyo tarehe 20 ameshapoteza sifa ya kuwa mtumishi wa Umma,
 

[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walio na akili wanajuwa nini kinaendelea wasio na jicho la tatu wanaelewa kile wamekielewa pasipo tafasiri.
 
Huyo jamaa ni kwa nini hajavaa viatu?
Afrika wanaishi manyani mkuu! Hao polisy kule CCcP moshi huwa wanasoma/fundishwa sana mambo ya haki za binadamu pamoja na haki za mtuhumiwa ila hapo utakuta wamempiga sana tu na kumvua viatu!Yaani ni kama mang'ombe fulani hivi ambayo hayana nyuma wala mbele!
 
Kitendo tu cha yeye kuwekwa mahabusu hadi kesi itakapokuja kusomwa iyo tarehe 20 ameshapoteza sifa ya kuwa mtumishi wa Umma,
Nani amesema ikiwa hivyo anakua ameshapoteza sifa hizo?

dodge
 
Kitu cha kujifunza hapa ni kwamba binadamu ni wajinga,hawajitambui na ni wanafiki! Kama Mungu yupo si ajitetee mwenyewe? Kwa nini watu/serekali inamtetea Mungu mwenye uwezo wote na nguvu zote? Kama mtu kachana kitabu kitakatifu kilichoshuka kutoka mbinguni si waache Mungu amuadhibu mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…