mirna92
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 502
- 1,001
Ndo kishasimamishwa na hayo ndo malipo yake yanaanza hiyo Qur an ndio imemsimamisha kwa uwezo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app