Uliza China kilichowakuta
Naona hakuna anayetaja kifungu cha sheria kinachompa madaraka waziri kufanya aliyoyafanya... Wengi mmetumia hisia tu za kidini na kiimani....Serikali imemficha Mahabusu hadi tarehe 20 Feb, kukwepa Mkono wa Umma!
Waziri yupo sahihi kunsimamisha kwa kosa la uchochezi na kukosa Maadili
Mtumishi wa namna yake hawezo kuwa Muadilifu hasa ikitokea anapaswa kumpa haki Muislam dhidi ya asie Muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo dogo hilo,kuna watumishi wa umma wako rumande kwa mwaka 3 sasa kwa kutakatisha pesa na wala hawajafutwa kibarua.Icho alichokifanya ni udhalilishaji wa kutoheshimu imani za watu wengine
Kwa kifungu kipi cha sheria?Acha kupayuka wewe mja
Kosa hata ulitendee chooni bado nikosa tu
Jafo yukonsawa 200%
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ni mtumishi wa umma. Nini maan ya kuutumikia umma?Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, lakini waziri katumia kifungu kipi cha sheria?Hakuna mtu anaefanya alitakalo kuna sheria zinatuzuia kufanya lolote tulitakalo.
Kwenye huo umma, kuna wasioamini kinachoaminiwa na wengine kiimaniYeye ni mtumishi wa umma. Nini maan ya kuutumikia umma?
KUNA WATU WALIENDA MAHAKAMANI KUPINGA SINEMA YA YESU KUHUSIANA NA UPENZI WA JINSIA MOJAHaha hahaaa. Naona Allah kakamata mtu aliyechana kitabu chake na binduki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiambiwa mpate elimu dunia kidogo hamtaki,haya ndio matunda yake.Uliza China kilichowakuta
Ana akili za ki CCM anataka anachofuata kila mtu afanye hicho kwa 99.999 kama uchaguzi wa serikali za mitaa
ni sahihi..utachanaje kitabu kitakatifu cha Mungu?tuheshimu imani za watu
Ndio upo sahihi 100%Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?
Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
OKEY KWANINI UFANYE KILE KINACHOWEZA KULETA TAHARUKI KATIKA SEHEMU YA UMMA UNAOUNGOZA? HUONI HII SINTOFAHAMU INAWEZA LETA UTENGANO NA CHUKI?Kwenye huo umma, kuna wasioamini kinachoaminiwa na wengine kiimani
Akiachiwa mapema watamaliza akipewa dhamana ahameNi sahihi kabisa tena kwa usalama wake akae mahabusu mpaka jumatatu.
Sent using Jamii Forums mobile app